Infantry Soldier
Wajerumani siri yao ipo kwenye msingi imara wa elimu.
Unajua watu wengi huku africa elimu ambayo tunayo ni elementary education. Ndio maana manguli tunaowafahamu wanaishia kwa Newton, sasa kitu ambacho wengi hamfahamu kuna kitu kinaitwa higher level of education hapa ndipo utawakuta mastaaa wa kijerumani wakifanya yao. Utakutana na majabali yabhesabu haijapata kutojea kuna manguli kama Gaus,rieman, cantor, ukiachana na hesabu germany wa na philosophy ngumu kupitiliza unakuta jabali, Kant, Schopenhauer, nomer sana
Einstein mwenyewe theory zake kazivisha hesabu za kijerumani schrodinger, scwab, hatari sana
Sio unaona magari unashangaaa kuna mambo mengine deep kabisa hawa jamaa wamefikia, higher education weka mbali na watoto