Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

nimepitia majibu yoote naona mna miss kiungo muhimu sana( ingredients) nacho ni historia.
jeruman kihistoria alifanya experiment za kutosha na za kutisha hasa.
wakat anatenga makambi yale ya wanaiita concetration camp mfano sorbibor humo walipiga experiment live live waliweza hadi kutengeneza mpaka atomic
 
I am also wondering why Tanzania engineers are of the poorest quality. Look at tanesco engineers. Look at Tanroad engineers. Kukiwa na barabara ya kutengenezwa maengineer wa Tanroad watafuatilizia mule mule ilipo barabara iliyobuniwa na wananchi. Mfano. Mbezi Goba Mbezi beach. Mbezi Maramba majumba sita. Buza kwa Mpalange to Buza kwa lugola.
Wahandisi wa Tz wanawaza kusaini Overtime na kudhulula ofisini .
 
Mkuu. Inaonekana umekulia ulaya na Bado uko ulaya. Kipindi choote miezi 18 niliyokaa ulaya umeme haujawahi kukatika. Hapa TZ hata muda huu umeme umekatika ilhali tanesco Kuna mainjinia kibao. Hivi hawawezi kukagua vifaa vyao mpaka umeme ukatike ndio waje Kama Zima Moto? Inatumia akili na gharama kiasi gani kukagua transformer ili lisiungue? Ndio maana che Nkapa alileta mabeberu kuja kuwasimamia Hawa japo vyuo wameenda vile vile na course zile zile.
Jana kuanzia asubuhi mpaka saa kumi na nusu umeme umekatika. Engineers wanakata umeme ili waandike OT na kusaini tu hakuna cha maana.
 
Germans ndio most discipline people niliokutana nao. Si katika engineering tu hata katika maisha yao kila siku wana umakini mkubwa sana katika utekelezaji wa kila shughuli ipo ndani ya utamaduni wao.
 
Mkuu. Inaonekana umekulia ulaya na Bado uko ulaya. Kipindi choote miezi 18 niliyokaa ulaya umeme haujawahi kukatika. Hapa TZ hata muda huu umeme umekatika ilhali tanesco Kuna mainjinia kibao. Hivi hawawezi kukagua vifaa vyao mpaka umeme ukatike ndio waje Kama Zima Moto? Inatumia akili na gharama kiasi gani kukagua transformer ili lisiungue? Ndio maana che Nkapa alileta mabeberu kuja kuwasimamia Hawa japo vyuo wameenda vile vile na course zile zile.
Mkuu, siyo kila tatizo/katiko la umeme linalotokea linasababishwa na matatizo ya ma-Engineers. Mfano labda Tanesco kwenye Grid yao wameunganisha vyanzo 6 (my guess) vya kuzalisha umeme. Ambavyo vinakuwa vina-inject 1000MW kwa mfano kwenye Grid yao, bahati mbaya chanzo kimojawapo mfano kule Pangani Falls, Nyani anafanya short kwenye moja kati ya zile machinę na kuiondoa kwenye Grid; hapo tayari lazima baadhi ya watu wakose umeme. Kumbuka hapo siyo tatizo la Engineers, ni Nyani hapo ndio wameleta balaa. Halafu kulinganisha Ulaya na Tanzania sidhani kama ni sahihi kwani wale wana vyanzo vingi na vya uhakika pamoja na Nuclear Power Plants. Power Plants zao zingine zinakuwa kwenye spinning mode, yaani ziko standby kama Grid yao inapoteza moja kati ya Generation plant moja basi iliyo standby ina kick in wewe mteja wa kawaida bila hata kujua ni nini kilichotokea.
 
Kwani mzee kitu gani huwa kinafanya umeme ukatike ?

Au kitu gani kinafanya Transformer iungue ? Au unaweza kututhibitishia ya kuwa hizo Transformer kabla ya kufungwa hazikaguliwi ?
 
Umenikumbusha hazina ya Mjerumani, zile Pasi na Rupia/sarafu zimewatoa kamasi watu wengi sana!
 
Infantry Soldier
Wajerumani siri yao ipo kwenye msingi imara wa elimu.

Unajua watu wengi huku africa elimu ambayo tunayo ni elementary education. Ndio maana manguli tunaowafahamu wanaishia kwa Newton, sasa kitu ambacho wengi hamfahamu kuna kitu kinaitwa higher level of education hapa ndipo utawakuta mastaaa wa kijerumani wakifanya yao. Utakutana na majabali yabhesabu haijapata kutojea kuna manguli kama Gaus,rieman, cantor, ukiachana na hesabu germany wa na philosophy ngumu kupitiliza unakuta jabali, Kant, Schopenhauer, nomer sana

Einstein mwenyewe theory zake kazivisha hesabu za kijerumani schrodinger, scwab, hatari sana
Sio unaona magari unashangaaa kuna mambo mengine deep kabisa hawa jamaa wamefikia, higher education weka mbali na watoto
 
Mkuu, siyo kila tatizo/katiko la umeme linalotokea linasababishwa na matatizo ya ma-Engineers. Mfano labda Tanesco kwenye Grid yao wameunganisha vyanzo 6 (my guess) vya kuzalisha umeme. Ambavyo vinakuwa vina-inject 1000MW kwa mfano kwenye Grid yao, bahati mbaya chanzo kimojawapo mfano kule Pangani Falls, Nyani anafanya short kwenye moja kati ya zile machinę na kuiondoa kwenye Grid; hapo tayari lazima baadhi ya watu wakose umeme. Kumbuka hapo siyo tatizo la Engineers, ni Nyani hapo ndio wameleta balaa. Halafu kulinganisha Ulaya na Tanzania sidhani kama ni sahihi kwani wale wana vyanzo vingi na vya uhakika pamoja na Nuclear Power Plants. Power Plants zao zingine zinakuwa kwenye spinning mode, yaani ziko standby kama Grid yao inapoteza moja kati ya Generation plant moja basi iliyo standby ina kick in wewe mteja wa kawaida bila hata kujua ni nini kilichotokea.
heheheheee umeamua kutuchekesha mkuu
 
I am also wondering why Tanzania engineers are of the poorest quality. Look at tanesco engineers. Look at Tanroad engineers. Kukiwa na barabara ya kutengenezwa maengineer wa Tanroad watafuatilizia mule mule ilipo barabara iliyobuniwa na wananchi. Mfano. Mbezi Goba Mbezi beach. Mbezi Maramba majumba sita. Buza kwa Mpalange to Buza kwa lugola.

Kuna vitu vingi vya kuangalia kabla ya ujenzi wa barabara. Naamini katika njia ulizozitaja hapo kuna either makazi ya watu au viwanja. Inahitaji kulipa fidia kama unahitaj kuestablish new route. Kwahiyo katika hilo ni suala pesa. Unaweza lipa fidia ikazidi gharama za ujenzi
 
Back
Top Bottom