ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,337
- 7,593
Wahindi ni jamii yenye akili, inayojielewa.Wahindi wengi wanaikubali Sana Israel.
Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel. Wanaikubali Sana Israel.
Kumbuka India ina watu 1.4 billion na Israel 10 million lakini wako obsessed Sana na Israel.
Cha ajabu tena wahindi wengi sio wakristo. Wengi ni Hinduism.
View attachment 3156426