Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

Ujeruamani imewekeza miaka si chini ya 100 usidhani ni kitu cha miaka 5,
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Magufuli HILI ALIFANYIE KAZI....
TUNAMTEGEMEA YEYE...

Popote ulipo baba MAGUFULI,vijana wanalalamika VIPAJI VINAPOTEZEWA....Ila wanashukuru kina Zuchu wanajitahidi kuimba....
Baba JPM huku mitaani KILA kijana ETI ATAKA KUIMBA KAMA DIAMOND....hv RWANDA nako ni hivihivi?!!!

Tuna IMANI nawe kipenzi magufuli...plz continue to change the horrible STATUS QUO....aaaamen aaamen
 
Lowassa alisema ELIMU ELIMU ELIMU..
HIKI ni kipindi Bora kbsa amsaidie magufuli KWA kumpa Siri ya ALIYOTUKUSUDIA ktka Yale MAFURIKO yaliyomzoa mwenyewe akiwa UKAWA....

Elimu ya ukweli ndio nyenzo wadau.....

Mwaka 2014 walipitisha SERA ya kutoa elimu ya vyuo Vikuu kuwa BURE...kwa watoto wa MALOFA...

Madogo kibao wanajibwedea mteremko wa kusoma BURE HATA kwa nchi maskini....
Nawashangaa CHADEMA,BAVICHA wanapata VINAFASI kupitia CDU...wao wakienda wanasoma VIKOSI VYA SIASA....bure kabisa hawa[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Mkuu ukuwe basi utoto kila sehemu!
Mada nyingine wewe kila sehemu mambo zenu za malumbano ya siasa! Mnatuchosha kila kona hayo mambo yenu , wengine hatuvutiwi na mambo hizo tunachagua vitu vya kusoma. Kuna page ya siasa nenda kule mkalumbane
 
I am also wondering why Tanzania engineers are of the poorest quality. Look at tanesco engineers. Look at Tanroad engineers. Kukiwa na barabara ya kutengenezwa maengineer wa Tanroad watafuatilizia mule mule ilipo barabara iliyobuniwa na wananchi. Mfano. Mbezi Goba Mbezi beach.
Sijaongelea engineers wa Tanzania mzee baba
 
Ujerumani wasomi ni wengi Phd's are everywhere hata fundi gari mwenye garage ana Phd ya magari na yuko competent mbaya,baada ya kushindwa WWII waliwekeza sana kwenye elimu

Hiyo elimu waliyowekeza ndo km hii ya kwetu ya shule za kata ambazo hazina waalimu wala maabara?

Sisi tumejifunza wapi huu mfumo wetu wa kata?
 
Mainjinia wa Tanzania ni mavi nacTakataka wakiwa vyuoni waona na wakufunzi wao huwaza ubunge na idiwani kima hawa hawana jipya !!!!!!hebu fikiri hata bodi za magati ya taktaka hawawezi Ku design !!! Jitu lina masters ya chemistry hata kiwi ya viatu halijui kutengeneza hovyooooooooooooo

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Hahahaaa...... Umenifurahisha hapo kwenye masters ya chemistry 😂😂
 
Back
Top Bottom