Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,334
Historia ni moja ya njia za kujifariji, Je historia itabadirisha uhalisia wa ujinga na umaskini tulionao leo?Kasome historia vzr,
Unaujua mji wa timbuktu?!watu walitoka bara ulaya wakaenda kujifunza Afrika,karne nyingi sana kabla ya mkutano wa berlin ulioigawa Afrika.
Watu walishagundua kitambo hakuna papuchi tamuuu kama za wahaya, mpaka Kenya, Ulayank, wanazikubali, cha kufurahisha zaidi zinaambukiza wana chama Utajiri, Majsifu, Umaarufu, Kujisikia vizuri hata km wewe ni Maskini,Kwakua wanauza sana papuchi
Historia ni mwenendo wa kale na maisha kuhusu watu vitu Mali, uwezo, Milki, Ardhi nk, Kweli hii tabia ya kutopenda, watu wenu, vyenu, imeanzia vizazi vya mbali ndo maana wazee wenu walipoteza utajiri kirahisi,Historia ni moja ya njia za kujifariji, Je historia itabadirisha uhalisia wa ujinga na umaskini tulionao leo?
Nitajie faida za faraja.hata muafrica ukijifariji siyo dhambi! kuna mtu hataki faraja? yaani hata faraja unaichukia?
Mtu mwenye akili zake anatambua kipi sahihi na kipi si sahihi, sasa hao mababu ambao walikuwa hawapendi vya kwao ina maana hata historia yao hawakuandika, sasa unaamini vipi kutopenda kwao vya kwao ni kweli.Historia ni mwenendo wa kale na maisha kuhusu watu vitu Mali, uwezo, Milki, Ardhi nk, Kweli hii tabia ya kutopenda, watu wenu, vyenu, imeanzia vizazi vya mbali ndo maana wazee wenu walipoteza utajiri kirahisi
Waafrika wangapi pamoja na wewe ambao wamefanya mabadiliko yoyote katika chochote kama waafrika wanaoijua historia yao vizuri, mmeifanyia nini hiyo historia?Mpaka leo wakubwa na watoto wa kiswahili hawapendi Historia, wanapenda Sayansi km pambo tu, ambayo hawaifanyii lolote wala hata kuijua zaidi ya kuwa madalali wa wazungu
Sasa kama wameimiliki sehemu zote maarufu alafu sijui waliifanyia nini kabla ya kuchukua sehemu zote maarufu, kwanini nisiikanyage sababu hazina mashiko, na unajua wameimiliki sehemu zote maarufu na bado unaendelea kuamini ni ya kwetu.Unapoikandya Historia yenu, unaona ni sawa wazungu hawataki muijue Historia yenu, wameimiliki sehemu zote maarufu na kuwa yao
Na bado unaendelea kuamini na kutukuza historia ambayo imefanyiwa tafiti na wengine.Hata Lugha yenu mmeandikiwa, kula yenu , soma yenu, kunya yenu ina fanyiwa utafiti na watu wengine
Nakubali sijui alifanyia nini hizo dhahabu. Wewe unayejua alifanyia nini. Umefanya nini alichofanya mansa Musa ili uishi?King mansa Musa alifanyia nini dhahabu! ili na wewe leo basi ufanye ili uishi!
Uhalisia utabaki kuwa palepale sababu hata lugha aliyokuwa akitumia jf ni kiswahili pure huyo tonystark wa jf.hata ukiikataa Tanzania yako leo, ambayo ni historia ya kesho wao wanaitaka. kesho watasema tony stark wa JF alikuwa Mzungu
Kati ya anayehamasisha Africans tuache kukumbatia ujinga ili tusonge na yule anaye hamasisha kwamba tulikuwa Bora, yupi anajua walipotoka, walipo, kwanini, na wanakwenda wapi?waliojua thamani ya kile mricho nacho! kifupi hamjui mliko toka mlipo, kwa nini na mnaenda wapi!
Mfalme Daudi alipewa faraja na Mungu haikumfanya ashindwe kuongoza Israel kw mafanikio mpaka akaandika sehemu kubwa ya zaburi. tuna kaa na wake familia na watoto ajili ya faraja,yaani huponya, hutibu, hutoa uthubutu, hudumisha chocgote nk,Nitajie faida za faraja.
