Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

uzi mzuri kuwah kutokea duniani,
 
Kwa nini na sisi tusitumie nuclear plant?
Nuclear Power Plants huo ni mziki mwingine mkuu. Kwanza kwa Africa, ni South Africa pekee ndio ina Plant moja ya Nuclear ambayo inachangia kama 5% ya total generation ya umeme wa nchi nzima. Tatizo la hii kitu ni ile upfront cost yake, ni aghali sana. Hiyo Stigler's Gorge inatupekesha; hii si mchezo. Halafu kuna Reactors are extremely expensive to build, ukiachana na hayo; inakuja na mambo mengine mengi tu. Gharama za ku dispose wastes, ma-Radioactive yale; kwa uchumi wetu wa kusuasua sidhani kama tuanaweza kuihimili Nuclear Power Plant.. Kwa maoni yangu lakini.
 
Kwa nini na sisi tusitumie nuclear plant?
Wajerumani wenyewe wanafunga nuclear power facilities ZOTE! Wanataka by 2022 isiwepo hata moja.
 
Mtajizungusha sana kutetea lakini mwisho wa siku tutarudi kulekule kwamba tuko na low technology plus uono mdogo wa viongozi wetu.
Kwani hao ujerumani waliwezaje?Unafikiri hao wajerumani wangekuwa wanatoa excuses visingizio kama hivyo vyetu wangefikia hatua waliyofikia?Wangekuwa wanaongea sana bila vitendo kama sisi wangefikia hayo maendeleo?
You must search what is the root cause of all these problems?
Wajerumani wenyewe wanafunga nuclear power facilities ZOTE! Wanataka by 2022 isiwepo hata moja.
View attachment 1519227
 
Hivi kuna mtu analinganisha uwezo wa technology ya Germany na Tz?! Sipo huko ndugu nilikuwa nawafahamisha tu hata hizo nuclear energy wengi wanazifunga sasa hivi. Pia zinachangia kiasi kidogo tu cha umeme kwenye hizo nchi. Baada ya ajali' ya Fukushima wengi wanachukua hatua ya kuzifunga na kuachana nazo.
 
Yale madude ni aghali, hatuyawezi. Halafu inachukua miaka kuanza kupata faida kwa kampuni inayokuwa inamiliki hiyo Plant.
Yanachangia only 10% ya umeme wote duniani ndio maana wanaweza kuachana nayo.
 
Hapo sawa nimekuelewa.
Maana mwanzoni ulivyoquote comment yangu kuna mtu nilikuwa nabishana naye alikuwa anatetea kwamba engineers wa bongo wapo competent kama wa kijerumani sema huku kwetu kuna vitu vinawazuia kufanya vitu smart ndio maana nikawa natoa ile mifano
 
Sasa na mimi nimekuelewa pia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…