Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

Dubai kuna movement kubwa sana ya chini kwa chini ya kuvunja makanisa tena makanisa yenyewe ni machache sana sijui matano tu
Wewe hata imani yako inakataza kusema usidhalilishe watu thabiti wanaofuata imani uliyopo kwa wote kuonekana wana tabia kama zako. Bora ujitangaze si mmoja wao kuliko kujiweka huko na kufanya yaliyoikataza.

Hapa unadanganya wazi tena kwa lengo la kupotosha watu waangukie dhambini kama ulivyoanguka wewe kwa uongo, Dubai hakuna movements hizo na hayo makanisa yapo mengi kuliko idadi hiyo uliyoitaja. Mji mzima yanafika ishirini. Bado kuna Ministries nyingi sana, kule hulazimishwi imani.

Dubai kuna mahekaly ya Wahindu, Budhdha na wengineo wanaabudu kwa amani hakuna anayewaingilia imani yao.
 
Hueleweki na wala hayaeleweki haya aidha umekosa tafsr sahihi
Nazungumza na wewe kwa lugha ya kutaka utafakari na ndiyo maana naileta kwa mfumo wa somo la ufahamu.

Ukiwa kama haujafahamu/umeshindwa kufahamu usiseme haueleweki na hayaeleweki! Sema; nimeshindwa kuelewa ulichokiwasilisha hivyo fafanua zaidi ili nifahamu.
 
Sharia inasemaje endapo mtu atahama/asi dini ya kiislam na kwenda dini nyingine?
 
Usisahahu India kuna Waislamu wengi sana tu isitoshe Dubai/UAE ni nchi ya Kiislamu na inayofwata Uislamu hivyo mgeni yoyote ni lazima afwate masharti yao ya Uislamu kama unataka kuishi UAE usifikiri ni kama Tanzania ambapo mgeni ndiyo anapanga wewe mwenyeji ndio ujipendekeze!
ss mnachukia nn India kuwabana kama mnatambua kuwa zipo nchi za kiislamu na zinawabana wasio waislam , kwann nyiny msikubali kufuata taratibu za nchi nyingne ?
 
Usisahahu India kuna Waislamu wengi sana tu isitoshe Dubai/UAE ni nchi ya Kiislamu na inayofwata Uislamu hivyo mgeni yoyote ni lazima afwate masharti yao ya Uislamu kama unataka kuishi UAE usifikiri ni kama Tanzania ambapo mgeni ndiyo anapanga wewe mwenyeji ndio ujipendekeze!
Dubai/UAE ni nchi ya Waislam siyo ya Kiislamu
Kuna nchi nyingi za Kiarabu huwa tunadhani ni za KIISLAMU ila kiuhalisia ni za WAISLAMU

Kinachotofautisha nchi ya Kiislam na nchi ya Waislam ni Katiba zao
Kama nchi ni ya Kiislamu inakuwa stipulated kabisa katika katiba yao kwamba itafuata Qur'an na Sunnah na kinyume chake kwa nchi ambazo ni za Waislamu

Nchi za Waislamu ni nchi ambazo zina wafuasi wengi wa dini ya Kiislamu lakini Katiba ya nchi zao si za Kiislamu ingawa zina utamaduni wa Waislamu kama;
Iraq, Oman, Misri, Lebanon, Kuwait, Yemen, Qatar, Indonesia, Libya, Algeria, Morocco, Tunisia na Turkey hata Zanzibar nadhani ni nchi ya Waislam

Nchi za Kiislamu ni kama;
Iran, Saudi Arabia, Pakistan na Comoro

I stand to be corrected
 
Wapi jamii ya kiislamu ilishawahi kupaza sauti kukemea hao wanaofanya vitendo hivyo..ama hayo makundi ya kigaidi?zaidi ya kukaa kimya kumaanisha wanaunga mkono yote hayo yanayotokea.

Mimi na mfano mdogo tu wa hapa hapa kwetu hata tusiende mbali..kwanini wakristo wa zenji wanakatariwa kumiliki ardhi..na kwanini miaka ya nyuma mapadri waliuliwa zenji na wengine kumwagiwa tindikali...kama kweli uslam ni dini ya upendo na amani kwa watu wote.

#MaendeleoHayanaChama
Jamii ya kiislamu inakemea Sana...hata ukiangalia television maarufu za kimataifa kama Peace TV wanazuoni mbali mbali wa kiislamu wanakemea Sana na kutoa muongozo na elimu ya kidini lkn kama unavyojua watu waovu huwa hawaishi duniani wanaendelea na uovu wao....hata ktk mifano ya kawaida ktk jamii zetu...polisi wapo na mahakama zipo na watu wanafungwa lkn bado maovu yanaendelea.

