Kwanini Wahindi ni wachafu sana?

Kwanini Wahindi ni wachafu sana?

Wahindi wale wanayotumia pariki, kubeli na wala mirungi dah wanachefua sana wanatema sehemu yeyote ile.

Midomo imechanika kama Wana ngoma na ule utandu mweupe .Hyo meno sasa meusi hwanaga ustaarabu kabisa mtizame mtu kama Ajay Devgan Yale meno Kwa kule pariki na kuberi.
Sasa; hebu utuambie ni kitu gani kinachokupeleka kwa hao wala guberi n.k.? Bila shaka kuna kitu unachokipenda kwao. Basi kama unawaendea kwa malengo yako, kuwa mvumilivu kwani mvumilivu hula mbivu. Sioni kama ni vyema kumtaja mtu jina (kama ni jina lake kweli) na mapungufu yake. Haipendezi mkuu. Ukisema hawana ustaarabu unataka wawe kama unavyotaka wewe?
 
Oh! Mbona hiyo ni very simple? USIISHI nao i.e. Ishi kwako mwenyewe, kula vya kwako mwenyewe na fanya mambo yako mwenyewe. Achana nao.
Kwanini tusiishi nao?wapunguze uchafu tu maisha ni muingiliano. au unazan kila anaekaa na wahindi kajiliwa nao au anawategemea.?tabia mbaya ni mbaya tu
 
Kwanini tusiishi nao?wapunguze uchafu tu maisha ni muingiliano. au unazan kila anaekaa na wahindi kajiliwa nao au anawategemea.?tabia mbaya ni mbaya tu
Nikuambie kitu? Tabia inaweza kuitwa mbaya au nzuri kutegemeana na yule anayeitathmini hiyo Tabia. Kuitwa Mbaya au Nzuri ni sifa kwa jinsi ya mtazamo wako ww binafsi. e.g. kutema-tema mate au kupenga kwa huku Umasaini (ndani ndani huku) ni jambo la kawaida sana na halina shida hata kidogo.
Kuosha/kusafisha vibuyu vya maziwa kwa kutumia mkojo wa ng'ombe ni kawaida sana. Sasa wewe usijiweke kuwa ndo Yard stick i.e kipimo cha mbaya au nzuri. Kile ambacho ww unadhani ni chema, kwa wenzio ni mbaya kabisa hakifai.
 
Hivi jamani hawa jamaa wana nini haswa? Huwa wanajiona superior sana mbele ya Waafrika ila ni katika jamii ambazo hazina maajabu hapa duniani sio kwa mapenzi wala nini na ni wachafu balaa

Binafsi ni ngumu sana kula chakula kwa muhindi maana mhhhh!!!Ogopa sana watu wanaotemea makohozi kwenye masink ya kuoshea vyombo ni wachafu sijapata kuona

Ukimkuta muhindi msafi ni nadra sana hata kama atakua na pesa ila hulka yao ya uchafu haijifichi

Sijui wana matatizo gani hawa
Ni mfanyakazi wao?Wa kusafisha na kuzoa takataka na kuwafulia?Acha kazi kafanye kwingine,au uwe mjasiriamali.
 
Ni mfanyakazi wao?Wa kusafisha na kuzoa takataka na kuwafulia?Acha kazi kafanye kwingine,au uwe mjasiriamali.
Yeah. Wahenga walisema "usimtukane mamba kabla hujavuka mto" Hao Wahindi anawabeza na kuwasimanga ilhali yupo nao na pengine kuna kitu anapata kutoka kwao. Kuondoka kama ulivyoshauri anashindwa, kujiogeza awe mjasiriamali labda hana uwezo. Ingefaa akubaliane tu na matokeo.
 
Nikuambie kitu? Tabia inaweza kuitwa mbaya au nzuri kutegemeana na yule anayeitathmini hiyo Tabia. Kuitwa Mbaya au Nzuri ni sifa kwa jinsi ya mtazamo wako ww binafsi. e.g. kutema-tema mate au kupenga kwa huku Umasaini (ndani ndani huku) ni jambo la kawaida sana na halina shida hata kidogo.
Kuosha/kusafisha vibuyu vya maziwa kwa kutumia mkojo wa ng'ombe ni kawaida sana. Sasa wewe usijiweke kuwa ndo Yard stick i.e kipimo cha mbaya au nzuri. Kile ambacho ww unadhani ni chema, kwa wenzio ni mbaya kabisa hakifai.

Na Wasomal wanapenda kutema tema
Sasa viburi vinasafishwa na mkojo ni hakuna maji au ni mila tu ?
 
Vyoo visafi vya umma ni vya Mlimani City pekee.

Majumbani kwetu vyoo vichafu sana
Yaan unakuta mtu kaingia choon kusafi ilaa anaacha kuchafu
Nashukuru sana natumia cha peke yangu tu
Nyumba chache sana wasafii vyoo na mazingira
 
Back
Top Bottom