Kwanini Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel

Kwanini Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel

Tunajadili Mambo ya islael na India..huku wandengereko,wamakonde,wasukuma na wachaga ..wanatukanana wenyewe kwa wenyewe...

Huu ni utumwa wa kifikira ..
Low IQ mindset..
Poor thinking capacity...

Letani fact tujadili ..mnaendelea kutukanana wakati Babu zenu wote walikua wanaabudu mizimu....
 
uliwaona wakiabudu mizimu au walikuandikia kitabu cha kuabudu mizimu ??au leo unaenda kwa waganga wa kienyeji kutafuta utajiri ndiwo wanakuambia hivyo??
 
Hzi dini za mapokeo zimewaaribu Sana ...cjui mnatumwa na nani..

Huu ni utumwa wa kifikira ...
 
Nyie vilaza mara meme Bible sio kitabu cha Mungu mara kasome mstari flan unajua mnaonyesha mlivyo manyumbu.
Mimi nasema vile bibilia sio kitabu cha Mungu ili copy copy baadhi ya point za Injil katika vitabu vya bibilia zenu 75% ni mafunzo ya Paulo na labda 10 to 15% ya Yesu huo ndio ukweli. Kuwepo kwa 15% ya point za Injili ndio tunazo zikubali lakini 75% ya mafunzo ya Paulo hatuyakubali afu kuna 10% ya new edition sijui ni mapadri ndio wanabadilisha kwenye tolea la gazeti jipya 😄 🤣
 
Nikuulize swali
 
Taifa la Israel liliisaidia sana India katika kupambana na Ugaidi, hasa tukio kubwa la mwisho la Ugaidi India
 
Tunaongelea nani kwani si hawa wayahudi ?
Mimi nimeuliza, lini Wayahudi wamewahi kua na uadui na Waislamu or Uislamu? Nimetoa hadi takwimu za Wayahudi na dini zao including Waislamu ambao ni Wayahudi; wewe umeleta article ya Kingereza uki quote swali langu, in fact sijaona kama umejibu nilicho uliza? Lini Wayahudi wamewahi kua na ugomvi na Uislam auu Waislamu? Msicho kijua you guys, wapo Wapalestina wengi tu ambao ni Wakristo hasa wa madhehebu ya kilokole, mfano aliyeku mke wa Yasra Arafat (RIP ) the late or former president of PLO, alikua Palestine but Mkristo. Na pia kuna almost 18.4% ya Wayahudi ambao ni Waislamu na wako pale pale Israel, achilia mbali wale waliopo nchi za Kiarabu
 
Shukrani kwa taarifa, nilifikiri naongea na hawa walokole masalia akina kitali
 
Lilisaidia vipi ? Na watu walikuwa wengi
The great Terrorism in India ya mwaka 2021, kwenye miji mitatu...Magaidi waliuwa watu almost 276

Uwe unasoma taarifa sahihi na sio Mhemko Sheikh
 
Sio wahindi wote kumbuka India ina waislam wengi wako against Israel. We ungesema Hindus hapo sawa. Sababu wote wana lana waisrael na kusudia wale zionist hawa ni ma freemasonry na wahindus wabudu ngo'mbe.

Hapo bdan kwenyewe Hindu na wahibd waislam haziivi..
 
Upo sahihi kabisa hawa ni maadui wakubwa wa Waislamu, hata Mwenyezi Mungu kashatuambia kwenye Quran.

QURAN 5: 82-83

"Hakika utawakuta walio maadui zaidi kuliko watu wengine kwa waislamu ni mayahudi na washirikina (wanao abudu masanamu). Na utawakuta walio karibu zaidi kwa mapenzi na waislamu ni wale wanaosema: Sisi ni wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao (
wanazuoni na wamonaki (watawa); na kwamba wao (wakristo) hawajivuni. Na wanaposikia yaliyoteremshwa kwa Mtume utaona macho yao yanabubujika machozi kwa sababu ya haki waliyo itambua. Wanasema: Mola wetu Mlezi! Tumeamini, basi tuandike pamoja na wanao shuhudia (ukweli huu)."

Quran 5: 82-83
Umetoa ufafanuzi mzuri kabisa,na wamekuelewa.
 
Dini zote ni sanaa, lile jiwe linaabudiwa ndiyo maana hata kuchinja kuku kichwa lazima kielekezwe lilipo hilo jiwe. Kuswali lazima waangalie direction ya hilo jiwe hata kuzika kichwa 🤣 😂 maiti lazima izikwe kichwa kikielekezwa lilipo hilo jiwe.
Jiwe limefunikwa kwa kaniki nyeusi yenye maandishi ya Kiarabu, dah hizi dini hizi😮 😲..!
Tumia akili hata za darasa la kwanza.Jiwe ni alama,hata kiwanja cha nyumba unaoishi,ina mawe manne ya kiwanja,yanaitwa beacons,kwa hiyo wewe unaabudu hayo mawe,na yameandikwa pia mawe ya beacon,yameandikwa kuonyesha
Dini zote ni sanaa, lile jiwe linaabudiwa ndiyo maana hata kuchinja kuku kichwa lazima kielekezwe lilipo hilo jiwe. Kuswali lazima waangalie direction ya hilo jiwe hata kuzika kichwa 🤣 😂 maiti lazima izikwe kichwa kikielekezwa lilipo hilo jiwe.
Jiwe limefunikwa kwa kaniki nyeusi yenye maandishi ya Kiarabu, dah hizi dini hizi😮 😲..!
Jiwe ni alama,hata wewe hiyo nyumba unayokaa,ina alama ya mawe manne ya kiwanja,yanaitwa beacons,na yameandikwa,kwa hiyo wewe unaabudu hayo mawe yaliyowekwa kwenye kiwanja.Hata nyumba za ibada,iwe kanisa,msikiti,hekalu,sinagogi,vyote hivyo vina mawe,beacons.Hii wameiga katika uislamu,kwa kuweka alama ya muelekeo wa Mecca,kwa hiyo wataalamu wa ardhi wakaiga,kutumia mawe,kuweka alama za viwanja,na mawe ya yapo pia majiwe ya msingi,mawe ya uzinduzi wa barabara,uzinduzi wa viwanda,jengo,shule ,hospital,kanisaa,nk kwa hiyo hao wan
Dini zote ni sanaa, lile jiwe linaabudiwa ndiyo maana hata kuchinja kuku kichwa lazima kielekezwe lilipo hilo jiwe. Kuswali lazima waangalie direction ya hilo jiwe hata kuzika kichwa 🤣 😂 maiti lazima izikwe kichwa kikielekezwa lilipo hilo jiwe.
Jiwe limefunikwa kwa kaniki nyeusi yenye maandishi ya Kiarabu, dah hizi dini hizi😮 😲..!
Lile jiwe ni alama ya muelekeo.Hata hiyo nyumba,unaoishi ina mawe manne,beacons,alama ya ukubwa wa kiwanja,na yana maandishi,kwa hiyo wewe unaabudu hayo mawe.Nyumbq yoyote ya ibada,iwe kanisa,msikiti,sinagogi,hekalu,linayo mawe haya,popote duniani utakako kwenda.Wataalamu wa upimaji wa ardhi,viwanja,waliiga alama hizi kutoka katika uislamu,lile jiwe lilikuwa dogo,liliongezwa ukubwa,ili iwe rahisi kuonekana,watu wakiwa wengi.
 
Back
Top Bottom