Kwa nini hao wa Russia hawajaja kujenga huku kwetu? Hakuna nchi inayoipa teknolojia nchi nyingine kirahisi tu, lazima upambane.kuna mtu anaitwa Abdisalam, huyu ni mpakistani ambae amehusika kuvujisha teknolojia kwa Iran na Korea.Huyo jamaa aliwahi Fanya kazi na waingereza, akarudi Pakistan akajenga hio teknolojia baadae akaanza kuuza huo ujuzi.Alikuwa na uchu was pesa.
Wazungu wanamchukia kama sumu.Ingia google utapata habari zake.
Waafrika wengi wakitumwa ulaya kusoma wakifika huko wanalimbuka.Ukifuatilia hats India walivyopata teknolojia ya nunclear ni importation iliofanywa na profesa wao ambae aliishawishi serikali na ikampa ushirikiano.Wa Asia hawataki utani na issue za teknolojia, warabu na waafrika ndio tumezubaa.