Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

suratul baqra aya ya 62 na Surat maida Aya ya 69...nawaomba wote wanaofikirishwa na kuaminishwa uislamu NI dini ya uadui humo mtapata majibu!!Kuna waislamu na uislamu Msije kuchanganya

mkatafute hizo Aya ili siku nyingine msiwe mnaropoka msiyo yajua kuhusu dini ya kiislam kisa TU mmeaminishwa hovyo na nyinyi bila kufikiri mnapayuka
 
Acha kuongopa..sheria za Tanzania zimetokana na common law..na customary laws.

#MaendeleoHayanaChama
Sawa nimeongopa na vyovyote iwevyo lakini mantiki ya vielelezo vilikuwa vinaonesha mtiririko wa kunyambua kwa maana ya kufangamanisha ili tuweze kuipata tija ya ufafanuzi wa sheria hususani za UAE.

Mbali na hilo nimesoma muda kuhusu somo la sheria hivyo marejeo yangu yanaweza sahihi kwa sababu sina marejeo. Kwa misingi hiyo; marejeo yako yakiwa sahihi nashukuru tumepata faida.
 
wahindu wanachuki kubwa sana kwa waislam,,,huko India hadi wanawaua wenzao kisa sio wahindu,ila cha kushangaza wamejazana kibao kwenye nchi za kiarabu tena zenye waislam wengi huko kusafisha vyoo Noma sana!
 
Upo sahihi kabisa, tena huko India kuna jamii za kihindu zenye misimamo mikali na mara nyingi hujaribu kuwalazimisha waislamu wawe wahindu kimabavu na makundi hayo huungwa mkono na baadhi ya wanasiasa ili wavune kura na wafuasi nyakati za uchaguzi.
Watu hawawafahamu Wahindu. Wahindu ikiwa kama wapo wengi kwenye jamii inayowazunguka nao hulazimisha mambo jamii nzima ifuate mwenendo wao. Kinyume na hapo vurugu.

Jamii ya Wahindu ukiwakuta wenye misimamo mikali sana na mafundisho yao yana ubaguzi kwa jamii yao wenyewe ya huyu yupo juu ya mwengine. Mtu huyo kisha ayachanganye yote kwa pamoja unadhani ni nini kikimtoka kwake kikija kwako? Jamii ya Wahindu nao hawana uvumilivu hususani wakiwa nchini kwao India.

Na ndiyo maana ukizungumza na Wahindi wengine ambao ni waislam wanasema sababu nyengine inayowafanya Wahindi waislamu kuwa wakali ni kutokana na Wahindu. Wanakazia kabisa na kusema wana mambo ya ajabu sana.
 
wahindu wanachuki kubwa sana kwa waislam,,,huko India hadi wanawaua wenzao kisa sio wahindu,ila cha kushangaza wamejazana kibao kwenye nchi za kiarabu tena zenye waislam wengi huko kusafisha vyoo Noma sana!
Na ndiyo maana wahindu wenzao waishio nje ya India huwaambia sisi tupo nchi za kiarabu tunafanya kazi na tumetengewa kama jamii yetu tujenge nyumba zetu za ibada na hatubughudhiwi! Mbona nyinyi wa nyumbani (India) mpo hivyo?

Wahindu walipatiwa eneo lao la kujenga temple zao za ibada Dubai. Na kuna eneo walipatiwa wamejenga temple kubwa kuliko huko Dubai. Na siku waliofungua walimkaribisha kiongozi wa Dubai na alifika.

Laiti nchi za Kiislamu zikijibu mapigo wanayofanya Wahindu wangeliwafukuza Wahindi wote UAE lakini hawafanyi hivyo!

Ila jawabu nililokuja kulipata ashakum si matusi! Wahindu wa India exposure wameikosa. Hawajapata fursa ya kusafiri maeneo mengineyo kuona jamii nyengine za mchanganyiko zinaishi vipi!

Unakumbuka kashkash ya yule Mzungu aliefungua biashara ya kuuza nyama za ng'ombe humo India?
 
