Kwanini waimbaji wa Injili wa kike hapa Bongo hawadumu kwenye ndoa?

Waimbaji wa nyimbo za injili ni wanafiki na hata baadhi ya wanao wasikiliza nao ni wanafiki. Ukijaribu kuonya unaambiwa usihukumu usije ukahukumiwa. Kwa Sasa Christina Shusho ni mchungaji ila yupo hapo kwa diamond. Mtu mwenye kiburi hashauriki.
 
mwanamke kwenda kuolewa anafuata fursa ya maisha, sasa akipata fursa zaidi nje mfumo wa ndoa kwanini abaki kwenye ndoa tena? Akitaka tendo ana-download dogo lote alitakalo.
 
Kwa sababu nao ni binadamu kama wewe. Kuimba injili hukuwafanyi wawe tofauti.
 
Ndoa za Tasnia ipi zinadumu ? Na nchi gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…