Kwanini Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel

Kwanini Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Wahindi wengi wanaikubali Sana Israel.

Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel. Wanaikubali Sana Israel.

Kumbuka India ina watu 1.4 billion na Israel 10 million lakini wako obsessed Sana na Israel.

Cha ajabu tena wahindi wengi sio wakristo. Wengi ni Hinduism.

1000130939.jpg
 
W

View attachment 3156426
ewewe pia ni mhindi mmoja wapo? Au ni kanjibahi upo bijampola kahama?
 
wahindi (Hindus) wana vita kubwa na Arabs (uislam) dini ni catalyst kwenye hii vita
.
tafuta history ya vita ya India na Pakistan na jimbo la kashmir
.
the enemy of my enemy is my friend India na Israel wana adui mmoja (Arabs)
Na israel pekee alitoa msaada kwa india kuipiga pakistan pale kashmir
 
wahindi (Hindus) wana vita kubwa na Arabs (uislam) dini ni catalyst kwenye hii vita
.
tafuta history ya vita ya India na Pakistan na jimbo la kashmir
.
the enemy of my enemy is my friend India na Israel wana adui mmoja (Arabs)
Wahindi ambao katika nchi za kiarabu wapo wengi kama mtama! Wengi wao wanatafuta maisha huko!

Ukifika Oman utawakuta, Kuwait utawakuta, UAE utawakuta, Saudi Arabia utawakuta, Qatar utawakuta na Bahrain utawakuta, hutosikia wakibughudhiwa.

Wahindi ni jamii ambayo haina uvumilivu juu ya imani nyengine. Ni jamii ambayo haijastaarabika, ni jamii ambayo ni ngumu sana kuishi nayo! Uwe muislam au mkristu ni ngumu sana kuishi nao!

Kingine kinachochea hili suala ni chama cha Mondi, ni chama cha kihafidhina, kina msimamo mkali sana! Msimamo wao India ya Hindu.

Upuuzi wao wanaoufanya kwa jamii za kiislamu nchini mwao wakija kufanyiwa hapo mashariki ya kati huwa wanajifanya wanaonewa sana.

Kuna kipindi waziri wa Qatar alitangaza kwenye kazi nchini mwao kipaombele apewe kwanza mwarabu hata wa kutoka bara la Afrika, na waislamu na linalofuata waangalie wengineo! Walilalamika mpaka bhasi na kusema waarabu wabaguzi!
 
wahindi (Hindus) wana vita kubwa na Arabs (uislam) dini ni catalyst kwenye hii vita
.
tafuta history ya vita ya India na Pakistan na jimbo la kashmir
.
the enemy of my enemy is my friend India na Israel wana adui mmoja (Arabs)
Israel ina vita na UISLAM tokea lini? Wapo wayahudi wengi tu ambao kwa dini ni Waislamu, na wapo jeshini wanapigana; wapo Wayahudi wasio amini kabisa katika Mungu mfano yule dogo wa Facebook, ni Myahudi kwa baba na mama but haamini katika Mungu, wapo Wayahudi wakristo pia though hawa ni wachache sana na wapo Wayahudi ambao wana endelea na dini yao ya asili inaitwa Judaism, nikumbusheni, lini Wayahudi wamewahi kua na ugomvi na Uislam na Waislamu?
 
sasa hivi hakuna anayekubali makobazi kwakee!yaani wengi wanamsubiria tu mwamba trump aapishwe show za kibabee zianzee!
Wala hazitaanza, si unaona kale ka true promise ka iran kalivyogeuka false promise? Sema hao jamaa walikuwa wameanza kuvimba kichwa😆
 
Back
Top Bottom