Mtu mweusi anaiingiaje kwenye Uhindu? Nimesoma Bhagvad Gita hakuna mahali niliona imeongelea mtu mweusi kama ulimaanisha Mwafrika labda kama unachanganya na caste System ya India ambayo ina classes kuanzia Brahmas juu hadi wale wa chini kabisa untouchables, lkn untouchables siyo watu weusi kama sisi ni Wahindi wenzao, hivyo kama ni Ubaguzi ni wa Wahindi kwa Wahindi kutokana na hiyo caste system yao, lkn Uhindu hauna uhusiano wowote na mtu mweusi wa Afrika kama sisi!
Mtu meeusi ni mweusi aijalishi unakaa africa au umezaliwa Asia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hueleweki na wala hayaeleweki haya aidha umekosa tafsr sahihi
Watu walimfuata Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake juu ya kadhia fulani nayo ni: Wakamuuliza "mwanamke fulani anafunga kwa ajili ya Mungu, anakamilisha swala zote tano na anatumia sehemu yake ya usiku kufanya ibada. Lakini maisha yake ni mwenye kuwaudhi majirani zake". Mtume akajibu huyo ni mtu wa motoni!

Akaja kushitakiwa tena na watu ya kuwa mtu fulani anamtesa paka; Mtume akawajibu huyo ni mtu wa motoni.

Akamwambia kijana mmoja ambaye alikuwa anajiona yeye ni bora kuliko mwengine kuwa "dini yetu ni ya Mungu kuwa na heshima na viumbe vyake".

Maandiko kutoka kwenye hizo nukuu tatu unayaelewaje? Na unayafafanuaje?
 
Dubai kuna movement kubwa sana ya chini kwa chini ya kuvunja makanisa tena makanisa yenyewe ni machache sana sijui matano tu
Dubai imejaa wageni sio waarabu na ndio maana makanisa yapo kibao na hata majengo mengi ni wazungu, wahindi na wachina wapo
 
Kwa kweli India waislamu wana hali ngumu sana, CHuki na ubaguzi wa wahindu kwa waislmau hazina mfano kabisa, Hawapewi ajira, Hawakodishwi hata vyumba vya makaazi kwenye maeneo mengi.
 
Wewe unapingana na mtume?
Kwamba hakuna mabikira 72 yanasubiri kufanyanywa?
Mkuu maadui wa uislamu wamefanikiwa kuwa brain wash watu ili watimize malengo yao ayo mambo ya mabikra 72 kupewa baada ya kujiuwa hakuna aya wala adith iliyosahihi inayosema kuhusu ilo..aya mambo yanaenezwa na Jewish wakiungana na West kwa kutumia wana Inteligence wao ambao wana trainiwa then wanaletwa kwenye jamii na kuwa kama viongozi wa dini ya kiislamu kwenye iyo jamii then ndio wanawatafuta vijana wadogo wasiokuwa na elimu ya dini ya kutosha kwa kuwadanganya kuwa wakijilipua basi wakifa wataenda kupewa mabikra 72 ..narudia tena ilo jambo halipo kwenye uislamu kujiuwa tu tayari ni haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mijitu humu inajifanya inajua dini za watu kwa story za vijiweni na kuaminishwa upumbavu wa bure kuchukiana chukiana hovyo...wangeujua uislamu kwa kuusoma na kuuelewa Basi wote wangeutukuza uislam
Umeona kama mtoa mada hapa hata akieleweshwa bado anapotosha, hata umueleze vipi anakimbilia kupotosha kwa wengine. Chuki za kidini zinawasumbua
 
Nawahurumia wakrsto wa Zanzibar na wasamalia wanapitia mateso makubwa kwa uchache wao
Wapi jamii ya kiislamu ilishawahi kupaza sauti kukemea hao wanaofanya vitendo hivyo..ama hayo makundi ya kigaidi?zaidi ya kukaa kimya kumaanisha wanaunga mkono yote hayo yanayotokea.

Mimi na mfano mdogo tu wa hapa hapa kwetu hata tusiende mbali..kwanini wakristo wa zenji wanakatariwa kumiliki ardhi..na kwanini miaka ya nyuma mapadri waliuliwa zenji na wengine kumwagiwa tindikali...kama kweli uslam ni dini ya upendo na amani kwa watu wote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kila kona ya hii dunia Dini ya kiislamu ni shida. Inapigwa vita na wazungu , wachina na wahindi na shida ni ile ile waislamu wanataka kulazimisha dini yao ifuatwe kwa nguvu kitu ambacho akikubaliki kwa dunia ya saiv ambayo dini ni hiyari ya mtu.
dini zote zinavutia kwake,kila mmoja hujiona sahihi na Bora ndani ya imani yake... uislamu pekee ndio dini ya wote,Mungu wa waislamu NI wa wote

kasome suratul baqra aya ya 62 na Surat maida Aya ya 69

acha kuchukua maneno ya wahuni na wapumbavu kasome, ukweli umo ndani ya Vitabu na waafrica hatuna utaratibu huo hivyo tunaaminishwa kwa maneno na tunakuwa wafuasi bila kufikiri au kuangalia ulichoaminishwa NI sahihi ama la
 
Ni kweli kwenye Quran kuna kifungu kinachomruhusu muislam kujitoa muhanga na endapo atafanya hivyo atapewa mabikra 72 akifika ahera? Hii ni kweli au stori tu za mitaani?.
Kikifanywa kwa uzuri kwa kile mtu alichoelekezwa hupatiwa zawadi kulingana na uzuri alioufanya. Falsafa hii kwa binadamu inafanya kazi vilevile. Lakini muasisi ni Mungu.

