Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

Wajerumani wachawi tu, we hushangai mpaka leo chemli na pasi ya mjerumani haijapatikana na watu bado wanaitafuta mpaka kesho. (masihara)

Germany's prowess in engineering is indisputable 🙌🙌
 
Sio Israel tena mlamu!
Nami nilitaka niseme hivyo hivyo.Naona wameiweka akiba wataijaza baadae.
Ukisoma physics ndio utajua wajerumani ni akina nani.
Hawa wazungu ndio wanaamini kuwa ndio binadamu bora tangu kuumbwa kwa dunia,ukiwachunguza unaweza kuwaamini.Walipigwa vita ww2 na kushindwa,wakajipanga wakarudi na kuwa taifa bora kiuchumi na kiteknolojia ulaya.
Luna mahala nilisoma ktk physics kuwa wao somo la quantum physics walilipa kipaumbele wakawekeza facility na sasa matunda yanaonekana.
 
duuuh ina maana watu wengi walikuwa wanakimbilia kwenye kazi za mikono (ufundi)?
Wamewekeza ktk kujenga akili sio kazi za mikono.Babu zetu walijua sana kazi za mikono,walisuka kila aina ya ususi lakini walisahau kuwekeza ktk ubongo.
wajerumani wamewekeza ktk kuujenga ubongo.
Sidi waafrika tunawekeza ktk music and sports.Watu wanatumia muda mwingi ktk ngoma,muziki Mpira hawana muda na teknolojia.Sisi tunakuza vipaji vya muziki na Mpira sio sayansi na teknolojia.Tumeamua kuchagua entertainment.
 
Unajua hawa jamaa babu zao ndio waliogundua aina zote mbili za engine (petrol na dezeli).Kwa wale waliopitia"Thermodynamics" mtakuwa mnakumbuka "Otto cycle" na "Diesel cycle", Hawa mababu Nikolaus Otto na Rudolf Diesel walikuwa Wajerumani hivyo vizazi vilivyo kuja baada ya hapo vimeendelea kuboresha hiyo teknolojia toka wakati huo (karne ya 19) ndio maana magari na mitambo yao ina ubora wa hali ya juu
 
Mkuu, siyo kila tatizo/katiko la umeme linalotokea linasababishwa na matatizo ya ma-Engineers. Mfano labda Tanesco kwenye Grid yao wameunganisha vyanzo 6 (my guess) vya kuzalisha umeme. Ambavyo vinakuwa vina-inject 1000MW kwa mfano kwenye Grid yao, bahati mbaya chanzo kimojawapo mfano kule Pangani Falls, Nyani anafanya short kwenye moja kati ya zile machinÄ™ na kuiondoa kwenye Grid; hapo tayari lazima baadhi ya watu wakose umeme. Kumbuka hapo siyo tatizo la Engineers, ni Nyani hapo ndio wameleta balaa. Halafu kulinganisha Ulaya na Tanzania sidhani kama ni sahihi kwani wale wana vyanzo vingi na vya uhakika pamoja na Nuclear Power Plants. Power Plants zao zingine zinakuwa kwenye spinning mode, yaani ziko standby kama Grid yao inapoteza moja kati ya Generation plant moja basi iliyo standby ina kick in wewe mteja wa kawaida bila hata kujua ni nini kilichotokea.
Kwa nini hao maengineers wa bongo wasiumize kichwa kuwe na standby ili chanzo kimoja kikiungua kingine kiwake?Bado tunarudi kulekule kwamba engineers wa bongo wana uwezo mdogo.
 
Pia shangaa na kujiuliza kwanini German is good at Engineering but there are not any German universities in the top 20 World rankings [emoji848]
Aisee these guys Germans are INTELLIGENT and RIGID, that's why so many widely known & esteemed scientists and/or inventors were German historically.
Tunaongelea akina: Einstein, Heisenberg, von Braun, Max Planck, Schrödinger, Ludwig Prandtl, na wengine kibao tu.

