Sawa nimeongopa na vyovyote iwevyo lakini mantiki ya vielelezo vilikuwa vinaonesha mtiririko wa kunyambua kwa maana ya kufangamanisha ili tuweze kuipata tija ya ufafanuzi wa sheria hususani za UAE.Acha kuongopa..sheria za Tanzania zimetokana na common law..na customary laws.
#MaendeleoHayanaChama
Watu hawawafahamu Wahindu. Wahindu ikiwa kama wapo wengi kwenye jamii inayowazunguka nao hulazimisha mambo jamii nzima ifuate mwenendo wao. Kinyume na hapo vurugu.Upo sahihi kabisa, tena huko India kuna jamii za kihindu zenye misimamo mikali na mara nyingi hujaribu kuwalazimisha waislamu wawe wahindu kimabavu na makundi hayo huungwa mkono na baadhi ya wanasiasa ili wavune kura na wafuasi nyakati za uchaguzi.
Na ndiyo maana wahindu wenzao waishio nje ya India huwaambia sisi tupo nchi za kiarabu tunafanya kazi na tumetengewa kama jamii yetu tujenge nyumba zetu za ibada na hatubughudhiwi! Mbona nyinyi wa nyumbani (India) mpo hivyo?wahindu wanachuki kubwa sana kwa waislam,,,huko India hadi wanawaua wenzao kisa sio wahindu,ila cha kushangaza wamejazana kibao kwenye nchi za kiarabu tena zenye waislam wengi huko kusafisha vyoo Noma sana!
Mtu meeusi ni mweusi aijalishi unakaa africa au umezaliwa AsiaMtu mweusi anaiingiaje kwenye Uhindu? Nimesoma Bhagvad Gita hakuna mahali niliona imeongelea mtu mweusi kama ulimaanisha Mwafrika labda kama unachanganya na caste System ya India ambayo ina classes kuanzia Brahmas juu hadi wale wa chini kabisa untouchables, lkn untouchables siyo watu weusi kama sisi ni Wahindi wenzao, hivyo kama ni Ubaguzi ni wa Wahindi kwa Wahindi kutokana na hiyo caste system yao, lkn Uhindu hauna uhusiano wowote na mtu mweusi wa Afrika kama sisi!
Watu walimfuata Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake juu ya kadhia fulani nayo ni: Wakamuuliza "mwanamke fulani anafunga kwa ajili ya Mungu, anakamilisha swala zote tano na anatumia sehemu yake ya usiku kufanya ibada. Lakini maisha yake ni mwenye kuwaudhi majirani zake". Mtume akajibu huyo ni mtu wa motoni!
Akaja kushitakiwa tena na watu ya kuwa mtu fulani anamtesa paka; Mtume akawajibu huyo ni mtu wa motoni.
Akamwambia kijana mmoja ambaye alikuwa anajiona yeye ni bora kuliko mwengine kuwa "dini yetu ni ya Mungu kuwa na heshima na viumbe vyake".
Maandiko kutoka kwenye hizo nukuu tatu unayaelewaje? Na unayafafanuaje?
Narudia tena hakuna kulazimishana kwenye uislamu kama mtu amekataa kusilimu aitakiwi kumlazmisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Dubai imejaa wageni sio waarabu na ndio maana makanisa yapo kibao na hata majengo mengi ni wazungu, wahindi na wachina wapo
Mkuu maadui wa uislamu wamefanikiwa kuwa brain wash watu ili watimize malengo yao ayo mambo ya mabikra 72 kupewa baada ya kujiuwa hakuna aya wala adith iliyosahihi inayosema kuhusu ilo..aya mambo yanaenezwa na Jewish wakiungana na West kwa kutumia wana Inteligence wao ambao wana trainiwa then wanaletwa kwenye jamii na kuwa kama viongozi wa dini ya kiislamu kwenye iyo jamii then ndio wanawatafuta vijana wadogo wasiokuwa na elimu ya dini ya kutosha kwa kuwadanganya kuwa wakijilipua basi wakifa wataenda kupewa mabikra 72 ..narudia tena ilo jambo halipo kwenye uislamu kujiuwa tu tayari ni haramu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona kama mtoa mada hapa hata akieleweshwa bado anapotosha, hata umueleze vipi anakimbilia kupotosha kwa wengine. Chuki za kidini zinawasumbuamijitu humu inajifanya inajua dini za watu kwa story za vijiweni na kuaminishwa upumbavu wa bure kuchukiana chukiana hovyo...wangeujua uislamu kwa kuusoma na kuuelewa Basi wote wangeutukuza uislam
Acha kuongopa..sheria za Tanzania zimetokana na common law..na customary laws.
#MaendeleoHayanaChama
Wapi jamii ya kiislamu ilishawahi kupaza sauti kukemea hao wanaofanya vitendo hivyo..ama hayo makundi ya kigaidi?zaidi ya kukaa kimya kumaanisha wanaunga mkono yote hayo yanayotokea.
Mimi na mfano mdogo tu wa hapa hapa kwetu hata tusiende mbali..kwanini wakristo wa zenji wanakatariwa kumiliki ardhi..na kwanini miaka ya nyuma mapadri waliuliwa zenji na wengine kumwagiwa tindikali...kama kweli uslam ni dini ya upendo na amani kwa watu wote.
#MaendeleoHayanaChama
dini zote zinavutia kwake,kila mmoja hujiona sahihi na Bora ndani ya imani yake... uislamu pekee ndio dini ya wote,Mungu wa waislamu NI wa woteKila kona ya hii dunia Dini ya kiislamu ni shida. Inapigwa vita na wazungu , wachina na wahindi na shida ni ile ile waislamu wanataka kulazimisha dini yao ifuatwe kwa nguvu kitu ambacho akikubaliki kwa dunia ya saiv ambayo dini ni hiyari ya mtu.
Kikifanywa kwa uzuri kwa kile mtu alichoelekezwa hupatiwa zawadi kulingana na uzuri alioufanya. Falsafa hii kwa binadamu inafanya kazi vilevile. Lakini muasisi ni Mungu.Ni kweli kwenye Quran kuna kifungu kinachomruhusu muislam kujitoa muhanga na endapo atafanya hivyo atapewa mabikra 72 akifika ahera? Hii ni kweli au stori tu za mitaani?.
Kwa kweli India waislamu wana hali ngumu sana, CHuki na ubaguzi wa wahindu kwa waislmau hazina mfano kabisa, Hawapewi ajira, Hawakodishwi hata vyumba vya makaazi kwenye maeneo mengi.
umekuwa mpumbavu wewe kwenye hili kwa kuchanganya "dini" na "wafuasi wa dini"Huwezi kuwa na akili timamu na kujitambua ukawa mfuas wa dini ya wavaakobazi..wengi ni brainwashed na wamependikizwa chuki dhidi ya watu wa imani zingine..sasa dini gani hiyo.
Mtu anauwa wenzake kisa dini karne hii ya 21 huu si upumbafu..mtu anajiua na kuua wengine kwa kujilipua mabomu kisa dini huu si ukosefu wa akili.
Dini+ujinga ni janga kwa ulimwengu uliostaarabika.
#MaendeleoHayanaChama
foolTatizo la waislamu ni kujilipua mabomu kwenye umati wa watu wakimpigania allah.