ewewe pia ni mhindi mmoja wapo? Au ni kanjibahi upo bijampola kahama?Wahindi wengi wanaikubali Sana Israel.
Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel. Wanaikubali Sana Israel.
Kumbuka India ina watu 1.4 billion na Israel 10 million lakini wako obsessed Sana na Israel.
Cha ajabu tena wahindi wengi sio wakristo. Wengi ni Hinduism.
View attachment 3156426
Na israel pekee alitoa msaada kwa india kuipiga pakistan pale kashmirwahindi (Hindus) wana vita kubwa na Arabs (uislam) dini ni catalyst kwenye hii vita
.
tafuta history ya vita ya India na Pakistan na jimbo la kashmir
.
the enemy of my enemy is my friend India na Israel wana adui mmoja (Arabs)
We mpuuzi kwani Mongols walikuwa waislamu ?Wahindu bado wanakumbuka uvamizi wa Mongols na baadae Mughals.
kobaz hilo! huwa hayana akili hayooWe mpuuzi kwani Mongols walikuwa waislamu ?
Wahindi ambao katika nchi za kiarabu wapo wengi kama mtama! Wengi wao wanatafuta maisha huko!wahindi (Hindus) wana vita kubwa na Arabs (uislam) dini ni catalyst kwenye hii vita
.
tafuta history ya vita ya India na Pakistan na jimbo la kashmir
.
the enemy of my enemy is my friend India na Israel wana adui mmoja (Arabs)
Mongols walikuwa na mchanganyiko wa Imani na wengine walikuwa Waisilamu. Mfano mmoja ni Tamerlane Dynasty.We mpuuzi kwani Mongols walikuwa waislamu ?
nyambafff sanaaa kobaz hata historia hawajuii... Mongols practised Buddhism and Mongolian shamanism, ambazo ndio zilikuw the ethnic religion of the Mongols...islam dini ya juzi sana na kuiga iga tuuMongols walikuwa na mchanganyiko wa Imani na wengine walikuwa Waisilamu. Mfano mmoja ni Tamerlane Dyna
Israel ina vita na UISLAM tokea lini? Wapo wayahudi wengi tu ambao kwa dini ni Waislamu, na wapo jeshini wanapigana; wapo Wayahudi wasio amini kabisa katika Mungu mfano yule dogo wa Facebook, ni Myahudi kwa baba na mama but haamini katika Mungu, wapo Wayahudi wakristo pia though hawa ni wachache sana na wapo Wayahudi ambao wana endelea na dini yao ya asili inaitwa Judaism, nikumbusheni, lini Wayahudi wamewahi kua na ugomvi na Uislam na Waislamu?wahindi (Hindus) wana vita kubwa na Arabs (uislam) dini ni catalyst kwenye hii vita
.
tafuta history ya vita ya India na Pakistan na jimbo la kashmir
.
the enemy of my enemy is my friend India na Israel wana adui mmoja (Arabs)
Mkuu Dini ya Kiislamu ilikuwepo Asia kabla ya Uvamizi wa Mongols na baadhi ya Mongols Walisilimu na kuwa Waisilamu.islam dini ya juzi sana na kuiga iga tuu
Kwa hiyo kumbe siku hizi wapakistani ni waarabu?wahindi (Hindus) wana vita kubwa na Arabs (uislam) dini ni catalyst kwenye hii vita
.
tafuta history ya vita ya India na Pakistan na jimbo la kashmir
.
the enemy of my enemy is my friend India na Israel wana adui mmoja (Arabs)
Wala hazitaanza, si unaona kale ka true promise ka iran kalivyogeuka false promise? Sema hao jamaa walikuwa wameanza kuvimba kichwa😆sasa hivi hakuna anayekubali makobazi kwakee!yaani wengi wanamsubiria tu mwamba trump aapishwe show za kibabee zianzee!