Kwanza unatakiwa kujua German engineering mentality is to really want to know and figure out how it works, on a very deep level. Tofauti na nchi zingine ambazo wao they just want to know how it works on a top level only, but they stress you all the time how (whatever it is) can make money quickly.
And if you can’t answer that question, they just move on (kibongo bongo/kiafrica na kwengineko)

These guys pia love science and technology. It is in their blood. Many engineers in Germany do private engineering projects in their free time. It is their passion. And if you like something you prosper. Sio kama nchi zetu hizi you just study engineering only to make a living. That has deeper roots in the cultural system and values in the society as a whole.

That's all

Naomba WAJUMBE wenzangu waje kuongezea nyama hapa [emoji23][emoji23][emoji23] ila WAJUMBE bwana sio watu aisee kasoro mimi tu[emoji23][emoji23][emoji23]

C and p From Quora
 
I am also wondering why Tanzania engineers are of the poorest quality. Look at tanesco engineers. Look at Tanroad engineers. Kukiwa na barabara ya kutengenezwa maengineer wa Tanroad watafuatilizia mule mule ilipo barabara iliyobuniwa na wananchi. Mfano. Mbezi Goba Mbezi beach. Mbezi Maramba majumba sita. Buza kwa Mpalange to Buza kwa lugola.

Maneno chungu nzima, wewe fani yako ni hipi,labda tuanzie hapo.
 
Nami nilitaka niseme hivyo hivyo.Naona wameiweka akiba wataijaza baadae.
Ukisoma physics ndio utajua wajerumani ni akina nani.
Hawa wazungu ndio wanaamini kuwa ndio binadamu bora tangu kuumbwa kwa dunia,ukiwachunguza unaweza kuwaamini.Walipigwa vita ww2 na kushindwa,wakajipanga wakarudi na kuwa taifa bora kiuchumi na kiteknolojia ulaya.
Luna mahala nilisoma ktk physics kuwa wao somo la quantum physics walilipa kipaumbele wakawekeza facility na sasa matunda yanaonekana.


Nani kawambieni Quantum physics unahusika katika uundaji wa magari?
 
Infantry Soldier
Wajerumani siri yao ipo kwenye msingi imara wa elimu.

Unajua watu wengi huku africa elimu ambayo tunayo ni elementary education. Ndio maana manguli tunaowafahamu wanaishia kwa Newton, sasa kitu ambacho wengi hamfahamu kuna kitu kinaitwa higher level of education hapa ndipo utawakuta mastaaa wa kijerumani wakifanya yao. Utakutana na majabali yabhesabu haijapata kutojea kuna manguli kama Gaus,rieman, cantor, ukiachana na hesabu germany wa na philosophy ngumu kupitiliza unakuta jabali, Kant, Schopenhauer, nomer sana

Einstein mwenyewe theory zake kazivisha hesabu za kijerumani schrodinger, scwab, hatari sana
Sio unaona magari unashangaaa kuna mambo mengine deep kabisa hawa jamaa wamefikia, higher education weka mbali na watoto
Gauss Markov ni nyoko aisee.....pia kuna Gottfried Liebniz.

Kama ulivyosema Ujerumani ina historia ndefu sana ya sayansi. Maendeleo makubwa sana ya kiteknolojia yanatokana na maendeleo ya sayansi ambayo kwa Wajerumani yameanza karne nyingi sana zamani.
 
Caterpillar
Screenshot_20200727-172710.png
 
Kwa nini viwe vichache?tuanzie hapo kwanza
Mkuu, huwezi tu ukaamua kujenga HydroPower Station Buguruni kwa Kimbengere; lazima upate eneo linalokidhi kuwa na kituo kama hicho; hayo maeneo ndio mtihani sasa kuyapata. Ndio maana Stiegler's Gorge zinajengwa huko kwenye maeneo sahihi, yanayokidhi mahitaji yote ya kuwa na kituo kama hicho.
 
Mkuu, huwezi tu ukaamua kujenga HydroPower Station Buguruni kwa Kimbengere; lazima upate eneo linalokidhi kuwa na kituo kama hicho; hayo maeneo ndio mtihani sasa kuyapata. Ndio maana Stiegler's Gorge zinajengwa huko kwenye maeneo sahihi, yanayokidhi mahitaji yote ya kuwa na kituo kama hicho.
Kwa hiyo unataka kusema Tanzania ina uhaba wa maeneo?Kama mapori yamejaa tele,mito imejaa tele,mabwawa yako tele.
Nini kinakosekana?
 
Back
Top Bottom