Hakika kwa upande wa Mungu, mja akiyashika ya Mungu na kubakia kwake atalipwa kwa uzuri wa kile alichojitahidi. Na Mungu ametupatia haya maumbile na akayajaza kupenda nini.

Kwa wanaume tumeumbiwa kupenda mengi na mojawapo ni wanawake kwa sababu ndiyo maumbile tuliyopewa. Peponi kuna neema nyingi na kwa mwanamume ni kuozeshwa wanawake.

Lakini Mungu hapendezeshwi na kuua. Ukitoa uhai 1 ni sawa umetoa uhai wa watu wote duniani. Mtoto wa Nabii Adam A.S aliemuua nduguye kwa sababu yeye ndiye muasisi wa kuua basi kwa kila binadamu atakaefanya dhuluma ya kuua asilimia ya madhambi ya uuaji naye yanamfikia kwa sababu yeye ndiye muasisi wa hiyo dhambi.

Ndiyo maana ukiua una laana ya Mungu, kwa sababu kuua ni sawasawa na kuvunja jengo alilolijenga Mungu. Kwa sababu binadamu ni wa Mungu halafu wewe unamuua.

Kuua kuliko ruhusiwa ni kuua kwa haki, nako ni kupi? Mfano vitani, umevamiwa na majambazi wenye silaha pengine una nyenzo za kupambana nao kwenye kupambana ukamuua hapo hauna dhambi na mfano wa namna hiyo!

Na ukimuua wewe ni peponi yeye ni motoni. Na ukiuliwa wewe ni peponi na yeye ni motoni. Kwa sababu wewe unaipigania haki kwa kuondoa udhalimu na yeye anaivunja haki kwa kuutangaza udhalimu. Ndivyo mafundisho ya Uislam.

Na Mungu ndiye mjuzi zaidi.
 
Wengi wao wanaonyanyaswa huko wanakimbilia africa [emoji16]
Kwa kweli India waislamu wana hali ngumu sana, CHuki na ubaguzi wa wahindu kwa waislmau hazina mfano kabisa, Hawapewi ajira, Hawakodishwi hata vyumba vya makaazi kwenye maeneo mengi.
 
Huwezi kuwa na akili timamu na kujitambua ukawa mfuas wa dini ya wavaakobazi..wengi ni brainwashed na wamependikizwa chuki dhidi ya watu wa imani zingine..sasa dini gani hiyo.

Mtu anauwa wenzake kisa dini karne hii ya 21 huu si upumbafu..mtu anajiua na kuua wengine kwa kujilipua mabomu kisa dini huu si ukosefu wa akili.
Dini+ujinga ni janga kwa ulimwengu uliostaarabika.

#MaendeleoHayanaChama
umekuwa mpumbavu wewe kwenye hili kwa kuchanganya "dini" na "wafuasi wa dini"

1- kwanza umeropoka vitu ulivyoaminishwa au kujiaminisha kwa utashi wako

2- umetengeneza chuki kwa muislamu anayesoma comment yako kwa kumdharau (hakuna binaadamu anayefurahishwa na hili)

3- umeongea kwa chuki

4- umeonyesha how stupid you are kudharau imani ya mwenzako Hali ya kuwa wewe una complain kuhusu waislam kudharau imani zingine

nenda kasome suratul baqra aya ya 62 na Surat maida Aya ya 69 ukaone ukweli dini ya kiislam au Mungu wa waislamu anasema Nini kuhusu dini zingine HALAFU UTAPATA JIBU KATI YA WAISLAM NA WEWE NANI ALIYEPANDIKIZWA UJINGA..KASOME,IQRAA,SOMA ACHA KUWA MJINGA WA KUSIKILIZA NA KUWA MFUASI BENDERA UPEPO UKIENDA KULIA TWENDE KUSHOTO TWENDE
 
Back
Top Bottom