Kuna mijadala huko ulaya ya television hufanywa mara Kwa mara kuhusiana kuhusiana na Imani za Dini....mfano kuna mmoja ulikuwa unazungumzia je Uislamu ni Dini ya Amani? Mshiriki mmoja ambaye alichukuliwa na Taliban alitoa ushuhuda kuwa Kule wanafundishwa itikadi za kidini ambazo si sahihi na si mafundisho halisi ya kiislamu lkn bahati nzur aliweza kuwakimbia na kurudi kwao....kwahiyo si kila kikundi kinacho jinasibisha na Uislamu kwamba ni kweli kinapigana jihadi ya kidini.

Tuje ktk swala lako kuuwawa Kwa mapadre....je kuna udhibitisho wowote kuwa walio wauwa ni waislamu? Usije kuwa unadhana kwamba Kwa kuwa waislamu wengi wapo huko zenj basi ukahukumu moja Kwa moja kuwa wahusika ni waislamu.....tangu huko zaman hasa hawa mapadre wa kikatoliki Wana historia ya kuuwana Sana nazungumzia huko ulaya na kwengineko duniani usije ndio ndio mwendelezo ule ule wa kufanyiana umafya!....lkn tuje hapa bara nadhan hivi karibuni umesikia matukio ya mapadre kuuwawa je hapo utasema waislamu wamehusika? Maana mpaka sasa hawajakamatwa watuhimiwa...naomba niishie hapa
 
Wavaa kobaaz Ni wapumbavu sana ..Yani wanajiona wao ndio wenye Haki na dini yao ya kikumbavu kweli ..eti wanampigania Allah hahaha kwani uyo Allah ameshindwa kujipigania yeye mwenyewe? Halafu kunaa ahadi wamepewa ya kwenda akhera ya mabikra 72 Yani ukiwa mvaa kobaaz tayari wewe siyo binadamu ..tunakuweka kwenye kundi la mapepo yaliyo vaa mwili wa binadamu. Kuwa mvaa kobaaz Ni laana kwa ufupi. Kwanza yale maandishi yao wanasoma kutoka mbele kwenda nyuma ..hahaha sisi tuko mwaka 2022 eti yenyewe bado yapo mwaka 1400 uko sijui hahaha ...hili dini Ni la hovyo Sana limekuja kuleta mtafaruku duniani.
Majibu ya hii hoja yako ya kipuuzi tumejibu katika Uzi unao mhusu Yule bwege aliyechomwa kisu...utafute upate elimu kidogo
 
Kulazimishwa siyo lazima kukatwa shingo tu hata Uislamu haukuenezwa kila mahali kwa kukatwa shingo labda nikuulize kwa nini Watanzania wana majina ya Kizungu kama George, Elisabeth au sijui Anna? Ilikuwaje ? Nini kilitokea kwani kabla ya Wazungu kuja hakukuwa na Anna wala Christopher sasa nini kilitokea?
Kwa wakristo wengi wana majina ya asili haiwezekani mnyakyusa umwambie ili awe mkristo lazima aitwe Loveness badala ya Lugano yenye maana hiyo hiyo,huo ni ujuha.Eti salamu iwe ya kiarabu au kizungu badala ya lugha asilia!
 
ukitambua kuwa wapo wahuni na mnawakalia kimya hlf hamuwakemei bas wote wahuni
Haya masuala yanazungumzwa sana na wanawazuoni mbalimbali wa Kiislamu na hata hapa Tanzania.

Mfano Syria: ISIS walipoingia tu kusema wanatetea kusimamisha dola ya Uislam wanawazuoni waliwapinga mfano marehemu Sheikh Bouti wa Syria, Kitukuu cha Mtume Sheikh Muhammad Al Hudaa Al Yaaqoubi na wengineo. Aidha, zinazungimziwa kwenye TV zao! Ikiwa kama unatizama TV zao sawa utabahatika kuona mfano TV Imani walishalizungumzia hili tena ilikuwa ni series.

Sheikh Bouti aliuliwa na ISIS kwa mtu kujitoa muhanga kwa bomu msikitini ambapo alikuwa anatoa darsa.

Vitabu pia vipo na uzuri Uislam ni elimu na hii elimu ndiyo Uislam. Hivyo, muislam hatishwi ama kubabaishwa na muonekano wa mtu kisa kavaa kanzu, ana ndevu nyingi, anasema Allahu Akbar, kunukuu aya au hadithi! Misingi ya elimu ya Uislam imedhibitiwa na ndiyo maana mlango wa kufanya majadiliano upo wazi. Hivyo, hizo kauli za makundi ya Kigaidi kwa mwenye elimu hazimbabaishi.
 
Wahindi ni wapumbavu kama tulivyo waafrika,kuwa na uhasama na dini ambazo zimeletwa na wengine ni ujinga wa kiwango cha lami.

Mwingereza ndio chimbuko LA ugomvi huo-na alifanya hivyo ili iwe rahisi kuitawala India.
 
Imani nikitu hatari sana nihisia za ndani kabisa kwa mwanadamu kwa hiyo kila mtu anacho amini hapo ndio utata unakuja mwingine kulazimisha kuamini asicho kiamini mwisho mauaji, chuki na kutengana

MUNGU ATUNUSULU KWA TAIFA LETU.
Mbona hizo hisia watu hawakuweka kwenye imani/dini zao za asili uje uziweke kwenye imani ya watu wengine-si upoyoyo huo.
 
