Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona vingine hapo ni uongo tu. Umeweka vitu vingi tofauti kwenye kapu moja.Ndoa ni jambo la heri na dini imesisitiza kila aliye na umri wa kuwa katika ndoa basi awe na mwenza
Ila 90% ya waimba injili japo ya kuwa wana ijua dini na wanaweza ombea amani katika ndoa ila wao hawana ndoa, kwanini
1. Rose Mhando hana ndoa
2. Martha Mwaipaja hana ndoa
3 Bahati Bukuku hana ndoa
4 Jennifer Mgendi hana ndoa
5. Frola Mbasha hana ndoa
6 Joyce Omondi kutoka Kenya hana ndoa
7 Mercy Masika wa Kenya hana ndoa
8. Christina Shusho hana ndoa
9. Upendo Nkone hana ndoa
10 Rebecca Malope wa south Africa hana ndoa
Hii ni mfano ila ni wengi mno hii taasisi ya ndoa imewashinda
Leta uthibitisho kwamba sharti la mafanikio ni kusagana.Moja ya sharti la mafanikio ni kusagana.
Ndio maana kuna mmoja alivunja ndoa Ili aweze kumtumikia "mungu" vizuri.
Kwa wasiojua, ibilisi naye ni mungu.
Ndoa ni jambo la heri na dini imesisitiza kila aliye na umri wa kuwa katika ndoa basi awe na mwenza
Ila 90% ya waimba injili japo ya kuwa wana ijua dini na wanaweza ombea amani katika ndoa ila wao hawana ndoa, kwanini
1. Rose Mhando hana ndoa
2. Martha Mwaipaja hana ndoa
3 Bahati Bukuku hana ndoa
4 Jennifer Mgendi hana ndoa
5. Frola Mbasha hana ndoa
6 Joyce Omondi kutoka Kenya hana ndoa
7 Mercy Masika wa Kenya hana ndoa
8. Christina Shusho hana ndoa
9. Upendo Nkone hana ndoa
10 Rebecca Malope wa south Africa hana ndoa
Hii ni mfano ila ni wengi mno hii taasisi ya ndoa imewashinda
Si nasikia aliolewa tena?Upendo Nkone nafikiri ni mjane.
Kuwa rohoni ni kushindwa ndoa ambalo ni jambo la heri kabisaMambo ya Rohoni ni tofauti na mambo ya mwilini.
Ukiwa wa Rohoni ya mwilini unaona hayana thamani.
Biblia ktk Muhubiri inasena ni ubatili mtupu....
NB: Mwenye macho ya Rohoni ataelewa.
Sio kila ndoa yatoka kwa Mungu.Kuwa rohoni ni kushindwa ndoa ambalo ni jambo la heri kabisa