Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

safi@
 
miaka yote mlikuwa wapi?Na hata hivyo huo mradi umeshikiliwa na kufanywa na engineers kutoka egypt.
Kila jambo lina wakati wake mkuu. Suala sio Egyptians kushika mradi kwa maana hata Nuclear Rectors za Iran na North Korea zilijengwa na Russians@
 
Hiyo namb mbili ni mimi kabisa,toka niuze VW yangu mpaka leo sina gari tena coz hela haitoshi nataka mjerumani mwingine.

Toyota sijui naona ni vidudu gani..
 
Usimsahau Schrödinger. Inasemekana equations zake Albeit Einstein alishindwa kuzielewa, mind you Einstein ni Milium scientist lakini alishindwa kuelewa hesabu za Schrödinger! Wajerumani wana akili sana na ndio maana walitaka kuitawala dunia.
 
Hapa umechangia kishabiki, kama ni damu ya Muisrael mbona hata afrika (Ethiopia) ipo na hawana huo ujuzi!!
Huwa najiuliza kama hao waislael sana akili sana kama wadau wanavyokuza, mbona mapinduzi ya viwanda hayakuanzia Islael. Msichanganye biblia na mambo ya teknolojia.Waislaeli Hawatii mguu kwa wajerumani kamwe.German haipokei misaada japo ilipigwa vita na kuishindwa islael inapikea misaada kutoka USA.Hapo nani zaidi.
 
North Korea wamewezaje kuwekeza ktk nuclear enreachment wakati kanchi masikini Sasa hivi ni vidume duniani, vinaweza kuifanya nchi ikawa mchanga au primitive kwa nuclear heads
 
Ukisikia ujinga ndio huu sasa,na hawa ndio wahandisi wa kibongo sasa
 
Kwa excuses hamjambo.
Mna mikakati gani ili baadae mbadilike na kufusta nyayo za hao Wakorea mliowataja?
Kwa nini hao wa Russia hawajaja kujenga huku kwetu? Hakuna nchi inayoipa teknolojia nchi nyingine kirahisi tu, lazima upambane.kuna mtu anaitwa Abdisalam, huyu ni mpakistani ambae amehusika kuvujisha teknolojia kwa Iran na Korea.Huyo jamaa aliwahi Fanya kazi na waingereza, akarudi Pakistan akajenga hio teknolojia baadae akaanza kuuza huo ujuzi.Alikuwa na uchu was pesa.
Wazungu wanamchukia kama sumu.Ingia google utapata habari zake.
Waafrika wengi wakitumwa ulaya kusoma wakifika huko wanalimbuka.Ukifuatilia hats India walivyopata teknolojia ya nunclear ni importation iliofanywa na profesa wao ambae aliishawishi serikali na ikampa ushirikiano.Wa Asia hawataki utani na issue za teknolojia, warabu na waafrika ndio tumezubaa.
 
Good point!Hata hao waarabu wametuacha mbali mara 10.
 
Wakuu zaidi ya magari yao Mercedes Benz,BMW Audi VW ni products zipi za Kijerumani zinatamba duniani? Wengine dunia imetuacha nyuma
Vifaa vya ndege ni noma, hasa jet engine hao ni nyoko! Mchina ameshibdwa kukopi, wataalamu wanasema haikopiki,lazima akuvujishie au uschratch
 
Duuuh sasa tunaongozwa na chadema au na CCM je kama ni ccm wametufanyia nini mpaka mda huu toka uhuru nakushangaa unapoilaumu Chadema ili hali waharibifu ndio Ccm
 
Kwetu bongo mtu anaonekana kabisa anakipaji lakin serikali inampotezea ad anarudi shamba kuishia kulima
Katika nchi ambayo wana juhudi za kupokea talents kutoka pande zote za dunia ni Marekani. Ndo mana unaona pale kuna watu wabunifu wamejazana ambao ni wa nyanja mbalimbali kama teknolojia, mziki, ujenzi, yani ukionekana wewe ni mtu productive wanakupa uraia na ikiwezekana na financial support kabisa ili uijenge nchi yao.

Ila huku Afrika ukijulikana tu we ni moto wa kuotea mbali watu wanakuzima unapotea kabisa unabaki jivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…