Kwanini Wahindi ni wachafu sana?

La Hasha. Kwa mfano hapa Tz, ukienda Mtwara eneo la Naliendele utauziwa (sio kupewa bure)konokono na ukienda Denmark eneo la Slagelse unakula konokono na kaa (Crabs) na ni chakula cha bei mbaya. Je, hao wamekosa kitu gani halafu wewe unaviita ni takataka? Ukija huku kwetu Umasaini ndani huku, samaki hata kumtazama tu ni shida -hawamtaki kabisa ni takataka kwao - wanatema hata mate wakimwona halafu ww unamwona samaki ni chakula bora? Ubora au Uzuri wa chakula upo kichwani mwako. Sisi wenzio tunakula ww kalaghabaho.
 
Wamakonde mnakula panya sababu ya uvivu wa kwenda kuvua baharini...
 
Lakini si tunaishi na afya zetu? Je, Huku Ugogoni eneo la Manyara tunakula panya (tena kwa kununua/kuuziwa (sio bure) nao ni uvivu?
Wagogo uroho wa nyama unawasumbua, unaambiwa wagogo wawili wanaweza maliza mbuzi mzima na mna tabia ya kufukua mizoga........hii nimeambiwa na mtani wenu msukuma.
 
Haitatokea siku niamini kuna race superior zaidi ya black people abadan!

Then again mbora mbele ya muumba ni mchamungu tu
Mkuu unaweza kutupa sababu ambazo zinakufanya uamini kuwa hakuna race superior kuliko black people?
 

Bila kusahau wapemba??
 

Overall ni wachafu....kuoga kwenyewe tu shida
 
Lakini videmu vya kihindi hapa bongo ni vitamu kweli.
Utamu wa binadamu kuuthibitisha huwaga mpaka ushuhudiwe na wengine usiwe peke yako, hiyo ndiyo kanuni.

Namaanisha kwamba, huyo unayemsifia kuwa ni mtamu, mpaka muwe mmemgonga watu wawili ama zaidi, watu tofauti ili kuleta ushuhuda.

Ama wewe mkuu, watu jamii hiyo uwe umewagonga zaidi ya mmoja,ili kumbebesha taji la sifa unayemsifia.

Sasa mkuu ni wangapi uliowagonga, au huyo unayemsifia wewe aligongwa na nani mwingine ili aje kututhibitishia mautamu hayo?
 
Unataka kuingilia privacy yangu.
 
Wewe jamaa umenichekesha kweli [emoji1787], ni sawasawa na wamakonde kujichanja usoni ili wasichukuliwe utumwani...
Inachekesha kweli.
Ila fatilia uchafu umechangia sana wao kupata uhuru.walikuwa wanakunya na kukojoa hovyo barabarani.kukohoa makohozi kwenye masink ili mradi kuwakera tu waingereza.
 
Hahaaa umenikumbusha mbali nilipanga nao nyumba moja sehemu moja iko Tanga inaitwa kabuku walikua wawili na wake zao tena hawa walitoka india direct ni wataalamu wa kilimo waliajiriwa private ,wakiamka asubuhi mswaki wanapigia eneo la mbele ndani ya compound halafu kopo la chooni ndio hilo hilo la kuchotea maji ya kupikia
 
TEAM KOBAZI WAKIONA HII UMEKWISHA[emoji23][emoji23].

limeibuka suala humu la kuhusisha race fulan na imani, kwamba ukiisema race fulan inayohusiana na imani fulan basi wafuasi wa hiyo imani wanakushukia kwa matusi wakidhan kwamba lengo la wew ni kuichafua iman kumbe ni hiyo race ama jamii fulani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata wabongo wapo wachafu sanaa
Tabu sana nyani kuona kundule.Wabongo wengi sana wanatembea na mavi bila kujifuta vizuri na vile kuna shida ya maji sehemu nyingi.Wahindi wachafu lakini wabongo pia wachafu.A pot calling a kettle black.Ndio wale wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…