Kwanini Waislam matajiri wanapenda ibada kuliko wakristo waliofanikiwa kifedha?

Na Mimi nakuuliza swali,unafikiri kwanini waganga wa kienyeji wengi au wote ni waislamu?
 
Wakristo matajiri wengi ni washirikina wakubwa hasa walio katika dini nyingi zisizo na nguvu ya Mungu. Hivyo sio rahisi kwa mizimu Yao kuwaruhusu kuwa karibu na Mungu. Waislamu wao haina shida maana mapepo na majini Yao yanaowasaidia hupenda ibada na wasipoifanya imekula kwao hawafanikiwi katu.
 
Waarabu na wahindu toka karne ya saba wamekuwa na mifumo na mitandao dhabiti ya kibiashara Africa ya mashariki , sio rahis kumfikia mtu wa hivyo wakati weusi walikua bado hawajafunguka .

Pia inaweza kuwa jibu la swali lako kwanini mabilionea wa kiislamu wengi wana sali tofauti na wakristo kwa sababu mabilionea wengi wa kiislamu ni Waarabu na wahindu ambapo kusali ni kama sehemu ya tamaduni zao tofauti na weusi ambao dini zote wameletewa tu hata mambo mengine wanaona kama hayawahusu kihivyo.
Kuna mda mwingine unakuwaga na akili
 
Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi.

Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona mchungaji anashangaa ingawa hashangai kupokea sadaka zake.

Bila kujali ipi dini ya kweli, niwe mkweli matajiri wengi wa kiislam wanapenda ibada sana. Kuna wengine huko saudia wanaishi misikitini tu huku mambo yanaenda. Wetu wa kikristo wako shalo kiroho, wanakuja wamechelewa na kuwahi kuondoka. Wengine hawaji kabisa wanasubiri kuombwa kichango tu japo wengu hutoa sio bahiri.

Sababu ni nini?
Siwasimangi watumishi wa Mungu mbona mabilionea wa kibibilia walikuwa watu wa ibada kupitiliza hadi ibirisi anawaonea wivu?

Mfano: Ibrahim, Isaka, Yakobo, Ayubu, Suleiman, Daudi, Yusuph wa Armathaya, etc

Hawa jamaa wasaidiwe aisee. Wanatakiwa kuwa mfano mzuri kiroho kwa waumini masikini ambao ndio rundo makanisani.

Ni hayo tu

Mtumishi
Matunduizi.
Wewe umeongelea tofauti ya matajiri wa kitanzania na wa nchi za kiarabu sio dini...kuna wakristo matajiri na wanapenda ibada Marekani, Europe nk. Huku kwetu hata waislamu matajiri wanaheshimiwa tofati na kapuku kwa sababu, matajiri ni wachache inafanya waonekane special
 
Unaongelea mamilionea gani wakristo ambao hawaendi kanisani wakati mabilionea ndio wachungaji na manabii?
Mwamposa
Kakobe
Gwajima
Suguye
Kapola
Mwacha
Billionaire gani umeona haendi kanisani tapeli wewe?
 
Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi.

Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona mchungaji anashangaa ingawa hashangai kupokea sadaka zake.

Bila kujali ipi dini ya kweli, niwe mkweli matajiri wengi wa kiislam wanapenda ibada sana. Kuna wengine huko saudia wanaishi misikitini tu huku mambo yanaenda. Wetu wa kikristo wako shalo kiroho, wanakuja wamechelewa na kuwahi kuondoka. Wengine hawaji kabisa wanasubiri kuombwa kichango tu japo wengu hutoa sio bahiri.

Sababu ni nini?
Siwasimangi watumishi wa Mungu mbona mabilionea wa kibibilia walikuwa watu wa ibada kupitiliza hadi ibirisi anawaonea wivu?

Mfano: Ibrahim, Isaka, Yakobo, Ayubu, Suleiman, Daudi, Yusuph wa Armathaya, etc

Hawa jamaa wasaidiwe aisee. Wanatakiwa kuwa mfano mzuri kiroho kwa waumini masikini ambao ndio rundo makanisani.

Ni hayo tu

Mtumishi
Matunduizi.

Una maanisha nini unaposema mafanikio? Na una maanisha nini unaposema wanafanya sana ibada, maana ibada pia zipo kadhaa wa kadhaa.
Hali halisi mafanikio...ni suala mtambuka. Halina kipimo cha aina moja
 
Mimi ni
Reward za uislam ukiwa mtu wa Dini zipo wazi sana. uislam uko connected na Majini na mafanikio ya majini!

