Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Kwa ufupi tu ni kwamba, unaweza kuwa na mito, mabwawa na mapori kama ulivyosema mwenyewe lakini bado hayo maeneo yakawa hayana vitu "Muhimu" vinavyokidhi mahitaji ya uendeshaji/uwepo wa Hydropower station. La muhimu zaidi ni ile wanaita "Head", yaani uwezo wa maji kuporomoka chini kwa nguvu kiasi cha kuwa na uwezo wa kuzizungusha turbines ili zifue umeme.Kwa hiyo unataka kusema Tanzania ina uhaba wa maeneo?Kama mapori yamejaa tele,mito imejaa tele,mabwawa yako tele.
Nini kinakosekana?