Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Technically uisilamu na Biashara vinashabihiana muda mrefu mno, ukisoma Historia, Elites wa Nchi mbalimbali walikua wakisilimu sababu ya Biashara, hata Hapa Tanzania Still biashara imejichimbia kwenye Uisilamu, hivyo ni kawaida kukuta Watu wenye pesa wanaswali Tarawehe saa 8 usiku.Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi.
Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona mchungaji anashangaa ingawa hashangai kupokea sadaka zake.
Bila kujali ipi dini ya kweli, niwe mkweli matajiri wengi wa kiislam wanapenda ibada sana. Kuna wengine huko saudia wanaishi misikitini tu huku mambo yanaenda. Wetu wa kikristo wako shalo kiroho, wanakuja wamechelewa na kuwahi kuondoka. Wengine hawaji kabisa wanasubiri kuombwa kichango tu japo wengu hutoa sio bahiri.
Sababu ni nini?
Siwasimangi watumishi wa Mungu mbona mabilionea wa kibibilia walikuwa watu wa ibada kupitiliza hadi ibirisi anawaonea wivu?
Mfano: Ibrahim, Isaka, Yakobo, Ayubu, Suleiman, Daudi, Yusuph wa Armathaya, etc
Hawa jamaa wasaidiwe aisee. Wanatakiwa kuwa mfano mzuri kiroho kwa waumini masikini ambao ndio rundo makanisani.
Ni hayo tu
Mtumishi
Matunduizi.
Hata hao matajiri wa kimataifa weusi pia wengi ni waisilamu toka Africa. Top 3 mostly ni Dangote, Adenuga na Abdul samadu.Sio hakuna bilionea mkristo ni hakuna matajiri wakubwa wa kimataifa ambao ni watu weusi, tofauti na waarabu na Hindu ambao wengi ni waislamu na wahindu , ukiwatoa hao mabilionea weusi wanaofuata wengi wao ni wakristo .
Kumchangia nani?Sio kweli tembelea makanisa ya kiroma na kkt huko Moshi ndio utajua hadi dollars millions 1 mpaka 2 mtu mmoja anaweza changia.
Top 20 za forbes ambazo zina vigezo hazi include Royal families, Wanasiasa na watu wengi ambao utajiri wao haupo public. Ila watu kama kina Musk ni wachumba sana kwa Royal families za Middle East, mfano Saudi Royal family sio tena Bilionea washavuka na kuwa Trilionea.Vilevile hakuna Muislamu katika Top 20 za matajiri duniani !
Waisilamu wengi utajiri wao unatokana na Biashara hata hawana time na hio SerikaliWaislamu akisha fanya ufisadi serikali na kuwa na utajiri hua wanajiona watukufu watakatifu wachamungu
Hao Royal Family wanafanya biashara gani Global wawe na utajiri huo unaosema ? hizo ndio Haox story za kina Rothchild kuwa ndio wamiliki wa mabenki yote Duniani.. Musk,Gate,Buffen,Zuckerberg wamewekeza kwenye teknolojia ya Mawasiliano ambayo inatumika karibu Duniani kote..Top 20 za forbes ambazo zina vigezo hazi include Royal families, Wanasiasa na watu wengi ambao utajiri wao haupo public. Ila watu kama kina Musk ni wachumba sana kwa Royal families za Middle East, mfano Saudi Royal family sio tena Bilionea washavuka na kuwa Trilionea.
Utajiri wa majini utapotea usipoenda kuyatembelea msikitini.Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi.
Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona mchungaji anashangaa ingawa hashangai kupokea sadaka zake.
Bila kujali ipi dini ya kweli, niwe mkweli matajiri wengi wa kiislam wanapenda ibada sana. Kuna wengine huko saudia wanaishi misikitini tu huku mambo yanaenda. Wetu wa kikristo wako shalo kiroho, wanakuja wamechelewa na kuwahi kuondoka. Wengine hawaji kabisa wanasubiri kuombwa kichango tu japo wengu hutoa sio bahiri.
Sababu ni nini?