Kujifariji kwamba wewe ulikuwa bora ni moja kati ya vitu ambavyo vinafanya mtu kubweteka na kuamini kwamba ulikuwa bora. Faraja ni kwa watu wavivu wasiojua nini Cha kufanya ili kutatua changamoto iliyopo/zilizopo.
Kuikubali historia au kuikataa hakubadirishi uhalisia wa kinachoendelea sasa zaidi ya kujifariji na kubweteka.
Mtu mwenye akili zake anatambua kipi sahihi na kipi si sahihi, sasa hao mababu ambao walikuwa hawapendi vya kwao ina maana hata historia yao hawakuandika, sasa unaamini vipi kutopenda kwao vya kwao ni kweli.
Na bado unaendelea kupenda kitu ambacho huna uhakika nacho Ambacho kimeandikwa na mwingine.
Waafrika wangapi pamoja na wewe ambao wamefanya mabadiliko yoyote katika chochote kama waafrika wanaoijua historia yao vizuri, mmeifanyia nini hiyo historia?
Sasa kama wameimiliki sehemu zote maarufu alafu sijui waliifanyia nini kabla ya kuchukua sehemu zote maarufu, kwanini nisiikanyage sababu hazina mashiko, na unajua wameimiliki sehemu zote maarufu na bado unaendelea kuamini ni ya kwetu.
Umejuaje kama wamechukua sehemu zote maarufu? Na ya kweli katika sehemu zote maarufu iko wapi?
Na bado unaendelea kuamini na kutukuza historia ambayo imefanyiwa tafiti na wengine.
Na bado umesema sehemu kubwa maarufu wameimiliki na kuifanya ya kwao
Nakubali sijui alifanyia nini hizo dhahabu. Wewe unayejua alifanyia nini. Umefanya nini alichofanya mansa Musa ili uishi?
Hii nayo kujifariji na kupingana na uhalisia wa maisha ya sasa kwa kufuatisha historia amabayo haikuandikwa na hao mababu waliochukia vya kwao.
Uhalisia utabaki kuwa palepale sababu hata lugha aliyokuwa akitumia jf ni kiswahili pure huyo tonystark wa jf.
Pia wanaojielewa hawatomeza kwani hata tony-stark yenyewe ni fake I'd.
Kati ya anayehamasisha Africans tuache kukumbatia ujinga ili tusonge na yule anaye hamasisha kwamba tulikuwa Bora, yupi anajua walipotoka, walipo, kwanini, na wanakwenda wapi?
Punguza mihemuko hkn sehemu niliyoandika kuwa napenda kilichoandikwa na wengine km kipo onyesha hapaNa bado unaendelea kupenda kitu ambacho huna uhakika nacho Ambacho kimeandikwa na mwingine.
Na hutajua sababu hutaki kujua Hx ya Africa, Waliokuandikia Hx ya Mansa Musa wanajua kupita maelezo na sehemu zote wana chimba wao zenye nazo ! japo unataka kusonga mbele kamwe hautaenda mbele mpaka uwe na akili ya kurudi nyuma ujue ulikwama wapi!Nakubali sijui alifanyia nini hizo dhahabu. Wewe unayejua alifanyia nini. Umefanya nini alichofanya mansa Musa ili uishi?
Hakuna mjinga yeyote Duniani aliyewahi kusema Hx ni kukumbatia ujinga, waliokufundisha hivo ni waongo.ati ya anayehamasisha Africans tuache kukumbatia ujinga ili tusonge na yule anaye hamasisha kwamba tulikuwa Bora, yupi anajua walipotoka, walipo, kwanini, na wanakwenda wapi?
Nimejua kupitia fasihi za kwetu sisi waafrica wenyewe! Hizo sehemu ni km hizi, Misri ya kale , Babylony de Great, Mesopotamia, Levant, Median kwa uchache,Umejuaje kama wamechukua sehemu zote maarufu? Na ya kweli katika sehemu zote maarufu iko wapi?
Ni kweli Wewe utabweteka, na wachache km wewe! lkn Nyarusare na vijana wake watachapa kazi halafu baadaye wanawalisha kuwalinda na kuwatawala Daima,Kujifariji kwamba wewe ulikuwa bora ni moja kati ya vitu ambavyo vinafanya mtu kubweteka na kuamini kwamba ulikuwa bora. Faraja ni kwa watu wavivu wasiojua nini Cha kufanya ili kutatua changamoto iliyopo/zilizopo.
