Eeh kwan kwenye ndoa wanatafutaga uchumi?Asilimia kubwa ya wanawake wajishajipata kiuchumi hawana habari ya ndoa.
Sijui ila wengi wao ndivyo walivyo japo sio wote.Eeh kwan kwenye ndoa wanatafutaga uchumi?
Ni kwanini ati!!?Asilimia kubwa ya wanawake wajishajipata kiuchumi hawana habari ya ndoa.
Nini maana yako ya hawana ndoa .... Nani ambaye haijawahi kuolewa hapo!!? .... Ni umalaya tu baada ya kupata umaarufu.Ndoa ni jambo la heri na dini imesisitiza kila aliye na umri wa kuwa katika ndoa basi awe na mwenza
Ila 90% ya waimba injili japo ya kuwa wana ijua dini na wanaweza ombea amani katika ndoa ila wao hawana ndoa, kwanini
1. Rose Mhando hana ndoa
2. Martha Mwaipaja hana ndoa
3 Bahati Bukuku hana ndoa
4 Jennifer Mgendi hana ndoa
5. Frola Mbasha hana ndoa
6 Joyce Omondi kutoka Kenya hana ndoa
7 Mercy Masika wa Kenya hana ndoa
8. Christina Shusho hana ndoa
9. Upendo Nkone hana ndoa
10 Rebecca Malope wa south Africa hana ndoa
Hii ni mfano ila ni wengi mno hii taasisi ya ndoa imewashinda
Ndiyo hayo Madildo?.Hawajaolewa Ila wana wanaume wao
Ijulikane ndoa inanafasi yake na uchumi unanafasi yake mkuu,, hivi kuna watu ni masikini kabisa lkn wameoana na ndoa zao zinamda mrefu tu,wajua Hilo?,,uendekezaji wa pesa na mambo ya dunia,unawapeleka kwenye uzinzi mkubwa na maangamizi.Asilimia kubwa ya wanawake wajishajipata kiuchumi hawana habari ya ndoa.
Ni kweli mkuu ila kila mtu ashinde mechi zake.Ijulikane ndoa inanafasi yake na uchumi unanafasi yake mkuu,, hivi kuna watu ni masikini kabisa lkn wameoana na ndoa zao zinamda mrefu tu,wajua Hilo?,,uendekezaji wa pesa na mambo ya dunia,unawapeleka kwenye uzinzi mkubwa na maangamizi.
Ninyi ndio mnaozalisha wanaume kataa ndoa Kuna faida ya mwanamke kuwa single kama sio kutaka ufanya uzinziKuolewa ni utumwa
Ndio ujue kabisa ndoa ina manufaa ya kimahusiano zaidi kwa mwanaume kuliko kwa mwanamke ,ndio maana mwanamke ni rahisi kuwa na mtu ambae hajamvutia kimahusiano ila anapesa, kuliko mwanaume kuwa na mwanamke anasiyemvutia na wakafunga mpaka ndoa🤔🤔🤔🤔Ni kwanini ati!!?
Mke ni mtumwa, mtumwa wa ngono, mtumwa wa kupikia mwanaume, mtumwa wa kulea watotoNinyi ndio mnaozalisha wanaume kataa ndoa Kuna faida ya mwanamke kuwa single kama sio kutaka ufanya uzinzi