Na waislamu mbona wanaabud lile jiwe husemiSio wahindi wote kumbuka India ina waislam wengi wako against Israel. We ungesema Hindus hapo sawa. Sababu wote wana lana waisrael na kusudia wale zionist hawa ni ma freemasonry na wahindus wabudu ngo'mbe.
WanatuchanganyaWahindi wengi wanaikubali Sana Israel.
Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel. Wanaikubali Sana Israel.
Kumbuka India ina watu 1.4 billion na Israel 10 million lakini wako obsessed Sana na Israel.
Cha ajabu tena wahindi wengi sio wakristo. Wengi ni Hinduism.
View attachment 3156426
WHindi wengi wako nchi za kiarabu,wanatumikishwa kwa kazi za hali ya chini,kama kazi za nyumbani,ufagiaji barabara,kuosha magari,kusafisha mabustani,usagishaji wa maofisi,umesenja,kulea watoto,kusafisha mashule na vyuo,katika nchi za kiarabu,Oman,Qatar,Kuwait,Dubai,Bahrain,Saudia,nk.Wakati hakuna muarabu wa nchi hizo,anayefanya kazi hizo huko India.Hii inawaumiza kichwa sana wahindi.sasa hivi hakuna anayekubali makobazi kwakee!yaani wengi wanamsubiria tu mwamba trump aapishwe show za kibabee zianzee!
Hakuna muislamu anayeabudu jiwe,kama ingekuwa wanaliabudu,wawasingetumia mawe kwenye ujenzi,wahindu wanaabudu ng'ombe,hawachinji ngo'ombe,wala kumtumia kwa kazi zozote,na picha zake,wanaweka mahekaluni.mwao na kuvyaa shingoni,lama misalaba.Na waislamu mbona wanaabud lile jiwe husemi
Huna unalojua kaa kimya jombaMongols walikuwa na mchanganyiko wa Imani na wengine walikuwa Waisilamu. Mfano mmoja ni Tamerlane Dynasty.
Kinachowaumiza wahindu,ni kutumikishwa cheap labour,kazi za kufagia,wanawake wao kuwa mayaya,kubeba mizigo,kufagia barabara,kuosha magari,mesenger,kusafisha ma ofisi,kubeba zege,kusafisha mabustani,kufagia mabarabara,kuzoa taka,nchi za kiarabu za kiislamu,kama Oman,Dubai,Bahrain,-Kuwait,Qatar,,Saud Arabia nk.Wqkati kwao India hakuna muarabu muislamu wala mkristo,anayefanya kazi hizo.Hiki kitu kinawaumiza kichwa sanawahindi (Hindus) wana vita kubwa na Arabs (uislam) dini ni catalyst kwenye hii vita
.
tafuta history ya vita ya India na Pakistan na jimbo la kashmir
.
the enemy of my enemy is my friend India na Israel wana adui mmoja (Arabs)
Kinachowaumiza kichwa wahindi,ni kutumikishwa cheap labour,nchi za kiarabu,wahindi wanafanyishwa kazi na waarabu,kazi za uyaya,kufagia barabara,kubeba mizigo,kuosha magari,kubeba zege,umessenger,kusafisha mabustsni,kuzoa taka barabarani,,katika nchi za kiarabu Oman,Qarar,Kuwait,Dubai,Bahrin,,Saudia nk.Wakati kwao India,hakuna muarabu muislamu wala mkristo,anayefanya kazi hizo.Muhindi anamuweka muarabu sawa na muafrika,sasa fikiria hapo,muafrika amtumikishe muhindi kwenye cheap labour,roho inamuuma vipi muhindi.Ndio ukaona muhindi amevhanganuikiwa kwa kula hivyo vitu,kutoka kwa ng'ombe.Na mumfanya ni mungu wao.Katika watu huwa siwaelew na siwakubali hata ni hawa wala kinyesi na mkojo wa Mungu wao (ng’ombe) watu wachafu Kuwahi kutokea katika dunia hii 🚮
Wacha bana. Nikuulize swali? Kuabudu ni kufanya niniHakuna muislamu anayeabudu jiwe,kama ingekuwa wanaliabudu,wawasingetumia mawe kwenye ujenzi,wahindu wanaabudu ng'ombe,hawachinji ngo'ombe,wala kumtumia kwa kazi zozote,na picha zake,wanaweka mahekaluni.mwao na kuvyaa shingoni,lama misalaba.
Hawa wahindi wanaobudu ngombe?Na waislamu mbona wanaabud lile jiwe husemi
NDIO sasa unatakaje?Kwa hiyo kumbe siku hizi wapakistani ni waarabu?
Hebu msome Berkhe Khan Mongols aliyejiunga na Uisilamu kule Bukhara.Huna unalojua kaa kimya jomba
Nyie mnaabudu kale kajiwe pale Makkah mbona hatuuwasemi. Usipende kudunisha imani za wenzakowahindus wabudu ngo'mbe.
Kama unadhani wapaksitani ni waarabu utakuwa kilaza mbobevu.NDIO sasa unatakaje?
We huijui dini yako vizuri hizo hizo bibilia zenu zinawambia hilo jiwe ni takatifu. Hebu kosome YOSHUA 24-27 Yoshua Akawaambia watu wote, tazame JIWE hili litakuwa shahidi kwenu. Kwa maana limesikia maneno yote ya Bwana, basi msije mka mkana Bwana Mungu.Na waislamu mbona wanaabud lile jiwe husemi
Kobazi sio?Kinachowaunganisha ni "common enemy". You know what am saying?