Chanzo kikuu na uadui wa Waislamu na Wahindu nchini India ni Ukoloni wa Uingereza waliyokuwa wakiwatawala. Hao ndiyo walisababisha sumu ile waliyoipandikiza, iwe kichocheo cha uadui hadi leo hii. Walitumia sera yao ya DIVIDE AND RULE wakawagawanya kwa makundi kwa mujibu wa dini zao na sababu nyingine za kisiasa, waliwafanya wasiwe na umoja ili waendelee kuwatawala vyema.

Chuki kubwa ilizaliwa baada ya kuwagawa hivyo na ndiyo hiyo inayowatafuna hadi leo hii, ila kabla ya ujio wa mkoloni hakukuwa na uhasama baina yao.


=====

Huku Afrika hii sera yao imepelekea ukabila mkubwa sana baina ya watu wa nchi moja, wakoloni waliamua kuvunja umoja wa watu ili wasiweze kuungana dhidi yao kwenye utawala wao. Tanzania yenyewe tungeingia pabaya sana kwenye uhasama huu wa kikabila, kama isingekuwa kupigwa vita mapema.

Huko India walilenga imani zao maana ndiyo zilikuwa kila kitu, na huku wakalenga kabila kwani ndiyo zilibeba nguvu kubwa. Matokeo ya sumu yao ndiyo chuki ipo hadi leo hii
Acha uongo ukabila upo toka enzi kabla hata ya ukoloni,tofauti ya mila baina ya makabila ndio chanzo cha migongano baina ya jamii moja na nyingine na ndio maana hata uislamu umekuwa na utamaduni mmoja wa kiarabu ili kuueneza kirahisi.
 
Kwa wakristo wengi wana majina ya asili haiwezekani mnyakyusa umwambie ili awe mkristo lazima aitwe Loveness badala ya Lugano yenye maana hiyo hiyo,huo ni ujuha.Eti salamu iwe ya kiarabu au kizungu badala ya lugha asilia!

Watu wa Kusini na Kilimanjaro ni exception na hii ni kwa sababu ya Uprotestant, Uprotestant uliruhusu tofauti na Ukatoliki kubatiza Watoto hata kwa majina ya Kiafrika ndiyo maana sehemu ambapo kuna KKKT mfano Kilimanjaro au Mikoa ya Kusini wanatumia majina yao ya Kiafrika, lkn hii ni kwa sababu Uprotestant walitaka kuwa tofauti na Wakatoliki na waliquestion kwa nini iwe lazima kuchukuwa jina la Kizungu ili umfwate Kristo?

Hivyo yalikuwa ni kama Mapinduzi fulani lkn nimesikia hata Roman Catholic siku hizi wameanza kukubali kubatiza hata kwa majina yetu ya kiasili, lkn it’s too late imeshazoeleka na inahitaji Mapinduzi mengine kuwatoa watu hapo, Watanzania hata wakiongelea majina mazuri wanamaanisha ya Kizungu kama Nancy, Vanessa au sijui William na jina baya ni la kiasili imeshakaa kichwani hivyo bila hata ya lazima Mtanzania atampa mtoto wake jina la Kizungu, kwanza ukiwa na Jina la Kiasili unachekwa.

Kuna sababu kwa nini wanaitwa Protestants au Wapingaji, …
 
Kwenye uislamu hakuna kulazimishana kwenye dini kama mtu amekataa kusilimu na kuwa muislamu upaswi kumfanyia vitimbi vyovyote unatakiwa kumuacha na vile vile kuitusi dini za wengine ni haramu kwenye uislamu .. Uislamu ni amani na upendo na wala siyo chuki na vita

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi uislamu una shaka si kama mnavyounadi yanayotokea yote ni Kwa mwongozo wa hiyo hiyo quran,wewe ukikataa kisa mtazamo wako basi na hao mnaowaita wahuni wanawaona mmepotea,nimewahi kusikia mawaidha ya msikiti mmoja wakimsifia Osama unadhani wale si waislamu safi kuliko wewe?
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kwa Waislam kuna dhehebu linaloitwa Salafi. Salafi nao wamegawanyika; kuna wa moto kiasi na wa moto kabisa. Hawa chao ni sahihi cha kwako si sahihi, ukimfuata upo sahihi usipomfuata umepotea. Hawa ndoa zao wanafungishana wao tu! Wengine wanafika mbali kabisa asie Muislam kwao wanamuona amekuja bahati mbaya duniani. Fahamu pia; mpaka Waislamu dheheb la Sunni kwa upande wa Salafi wanawaona Sunni wamepotea hivyo utapewa majina mabaya kweli.
Hujawafanyia uadilifu Masalafi hapa ewe ndugu yangu Hammaz. Ni hayo tu.

Kisai Kazakh destroyer Abuu Dharr AbuuMaryam
 
Back
Top Bottom