Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Wewe hata imani yako inakataza kusema usidhalilishe watu thabiti wanaofuata imani uliyopo kwa wote kuonekana wana tabia kama zako. Bora ujitangaze si mmoja wao kuliko kujiweka huko na kufanya yaliyoikataza.Dubai kuna movement kubwa sana ya chini kwa chini ya kuvunja makanisa tena makanisa yenyewe ni machache sana sijui matano tu
Hapa unadanganya wazi tena kwa lengo la kupotosha watu waangukie dhambini kama ulivyoanguka wewe kwa uongo, Dubai hakuna movements hizo na hayo makanisa yapo mengi kuliko idadi hiyo uliyoitaja. Mji mzima yanafika ishirini. Bado kuna Ministries nyingi sana, kule hulazimishwi imani.
Dubai kuna mahekaly ya Wahindu, Budhdha na wengineo wanaabudu kwa amani hakuna anayewaingilia imani yao.