Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwaninHawajawazidi Wachina
Kuna hotel nimewahi ingia pale MIPA, wakati wa usafi nikamwambia mhusika asafishe tu choo, bana weee nilimkuta kavaa gloves anasugua ndani ya lile sink kwa chini kwa hizo gloves, kikawa cheupe sana.Yaan unakuta mtu kaingia choon kusafi ilaa anaacha kuchafu
Nashukuru sana natumia cha peke yangu tu
Nyumba chache sana wasafii vyoo na mazingira
Wewe jamaa umenichekesha kweli 🤣, ni sawasawa na wamakonde kujichanja usoni ili wasichukuliwe utumwani...Uchafu ilikuwa mbinu mojawapo ya kuwakera waingereza wakati wa kudai uhuru.wanakunya hadharani hawana vyoo.hii ilipekelea waingereza kusalimu amri.sasa imekuwa tabia yao.
Wachina hata vyakula vyao vinanuka, kama umewahi ingia kwenye hotel zinazopika chinese foodsSijui kwanin
Nashangaa wanavyowasema wahindi na wao wenyewe ukienda mitaani ni uchafu kwa kwenda mbele.Hata wabongo wapo wachafu sanaa
Gloves pekee yake?hakuwa na ile brash ya kusugulia?Kuna hotel nimewahi ingia pale MIPA, wakati wa usafi nikamwambia mhusika asafishe tu choo, bana weee nilimkuta kavaa gloves anasugua ndani ya lile sink kwa chini kwa hizo gloves, kikawa cheupe sana.
Baadae nikauliza kwanini akasema ndo utaratibu na wakaguzi hupita kila siku.
Vyoo vyetu vinatisha
Unakuta mtu anapika mikono hajanawa na anashika shika chakula na mikono yake,au majiko ya bar hawavai gloves za chakula wanageuza na mikono tuNashangaa wanavyowasema wahindi na wao wenyewe ukienda mitaani ni uchafu kwa kwenda mbele.
Ama kweli nyani haoni kun*ule.
Sema vubuyu sio viburi. Mkojo una uric acid ambayo husaidia sana kuondoa mafuta cream au fats zinazogandia kwenye kuta za ndani kwenye kibuyu kitu ambacho maji peke yake hayawezi kuondoa na kutumia sabuni haifai kwani itaweka harufu na pengine kuua aina ya bacteria wazuri (lactobacillus) wanaosaidia kugandisha maziwa. Baada ya kutumia mkojo ndio vibuyu husuuzwa kwa maji ya kawaida.Na Wasomal wanapenda kutema tema
Sasa viburi vinasafishwa na mkojo ni hakuna maji au ni mila tu ?
Chakula jongoo, kobe, chatu, konokono unatarajia nini hapo..Wachina hata vyakula vyao vinanuka, kama umewahi ingia kwenye hotel zinazopika chinese foods
Uchafu ilikuwa mbinu mojawapo ya kuwakera waingereza wakati wa kudai uhuru.wanakunya hadharani hawana vyoo.hii ilipekelea waingereza kusalimu amri.sasa imekuwa tabia yao.
Ni error tu OsefuSema vubuyu sio viburi. Mkojo una uric acid ambayo husaidia sana kuondoa mafuta cream au fats zinazogandia kwenye kuta za ndani kwenye kibuyu kitu ambacho maji peke yake hayawezi kuondoa na kutumia sabuni haifai kwani itaweka harufu na pengine kuua aina ya bacteria wazuri (lactobacillus) wanaosaidia kugandisha maziwa. Baada ya kutumia mkojo ndio vibuyu husuuzwa kwa maji ya kawaida.
Aisee, ama kweli tembea uone. Hivo vitu ulivyotaja hapo juu 👆 mbona ni chakula kizuri tuu hata kwa baadhi ya makabila hapa Tz? au ulishasikia mtu kavila halafu akadhurika kiafya?Chakula jongoo, kobe, chatu, konokono unatarajia nini hapo..
👀👀Hivi jamani hawa jamaa wana nini haswa? Huwa wanajiona superior sana mbele ya Waafrika ila ni katika jamii ambazo hazina maajabu hapa duniani sio kwa mapenzi wala nini na ni wachafu balaa.
Binafsi ni ngumu sana kula chakula kwa muhindi maana mhhhh! Ogopa sana watu wanaotemea makohozi kwenye masink ya kuoshea vyombo ni wachafu sijapata kuona.
Ukimkuta muhindi msafi ni nadra sana hata kama atakua na pesa ila hulka yao ya uchafu haijifichi.
Sijui wana matatizo gani hawa
Kula takataka kama hizo inaashiria huna options za vyakula vinavyofaa......kwa akili ya kawaida unaanzaje kula hivyo vitu ikiwa umezungukwa na samaki, kuku, ngo'mbe, mbuzi........ukiona sehemu vitu vya namna hiyo vinaliwa lazima kuna uhaba mkubwa wa vitoweo.Aisee, ama kweli tembea uone. Hivo vitu ulivyotaja hapo juu 👆 mbona ni chakula kizuri tuu hata kwa baadhi ya makabila hapa Tz? au ulishasikia mtu kavila halafu akadhurika kiafya?
Maji moto ndio usijaribu kabisa. Maji moto huangamiza bacteria niliowataja hapo juu, halafu hebu zingatia una ng'ombe 70 - 80 kati ya 500 -1000+ wanaokamuliwa na una vibuyu vikubwa na vidogo kadri ya mahitaji. Je, utahitaji maji moto kiasi gani na muda wa kuyachemsha yachemke (sio kupasha moto i.e. yawe ya uvuguvugu) hapo hapo ng'ombe wanatakiwa wafunguliwe in time kupelekwa malishoni na wachungaji wawe wamepata chochote-chakula ili waende kuchunga, watoto waende shule, lakini kubwa zaidi ni Mzee wa boma ili afanye ukaguzi na kupanga majukumu ya siku.Ni error tu Osefu
Ahaa hapo nimekuelewa lakin hayo mafuta yanaweza toka kwa majimoto
Point hii umeitoa kwa mwaijage au?Uchafu ilikuwa mbinu mojawapo ya kuwakera waingereza wakati wa kudai uhuru.wanakunya hadharani hawana vyoo.hii ilipekelea waingereza kusalimu amri.sasa imekuwa tabia yao.