Siwasimangi watumishi wa Mungu mbona mabilionea wa kibibilia walikuwa watu wa ibada kupitiliza hadi ibirisi anawaonea wivu?
Mfano: Ibrahim, Isaka, Yakobo, Ayubu, Suleiman, Daudi, Yusuph wa Armathaya, etc
Hawa jamaa wasaidiwe aisee. Wanatakiwa kuwa mfano mzuri kiroho kwa waumini masikini ambao ndio rundo makanisani.
Ni hayo tu
Mtumishi
Matunduizi.
Michael Adenuga..Hata hao matajiri wa kimataifa weusi pia wengi ni waisilamu toka Africa. Top 3 mostly ni Dangote, Adenuga na Abdul samadu.
Shida yetu wakristo michango mingi makanisaniSiku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi.
Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona mchungaji anashangaa ingawa hashangai kupokea sadaka zake.
Bila kujali ipi dini ya kweli, niwe mkweli matajiri wengi wa kiislam wanapenda ibada sana. Kuna wengine huko saudia wanaishi misikitini tu huku mambo yanaenda. Wetu wa kikristo wako shalo kiroho, wanakuja wamechelewa na kuwahi kuondoka. Wengine hawaji kabisa wanasubiri kuombwa kichango tu japo wengu hutoa sio bahiri.
Sababu ni nini?
Siwasimangi watumishi wa Mungu mbona mabilionea wa kibibilia walikuwa watu wa ibada kupitiliza hadi ibirisi anawaonea wivu?
Mfano: Ibrahim, Isaka, Yakobo, Ayubu, Suleiman, Daudi, Yusuph wa Armathaya, etc
Hawa jamaa wasaidiwe aisee. Wanatakiwa kuwa mfano mzuri kiroho kwa waumini masikini ambao ndio rundo makanisani.
Ni hayo tu
Mtumishi
Matunduizi.
Shida yetu wakristo michango mingi makanisaSiku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi.
Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona mchungaji anashangaa ingawa hashangai kupokea sadaka zake.
Bila kujali ipi dini ya kweli, niwe mkweli matajiri wengi wa kiislam wanapenda ibada sana. Kuna wengine huko saudia wanaishi misikitini tu huku mambo yanaenda. Wetu wa kikristo wako shalo kiroho, wanakuja wamechelewa na kuwahi kuondoka. Wengine hawaji kabisa wanasubiri kuombwa kichango tu japo wengu hutoa sio bahiri.
Sababu ni nini?
Siwasimangi watumishi wa Mungu mbona mabilionea wa kibibilia walikuwa watu wa ibada kupitiliza hadi ibirisi anawaonea wivu?
Mfano: Ibrahim, Isaka, Yakobo, Ayubu, Suleiman, Daudi, Yusuph wa Armathaya, etc
Hawa jamaa wasaidiwe aisee. Wanatakiwa kuwa mfano mzuri kiroho kwa waumini masikini ambao ndio rundo makanisani.
Ni hayo tu
Mtumishi
Matunduizi.
Matajiri wengi wa kiislamu sio watoaji wa misaada ya kijamii zaidi ya kugawa pesa misikitini, fikiria Marehemu Mengi alikuwa akitoa misaada mingi bila kujali it4kadi ama dini ya mtu..hata Matajiri wa Kizungu sehemu kubwa ya pesa zao huzigawa kwa masikini bila kujali itikadi mfano ni Bill Gate.. ana Charity Foundation inayojali sn masikini kwenye nyanja nyingi, wanaamini"tumepewa bure toeni bure".. Matajiri wa kiarabu pesa yao akitoa sana sana ni kujenga misikitit na kufadhili ugaidi..ndio maana leo utakuta mtu anatumia ARV zinazotoka na hao Matajiri wa Kizungu na sio hao waislamu bahili.Utajiri wa majini utapotea usipoenda kuyatembelea msikitini.