Naona akili inarudi mara inakupotea unaelewa sasa, wanaojielewa ndiyo kama Tata Nyarusare ruya, wasiotaka kumeza ujinga fake! kumbe unaelewa sasa mbona unasumbua?Pia wanaojielewa hawatomeza kwani hata tony-stark yenyewe ni fake I'd.
Kuwa na akili nyingi inategemeana na umbile la kichwa chako mkuu! ... Sasa unakuta mtu anakichwa Kama ulezi , [emoji2]! ... Inatakiwa unakuwa na "ndonga" Kama ya Jpm dadekii ndio
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuangalia kagera ya sasa hiv iliyoporomoka kiuchumi Kwa majanga na CCM hii.Mbona kagera ni kati ya mikoa yenye umaskini mkubwa tu hapa Tanzania, pamoja Na kigoma, Mara, mtwara,Lindi Na rukwa?!
Wangelikuwa Na akili hivyo nadhani wangekuwa kati ya mikoa tajiri kabisa Tanzania, maana unawezaje kuwa kabila lenye akili kubwa kisha mkawa kati ya mkoa masikini kabisa Tanzania?!
Umaskini Na akili vinaenda sawa?! Wenye akili wako huko dunia ya kwanza wanaunda bidhaa zenye thamani kubwa viwandani, marekani, japani Na ulaya hata China inaibukia, sasa wewe mwenzangu Na Mimi mko kwenye umaskini kabisa unajiita mnaakili?! Akili ipi kaka?! Wenye akili wanaunda vifaa Na bidhaa za kuwezesha mwanadamu aishi maisha bora zaidi hata kwenda mwezini nk
Wewe unaishi kwenye umaskini wakutupwa unajimwambafy kuwa unaakili?! Akili ipi?! Kunywa pombe ya lubisi au senene Na matoke?! Au ile biashara ya sextrade?! Very sad indeed,,,, tuelimike jamani,
Instanbul inaonekana Kagera mmestaarabika sana sikusikia hata kisa kimoja cha mgombea kutekwa na fomu au mkurugenzi kugoma kupokea fomu za wapinzani.Acha kuangalia kagera ya sasa hiv iliyoporomoka kiuchumi Kwa majanga na CCM hii.
Angalia kagera kama mkoa wa west lake region kama ulivyoitwa hapo mwanzo.
Mkoa huu ulikuwa na uchumi imara Sana ukiwa wa pili tz hapo kabla ya vita ya kagera.na majanga mengine kama ukimwi,MV bukoba,kuanguka Kwa bei ya kahawa, vanilla,magonjwa ya ndizi , tetemeko nk lakin pia CCM kupigilia kwenye kuudidimiza mkoa huu.
Angalia maendeleo ya watu wa kagera kama watu sio mkoa kiujumula maana inawezekana GDP ya mkoa ni ndogo kulinganisha na watu maana kagera ni mkoa wa tatu Kwa idadi ya watu nchini kama hujui Hilo labda Kwa sababu ya uhamiaji na uwepo wa chakula.
Kama umefika kagera utakuwa shahidi hasa uhayani (bukoba, misenyi,karagwe na muleba) nyumba mbovu zinaishilia kabisa na pengine ujenzi wa majumba ya kisasa ninmkubwa mno hasa vijijin.kuna chakula cha kutosha,shule kibao muleba ikiwa wilaya ya pili Kwa shule nyingi nchini.mkoa Una hospital 19 kubwa huku wilaya kama muleba kuna hospital kubwa NNE. Nk
Mwisho kagera sio wahaya na wala wahaya sio kagera. Kuna wilaya mbili maskini Sana kubwa Biharamulo na Ngara zipo ndani ya mkoa wa kagera na hazikaliwi na wahaya mpaka chato ilimegwa Biharamulo kukimbia umaskini huu.
Ila kuna mchuano mkubwa wa upinzani na CCM pale Bukoba mjini.Instanbul inaonekana Kagera mmestaarabika sana sikusikia hata kisa kimoja cha mgombea kutekwa na fomu au mkurugenzi kugoma kupokea fomu za wapinzani.
Hongereni sana kwa hilo jitahidini kuwaambukiza na wenzenu wa mikoa jirani huko.