Kwanini waimbaji wa injili wa kike hawana ndoa

Ndoa ni jambo la heri na dini imesisitiza kila aliye na umri wa kuwa katika ndoa basi awe na mwenza

Ila 90% ya waimba injili japo ya kuwa wana ijua dini na wanaweza ombea amani katika ndoa ila wao hawana ndoa, kwanini

1. Rose Mhando hana ndoa

2. Martha Mwaipaja hana ndoa

3 Bahati Bukuku hana ndoa

4 Jennifer Mgendi hana ndoa

5. Frola Mbasha hana ndoa

6 Joyce Omondi kutoka Kenya hana ndoa

7 Mercy Masika wa Kenya hana ndoa

8. Christina Shusho hana ndoa

9. Upendo Nkone hana ndoa

10 Rebecca Malope wa south Africa hana ndoa

Hii ni mfano ila ni wengi mno hii taasisi ya ndoa imewashinda
Kama hao ndio viongozi wetu wanaotukumbusha mambo ya Iman kwa kuimba nyimbo za dini na hali yakuwa hawana ndoa Kwanini mm niingie kwenye Ndoa?
 
Olewa mkuu
Ndoa ni Ibada, heshima, Kwa mwanamke
 
Back
Top Bottom