Wahandisi wa Tz wanawaza kusaini Overtime na kudhulula ofisini .I am also wondering why Tanzania engineers are of the poorest quality. Look at tanesco engineers. Look at Tanroad engineers. Kukiwa na barabara ya kutengenezwa maengineer wa Tanroad watafuatilizia mule mule ilipo barabara iliyobuniwa na wananchi. Mfano. Mbezi Goba Mbezi beach. Mbezi Maramba majumba sita. Buza kwa Mpalange to Buza kwa lugola.
Kusaini OT na kuzunguka zunguka ofisini . Kula mlo wa mchana na asubuhi baadae kurudi home.Wahandisi wa TANESCO wao wana shida gani,huja tudokeza hilo.
Jana kuanzia asubuhi mpaka saa kumi na nusu umeme umekatika. Engineers wanakata umeme ili waandike OT na kusaini tu hakuna cha maana.Mkuu. Inaonekana umekulia ulaya na Bado uko ulaya. Kipindi choote miezi 18 niliyokaa ulaya umeme haujawahi kukatika. Hapa TZ hata muda huu umeme umekatika ilhali tanesco Kuna mainjinia kibao. Hivi hawawezi kukagua vifaa vyao mpaka umeme ukatike ndio waje Kama Zima Moto? Inatumia akili na gharama kiasi gani kukagua transformer ili lisiungue? Ndio maana che Nkapa alileta mabeberu kuja kuwasimamia Hawa japo vyuo wameenda vile vile na course zile zile.
Mkuu, siyo kila tatizo/katiko la umeme linalotokea linasababishwa na matatizo ya ma-Engineers. Mfano labda Tanesco kwenye Grid yao wameunganisha vyanzo 6 (my guess) vya kuzalisha umeme. Ambavyo vinakuwa vina-inject 1000MW kwa mfano kwenye Grid yao, bahati mbaya chanzo kimojawapo mfano kule Pangani Falls, Nyani anafanya short kwenye moja kati ya zile machinę na kuiondoa kwenye Grid; hapo tayari lazima baadhi ya watu wakose umeme. Kumbuka hapo siyo tatizo la Engineers, ni Nyani hapo ndio wameleta balaa. Halafu kulinganisha Ulaya na Tanzania sidhani kama ni sahihi kwani wale wana vyanzo vingi na vya uhakika pamoja na Nuclear Power Plants. Power Plants zao zingine zinakuwa kwenye spinning mode, yaani ziko standby kama Grid yao inapoteza moja kati ya Generation plant moja basi iliyo standby ina kick in wewe mteja wa kawaida bila hata kujua ni nini kilichotokea.Mkuu. Inaonekana umekulia ulaya na Bado uko ulaya. Kipindi choote miezi 18 niliyokaa ulaya umeme haujawahi kukatika. Hapa TZ hata muda huu umeme umekatika ilhali tanesco Kuna mainjinia kibao. Hivi hawawezi kukagua vifaa vyao mpaka umeme ukatike ndio waje Kama Zima Moto? Inatumia akili na gharama kiasi gani kukagua transformer ili lisiungue? Ndio maana che Nkapa alileta mabeberu kuja kuwasimamia Hawa japo vyuo wameenda vile vile na course zile zile.
Kwani mzee kitu gani huwa kinafanya umeme ukatike ?Mkuu. Inaonekana umekulia ulaya na Bado uko ulaya. Kipindi choote miezi 18 niliyokaa ulaya umeme haujawahi kukatika. Hapa TZ hata muda huu umeme umekatika ilhali tanesco Kuna mainjinia kibao. Hivi hawawezi kukagua vifaa vyao mpaka umeme ukatike ndio waje Kama Zima Moto? Inatumia akili na gharama kiasi gani kukagua transformer ili lisiungue? Ndio maana che Nkapa alileta mabeberu kuja kuwasimamia Hawa japo vyuo wameenda vile vile na course zile zile.
Naomba ushahidi wa haya unayo yasema.Kusaini OT na kuzunguka zunguka ofisini . Kula mlo wa mchana na asubuhi baadae kurudi home.
Why Buza?
Uongo mbaya, kama kuna nchi ina watu smart duniani basi ni ujerumani.
Ushahidi tena kwamba niwe nawarekodi au. Huo ndo ukweli .Naomba ushahidi wa haya unayo yasema.
Unasema vipi huo ndiyo ukweli halafu unashindwa kututhibitishia ?Ushahidi tena kwamba niwe nawarekodi au. Huo ndo ukweli .
Israel wanajitahidi lakini hawaoni ndani kwa ujerumani.Sio Israel tena mlamu!
heheheheee umeamua kutuchekesha mkuuMkuu, siyo kila tatizo/katiko la umeme linalotokea linasababishwa na matatizo ya ma-Engineers. Mfano labda Tanesco kwenye Grid yao wameunganisha vyanzo 6 (my guess) vya kuzalisha umeme. Ambavyo vinakuwa vina-inject 1000MW kwa mfano kwenye Grid yao, bahati mbaya chanzo kimojawapo mfano kule Pangani Falls, Nyani anafanya short kwenye moja kati ya zile machinę na kuiondoa kwenye Grid; hapo tayari lazima baadhi ya watu wakose umeme. Kumbuka hapo siyo tatizo la Engineers, ni Nyani hapo ndio wameleta balaa. Halafu kulinganisha Ulaya na Tanzania sidhani kama ni sahihi kwani wale wana vyanzo vingi na vya uhakika pamoja na Nuclear Power Plants. Power Plants zao zingine zinakuwa kwenye spinning mode, yaani ziko standby kama Grid yao inapoteza moja kati ya Generation plant moja basi iliyo standby ina kick in wewe mteja wa kawaida bila hata kujua ni nini kilichotokea.
Nimefika sana tuKaka. Hujawahi fika huku Buza kwa Mpalange? Ukija utakua why Buza
I am also wondering why Tanzania engineers are of the poorest quality. Look at tanesco engineers. Look at Tanroad engineers. Kukiwa na barabara ya kutengenezwa maengineer wa Tanroad watafuatilizia mule mule ilipo barabara iliyobuniwa na wananchi. Mfano. Mbezi Goba Mbezi beach. Mbezi Maramba majumba sita. Buza kwa Mpalange to Buza kwa lugola.