Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

Ujeruamani imewekeza miaka si chini ya 100 usidhani ni kitu cha miaka 5,
 
Mkuu ukuwe basi utoto kila sehemu!
Mada nyingine wewe kila sehemu mambo zenu za malumbano ya siasa! Mnatuchosha kila kona hayo mambo yenu , wengine hatuvutiwi na mambo hizo tunachagua vitu vya kusoma. Kuna page ya siasa nenda kule mkalumbane
 
Mkuu, unaonekana umem-mind sana jamaa
 
Sijaongelea engineers wa Tanzania mzee baba
 
Ujerumani wasomi ni wengi Phd's are everywhere hata fundi gari mwenye garage ana Phd ya magari na yuko competent mbaya,baada ya kushindwa WWII waliwekeza sana kwenye elimu

Hiyo elimu waliyowekeza ndo km hii ya kwetu ya shule za kata ambazo hazina waalimu wala maabara?

Sisi tumejifunza wapi huu mfumo wetu wa kata?
 
Hahahaaa...... Umenifurahisha hapo kwenye masters ya chemistry 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…