Kwa Sababu majini hayo associated na Ukristo, then huwezi Kuwa mtu wa ibada sana ya Kikristo ukakutana nayo!

Ila kwa Sababu majini ni sehemu ya uislam, na wa Islam wana consider yanawafanikisha, then kuyafurahisha lazima Uwe mdimi!
muislamu hayo majini mbona sijawahi kuwaona?
 
Kwa kawaida tajiri wa kiislamu akijenga msikiti huwa inakuwa habari kiasi kwamba hata mtu asiye muislamu atajua.
Katika ukristu hiki kitu kipo kwa baadhi ya makanisa Ila mfano RC ni nadra sana kwa sababu sadaka ni SIRI...

Na ukitaka kujua kuwa wakristu wanatoa, usisali kwenye vigango vyetu hivi, sadaka ikifika milioni mbili watu wanashangilia. Nenda st peters au sehemu za kishua. Sadaka kukunja milioni 20 kwa misa moja ni kawaida. Sasa hapo utajua kuwa watu hutoa kiasi gani na usishangae ujenzi au maintenance ya kanisa ambayo ni ghali zaidi ikafanikishwa kirahisi bila wewe kujua ni nani kafanikisha

Kwa hiyo, katika ukristu si rahisi kujua sababu Sadaka ni SIRI
Mtoa mada hajakataa kuwa mabilionea wakristo wanatoa sadaka!
Anachozungumza ni kuhudhuria sana kwenye nyumba za ibada ukilinganisha na mabilionea waislamu !
 
Uko sahihi mkuu
 
Mimi ni
muislamu hayo majini mbona sijawahi kuwaona?
Imani ya kiislam mnaamini kama walivyo binafamu waovu na wema majini pia wapo wema na wazuri ndio maana hadi kuna surat bin jinn kwenye Quran.
Kwa waislam mtu kuwa na majini mema sio ishu.
 
Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi.

Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona mchungaji anashangaa ingawa hashangai kupokea sadaka zake.

Bila kujali ipi dini ya kweli, niwe mkweli matajiri wengi wa kiislam wanapenda ibada sana. Kuna wengine huko saudia wanaishi misikitini tu huku mambo yanaenda. Wetu wa kikristo wako shalo kiroho, wanakuja wamechelewa na kuwahi kuondoka. Wengine hawaji kabisa wanasubiri kuombwa kichango tu japo wengu hutoa sio bahiri.

Sababu ni nini?
Siwasimangi watumishi wa Mungu mbona mabilionea wa kibibilia walikuwa watu wa ibada kupitiliza hadi ibirisi anawaonea wivu?

Mfano: Ibrahim, Isaka, Yakobo, Ayubu, Suleiman, Daudi, Yusuph wa Armathaya, etc

Hawa jamaa wasaidiwe aisee. Wanatakiwa kuwa mfano mzuri kiroho kwa waumini masikini ambao ndio rundo makanisani.

Ni hayo tu

Mtumishi
Matunduizi.

Uislam ni dini ukristo ni ufalme wa Mungu .

hata rais hua hakeshi kwenye nyumba za ibada.

Duniani hatukumetwa kuswali au kukaa kwenye nyumba za ibada .
.Hao hao wenye dini ndio waliokua wanawauza watu na kuwakata shingo na kuwatupa baharini watumwa kama bidhaa zilizoharibika au nyanya zilizooza .Wakaua tembo kwa mamilioni na kutajirika .
Kwa waislam hata uuze mihadarati au ufanye ufisadi mkubwa sio tatizo alimradi ujenge msikiti au ueleke watu Maka kuhiji.
 
Wewe umeongelea tofauti ya matajiri wa kitanzania na wa nchi za kiarabu sio dini...kuna wakristo matajiri na wanapenda ibada Marekani, Europe nk. Huku kwetu hata waislamu matajiri wanaheshimiwa tofati na kapuku kwa sababu, matajiri ni wachache inafanya waonekane special

Kuna kesi moja ilitokea miaka michache iliyopita lakini iliisha mwisho wa mwaka jana. Haikuwahi kuzungumzwa sana. Kampuni moja ya kizawa ya mafuta, kiutapeli, ilitaka kuichukua kampuni nyingine ya kimataifa kwa hila na gilba.

Ile kesi ilikuwa ya aina yake. Na kama hizi dini ndio mnasema zinatengeneza matajiri, basi matajiri hawa wanaodhulumu na wengine kuiba mpaka kwenye taasisi za kifedha kwa ujanja ujanja, sio matajiri. Ni wezi kama wezi wengine.

Tusianze kujisifu kama hatujui wengi wanafanya nini
 
Back
Top Bottom