Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Kwa ufupi tu ni kwamba, unaweza kuwa na mito, mabwawa na mapori kama ulivyosema mwenyewe lakini bado hayo maeneo yakawa hayana vitu "Muhimu" vinavyokidhi mahitaji ya uendeshaji/uwepo wa Hydropower station. La muhimu zaidi ni ile wanaita "Head", yaani uwezo wa maji kuporomoka chini kwa nguvu kiasi cha kuwa na uwezo wa kuzizungusha turbines ili zifue umeme.Kwa hiyo unataka kusema Tanzania ina uhaba wa maeneo?Kama mapori yamejaa tele,mito imejaa tele,mabwawa yako tele.
Nini kinakosekana?
Kwa hiyo unataka kusema huko ujerumani kuna maporomoko mengi kuliko tanzania?Kwa ufupi tu ni kwamba, unaweza kuwa na mito, mabwawa na mapori kama ulivyosema mwenyewe lakini bado hayo maeneo yakawa hayana vitu "Muhimu" vinavyokidhi mahitaji ya uendeshaji/uwepo wa Hydropower station. La muhimu zaidi ni ile wanaita "Head", yaani uwezo wa maji kuporomoka chini kwa nguvu kiasi cha kuwa na uwezo wa kuzizungusha turbines ili zifue umeme.
Wanatumia Nuclear Power kule bana. 😁Kwa hiyo unataka kusema huko ujerumani kuna maporomoko mengi kuliko tanzania?
Kwa porojo na siasa ndio jadi ya watanzania maneno mengi vitendo hakuna.
well saidCaterpillar
Daaah wee acha tu mkuuVijana wana matatizo huwa wananaandika wanavyojisikia.
Hakika jamaa wapo mbele sana kutuzidiWanatumia Nuclear Power kule bana. 😁
Poa mkuuKaribu sana
aisee safi sana hii mkuu. Self-awareness approachKiufupi jamaa walijengewa uwezo wa kuwa jinsi walivyo
Ndio maana Stiegler's Gorge zinajengwa huko kwenye maeneo sahihi, yanayokidhi mahitaji yote ya kuwa na kituo kama hicho.Kwa hiyo unataka kusema Tanzania ina uhaba wa maeneo?Kama mapori yamejaa tele,mito imejaa tele,mabwawa yako tele.
Nini kinakosekana?
Hii inawezekana ikawa ni sababu moja wapo but not necessarily the only reasonKuna baadhi ya watu wanadai ya kwamba labda ni kutokana na ukali wa Adolf Hitler ndio umewajengea umakini pamoja na nidhamu katika kazi zao. Sasa sijui ni kweli ama ni uongo?
Are you sure mkuu?Ujerumani wasomi ni wengi Phd's are everywhere hata fundi gari mwenye garage ana Phd ya magari na yuko competent mbaya,baada ya kushindwa WWII waliwekeza sana kwenye elimu
Dam ya muisrael ndio Siri ya german
Sasa mbona inasemekana Germans waliuwa Israelis wengi sana.Dam ya muisrael ndio Siri ya german
Cartepillar siyo ya mjerumani, kuna mjumbe huko juu amefafanua.well said
Mkuu, achilia mbali Ethiopia. Hiyo Israel yenyewe wanatengeneza brands za kibabe kama Mercedes Benz na BMW?Hapa umechangia kishabiki, kama ni damu ya Muisrael mbona hata afrika (Ethiopia) ipo na hawana huo ujuzi!!
Huyo mjumbe amechangia kishabiki maana kama ingekuwa damu ya waislael mbona wao hawajaipiku ujerumani? . Hata kama hatuwapendi lakini hawa watu (Wajerumani) wana historia ndefu katika uvumbuzi na utendaji kazi uliotukuka.Sasa mbona inasemekana Germans waliuwa Israelis wengi sana.
This is very true. Au ndio tuseme sikio halizidi kichwa@Huyo mjumbe amechangia kishabiki maana kama ingekuwa damu ya waislael mbona wao hawajaipiku ujerumani? .
Mkuu, achilia mbali Ethiopia. Hiyo Israel yenyewe wanatengeneza brands za kibabe kama Mercedes Benz na BMW?