Akili zako ni ndogo utajiri wa waislamu wote Tanzania unatoka serikalini tena kwa njia za kifisadi .Waisilamu wengi utajiri wao unatokana na Biashara hata hawana time na hio Serikali
Kuna mtu anaongoza kwa kutoa Misaada TZ hii kumshinda BAKHRESA? Au ww unataka aende kwenye TV?Matajiri wengi wa kiislamu sio watoaji wa misaada ya kijamii zaidi ya kugawa pesa misikitini, fikiria Marehemu Mengi alikuwa akitoa misaada mingi bila kujali it4kadi ama dini ya mtu..hata Matajiri wa Kizungu sehemu kubwa ya pesa zao huzigawa kwa masikini bila kujali itikadi mfano ni Bill Gate.. ana Charity Foundation inayojali sn masikini kwenye nyanja nyingi, wanaamini"tumepewa bure toeni bure".. Matajiri wa kiarabu pesa yao akitoa sana sana ni kujenga misikitit na kufadhili ugaidi..ndio maana leo utakuta mtu anatumia ARV zinazotoka na hao Matajiri wa Kizungu na sio hao waislamu bahili.
Nenda Nigeria, congo, Sudan ndio utajuwa Kuna mabilionea watu weusi afrika au hakunaKwa nini watu weusi hawamo kwenye ubilionea wa kimaaifa wakati bara hili ndio lina fedha za kutosha
Hivi unahisi kati ya waislam na wakristo wepi wanatoa zaka sana?Umebalance vizuri. Waislam hasa wasio nacho wengi sio watoaji kama wakristo wasionacho. Msikiti mmoja jirani wamejengewa na mama mmoja ila jamaa wanachangishanaga kwa mbine bado hawapati fungu la maana. Ila wakristo wauza mchicha tu wanaweza kujinyima wakashusha mjengo kwa nguvu zao na wakaendesha mambo yao bila backup. Hapo kuna tofauti kwa mqsikini.
Mkristo Tajiri atajulikana maana kama ni muaminifu atatoa zaka. Na zaka waheesabuji wanajua anamzigo na viongozi. Kuna mmoja US aliwahi kutoa kama TSh Bil 300 zaka tu.
Mkiristo wa kweli ni yule ambaye anafanya haya Matayo 6:6Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi.
Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona mchungaji anashangaa ingawa hashangai kupokea sadaka zake.
Bila kujali ipi dini ya kweli, niwe mkweli matajiri wengi wa kiislam wanapenda ibada sana. Kuna wengine huko saudia wanaishi misikitini tu huku mambo yanaenda. Wetu wa kikristo wako shalo kiroho, wanakuja wamechelewa na kuwahi kuondoka. Wengine hawaji kabisa wanasubiri kuombwa kichango tu japo wengu hutoa sio bahiri.
Sababu ni nini?
Siwasimangi watumishi wa Mungu mbona mabilionea wa kibibilia walikuwa watu wa ibada kupitiliza hadi ibirisi anawaonea wivu?
Mfano: Ibrahim, Isaka, Yakobo, Ayubu, Suleiman, Daudi, Yusuph wa Armathaya, etc
Hawa jamaa wasaidiwe aisee. Wanatakiwa kuwa mfano mzuri kiroho kwa waumini masikini ambao ndio rundo makanisani.
Ni hayo tu
Mtumishi
Matunduizi.
Sijakataa upo sawa kabisaKumchangia nani?
Upande wa Pili mostly kazi ya sadaka wanawachangia viongozi wa dini ama taasisi husika.
Waisilamu viongozi wa dini dhima yao ni kusimamia tu hizo Mali ila sadaka zinachangwa kwa ajili ya jamii na charity mbalimbali.
Kawaida sana kwa muisilamu kufa na kuacha nyumba ya Bilioni ama zaidi wakfu.
Tatizo kubwa la Tanzania ni Bakwata ambao wao na CCM ni chanda na pete, wanafuja mno Mali za waisilamu.
Naongelea Tanzania kiongoziHata hao matajiri wa kimataifa weusi pia wengi ni waisilamu toka Africa. Top 3 mostly ni Dangote, Adenuga na Abdul samadu.