Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

Katika nchi ambayo wana juhudi za kupokea talents kutoka pande zote za dunia ni Marekani. Ndo mana unaona pale kuna watu wabunifu wamejazana ambao ni wa nyanja mbalimbali kama teknolojia, mziki, ujenzi, yani ukionekana wewe ni mtu productive wanakupa uraia na ikiwezekana na financial support kabisa ili uijenge nchi yao.
Hakika@
 
Wakuu zaidi ya magari yao Mercedes Benz,BMW Audi VW ni products zipi za Kijerumani zinatamba duniani? Wengine dunia imetuacha nyuma
Products! Nyingine ni Porsche, Mercedes AMG chini ya Mercedes-Benz/Daimler

Huku Product's zaidi zikiwa ni Siemens, Adidas, Puma, uhlsport (Mdhamini wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Simba), SAP, Allianz, Deutsche Bank, Bayer, Bosch, Mayer Werft (Mhunzi wa meli ya MV Liemba), Trivago, Hugo Boss, BMG Rights Management, Hermes, Lufthansa, Nero, DHL na Leica Kamera.
 
Products! Nyingine ni Porsche, Mercedes AMG chini ya Mercedes-Benz/Daimler

Huku Product's zaidi zikiwa ni Siemens, Adidas, Puma, uhlsport (Mdhamini wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Simba), SAP, Allianz, Deutsche Bank, Bayer, Bosch, Mayer Werft (Mhunzi wa meli ya MV Liemba), Trivago, Hugo Boss, BMG Rights Management, Hermes, Lufthansa, Nero, DHL na Leica Kamera.
Asante mkuu, ila katika products ulizonitajia zipo rival products kutoka nchi nyingine ni bora zaidi. Wajerumani wako vizuri ila bado products zao nyingi hazijawa number ones in the world.
 
Asante mkuu, ila katika products ulizonitajia zipo rival products kutoka nchi nyingine ni bora zaidi. Wajerumani wako vizuri ila bado products zao nyingi hazijawa number ones in the world.
Yes, inawezekana pia kumbuka kuna products uzionazo bora worldwide zipo chini ya German's, they no longer serve independently zaidi ya status ya kuanzishwa katika taifa fulani.
 
Hao jamaa kabla ya tuzo za NOBELI KUTOLEWA walikuwa na walimu km kina MAGUFULI kibao....

Tuzo zilivyoanza KUTOLEWA WAKAZIZOA...WAKAZIBEBAAA WEE usiseme tuzo za MATUSI NA KUDHARAU MAREHEMU zinazotolewa pale mtaa wa UFIPA laa khasha....ni tuzo za CHEMISTRY na fizikia.......

Wao ndo waongozao kuchukua NOBELI...
Na wao hawafichi ugonjwa. Ukifa kwa COVID 19, watatanga wazi kuwa rais wetu kafa kwa COVID 19.
 
Waliokuwa WAARABU wanaotangatanga jangwani kukamua maziwa ya ngamia na kupopoa TENDE wameamua kuikumbatia ELIMU....

UAE kwa MSAADA wa wataalamu toka Korea Kusini Wanajenga NUCLEAR REACTORS kwa AJILI ya kufua umeme kwa MATUMIZI ya amani.

Ni hatua kubwa wamepiga baada ya majuzi kurusha ndege yao kwenda anga za mbali.

Hii inatufundisha kuwa MAJIRANI ZETU wataendelea kuionea wivu Tanzania ya Magufuli kwa sababu ya Jemedari JPM amenuia kivitendo kutubadilisha iliyokuwa MITIZAMO MFU kwa kutuletea fikra chanya ya VIWANDA...

La muhimu,wizara Yetu ya Elimu,pamoja na COSTECH kujipanga haswa kwa kunoa BONGO zao kibunifu ili tutoke hapa tuliko na KUPAA tutakako.

Mungu Mbariki RAIS JPM na watendaji wake Aaaamin aaaaamin.


Kijana muuza Al Kasus
Tandale Kwa Mtogole
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti ndugu zangu watanzania;

Kwanini ENGINEERS wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni nini hasa?

View attachment 1517904

Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba;

Moja (1) Siku ya Ijumaa ilee ya wiki iliyopita nilimsindikiza mjomba wangu mmoja kule kariakoo kwenda kununua kipuri (spare) moja ya mshine ya kusagia unga kwa ajili ya kupeleka kijijini kwao kwa maana hii ndio biashara yake miaka nenda rudi.

Sasa baada ya kufika katika duka la baba mmoja mtanzani mwenye asili ya bara la asia (al maaruf kama mhindi) tukakuta ni kweli anayo spare ile ila zipo za aina tatu. Moja ni kitoka nchini Singapore, nyingine nchini China na ya tatu ni kutoka nchini Ujerumani. Sasa yeye akawa anamsisitiza mjomba wangu kwa lafudhi ya Kiswahili cha kihindi "chukua hii baba ipo genuine kabisa fresh from german" basi uncle akanunua, akalipa kisha sisi haoooo tukarudi zetu home.

Mbili (2) Vile vile inasemekana kwamba, mtu akianza kuendesha gari za Kijerumani kama vile Mercedes Benz, BMW, Audi au VolksWagen kwa namna zinavyokuwa nzito na kutulia sana barabarani, mtu huyo kamwe hatotamani tena maishani mwake kuendesha gari za Kijapan kama vile Toyota na Nissan.

View attachment 1518897

Tatu (3) Bila kuishia hapo, huku mitaani pia mara nyingi kumekuwepo na msemo maarufu kwa mfano utamsikia mtu akijigamba kwa rafiki yake kwamba "daaah mwanangu hii pasi tangia niinunue huu ni mwaka wa 8 sasa na sijawahi kuipeleka kwa fundi, chuma cha mjerumani hiki mzee baba"

Nne (4) Msafari wa Rais wa Russia ndugu Vladmir Putin umejaa BMW motorcycles; and Mercedes G-Class, Mercedes E-Class, S-Class, BMW 5 Series. Tazama picha ya msafara wa Putin hapo chini.

View attachment 1517923

Sasa kwa kuzingatia scenario hizo zote nne (4) ndio nikajawa na maswali mengi sana akilini mwangu kwamba WHY ARE GERMANS SO GOOD AT ENGINEERING?

Kuna baadhi ya watu hapa watakuja kusema ninaisifia sana Ujerumani kwa maana ninauza vitabu vyao hahahahaaaaaa

BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

View attachment 1518291

PUMZIKA KWA AMANI MZEE MKAPA. VITA UMEIPIGANA NA MWENDO UMEUMALIZA BABA YETU. MUNGU AKUPE PEPO ILIYO NJEMA MZALENDO MWENZANGU.
Wadachi ni shiiida kijana wangu
 
Back
Top Bottom