Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #161
CCM na CHADEMA katika thread ya Wajerumani na Engineering.Duuuh sasa tunaongozwa na chadema au na CCM je kama ni ccm wametufanyia nini mpaka mda huu toka uhuru nakushangaa unapoilaumu Chadema ili hali waharibifu ndio Ccm
Hakika@Katika nchi ambayo wana juhudi za kupokea talents kutoka pande zote za dunia ni Marekani. Ndo mana unaona pale kuna watu wabunifu wamejazana ambao ni wa nyanja mbalimbali kama teknolojia, mziki, ujenzi, yani ukionekana wewe ni mtu productive wanakupa uraia na ikiwezekana na financial support kabisa ili uijenge nchi yao.
Products! Nyingine ni Porsche, Mercedes AMG chini ya Mercedes-Benz/DaimlerWakuu zaidi ya magari yao Mercedes Benz,BMW Audi VW ni products zipi za Kijerumani zinatamba duniani? Wengine dunia imetuacha nyuma
Elimu elimu elimuUjerumani wasomi ni wengi Phd's are everywhere hata fundi gari mwenye garage ana Phd ya magari na yuko competent mbaya,baada ya kushindwa WWII waliwekeza sana kwenye elimu
Asante mkuu, ila katika products ulizonitajia zipo rival products kutoka nchi nyingine ni bora zaidi. Wajerumani wako vizuri ila bado products zao nyingi hazijawa number ones in the world.Products! Nyingine ni Porsche, Mercedes AMG chini ya Mercedes-Benz/Daimler
Huku Product's zaidi zikiwa ni Siemens, Adidas, Puma, uhlsport (Mdhamini wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Simba), SAP, Allianz, Deutsche Bank, Bayer, Bosch, Mayer Werft (Mhunzi wa meli ya MV Liemba), Trivago, Hugo Boss, BMG Rights Management, Hermes, Lufthansa, Nero, DHL na Leica Kamera.
Yes, inawezekana pia kumbuka kuna products uzionazo bora worldwide zipo chini ya German's, they no longer serve independently zaidi ya status ya kuanzishwa katika taifa fulani.Asante mkuu, ila katika products ulizonitajia zipo rival products kutoka nchi nyingine ni bora zaidi. Wajerumani wako vizuri ila bado products zao nyingi hazijawa number ones in the world.
Thanksuzi mzuri kuwah kutokea duniani,
I concur with youYes, inawezekana pia kumbuka kuna products uzionazo bora worldwide zipo chini ya German's, they no longer serve independently zaidi ya status ya kuanzishwa katika taifa fulani.
Na wao hawafichi ugonjwa. Ukifa kwa COVID 19, watatanga wazi kuwa rais wetu kafa kwa COVID 19.Hao jamaa kabla ya tuzo za NOBELI KUTOLEWA walikuwa na walimu km kina MAGUFULI kibao....
Tuzo zilivyoanza KUTOLEWA WAKAZIZOA...WAKAZIBEBAAA WEE usiseme tuzo za MATUSI NA KUDHARAU MAREHEMU zinazotolewa pale mtaa wa UFIPA laa khasha....ni tuzo za CHEMISTRY na fizikia.......
Wao ndo waongozao kuchukua NOBELI...
Za Iran zimejengwa na UjerumaniKila jambo lina wakati wake mkuu. Suala sio Egyptians kushika mradi kwa maana hata Nuclear Rectors za Iran na North Korea zilijengwa na Russians@
This is a broad-day-light lieZa Iran zimejengwa na Ujerumani
Mhh. Any hard fact please?Za Iran zimejengwa na Ujerumani
Hakika mkuuWaliokuwa WAARABU wanaotangatanga jangwani kukamua maziwa ya ngamia na kupopoa TENDE wameamua kuikumbatia ELIMU....
Asante kwa taarifa mkuu. I didn't know this before.UAE kwa MSAADA wa wataalamu toka Korea Kusini Wanajenga NUCLEAR REACTORS kwa AJILI ya kufua umeme kwa MATUMIZI ya amani.
Kudos mpiganaji wetu.Asante kwa taarifa mkuu. I didn't know this before.
Ndugu yangu, kwani ni akina nani wanaficha ugonjwa?Na wao hawafichi ugonjwa. Ukifa kwa COVID 19, watatanga wazi kuwa rais wetu kafa kwa COVID 19.
Kudos kijana mdogo Infantry SoldierKudos mpiganaji wetu.
Wadachi ni shiiida kijana wanguShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini ENGINEERS wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni nini hasa?
View attachment 1517904
Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba;
Moja (1) Siku ya Ijumaa ilee ya wiki iliyopita nilimsindikiza mjomba wangu mmoja kule kariakoo kwenda kununua kipuri (spare) moja ya mshine ya kusagia unga kwa ajili ya kupeleka kijijini kwao kwa maana hii ndio biashara yake miaka nenda rudi.
Sasa baada ya kufika katika duka la baba mmoja mtanzani mwenye asili ya bara la asia (al maaruf kama mhindi) tukakuta ni kweli anayo spare ile ila zipo za aina tatu. Moja ni kitoka nchini Singapore, nyingine nchini China na ya tatu ni kutoka nchini Ujerumani. Sasa yeye akawa anamsisitiza mjomba wangu kwa lafudhi ya Kiswahili cha kihindi "chukua hii baba ipo genuine kabisa fresh from german" basi uncle akanunua, akalipa kisha sisi haoooo tukarudi zetu home.
Mbili (2) Vile vile inasemekana kwamba, mtu akianza kuendesha gari za Kijerumani kama vile Mercedes Benz, BMW, Audi au VolksWagen kwa namna zinavyokuwa nzito na kutulia sana barabarani, mtu huyo kamwe hatotamani tena maishani mwake kuendesha gari za Kijapan kama vile Toyota na Nissan.
View attachment 1518897
Tatu (3) Bila kuishia hapo, huku mitaani pia mara nyingi kumekuwepo na msemo maarufu kwa mfano utamsikia mtu akijigamba kwa rafiki yake kwamba "daaah mwanangu hii pasi tangia niinunue huu ni mwaka wa 8 sasa na sijawahi kuipeleka kwa fundi, chuma cha mjerumani hiki mzee baba"
Nne (4) Msafari wa Rais wa Russia ndugu Vladmir Putin umejaa BMW motorcycles; and Mercedes G-Class, Mercedes E-Class, S-Class, BMW 5 Series. Tazama picha ya msafara wa Putin hapo chini.
View attachment 1517923
Sasa kwa kuzingatia scenario hizo zote nne (4) ndio nikajawa na maswali mengi sana akilini mwangu kwamba WHY ARE GERMANS SO GOOD AT ENGINEERING?
Kuna baadhi ya watu hapa watakuja kusema ninaisifia sana Ujerumani kwa maana ninauza vitabu vyao hahahahaaaaaa
BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
View attachment 1518291
PUMZIKA KWA AMANI MZEE MKAPA. VITA UMEIPIGANA NA MWENDO UMEUMALIZA BABA YETU. MUNGU AKUPE PEPO ILIYO NJEMA MZALENDO MWENZANGU.