Kwanini Waislam matajiri wanapenda ibada kuliko wakristo waliofanikiwa kifedha?

Technically uisilamu na Biashara vinashabihiana muda mrefu mno, ukisoma Historia, Elites wa Nchi mbalimbali walikua wakisilimu sababu ya Biashara, hata Hapa Tanzania Still biashara imejichimbia kwenye Uisilamu, hivyo ni kawaida kukuta Watu wenye pesa wanaswali Tarawehe saa 8 usiku.

Kupitia Dini unakuwa recognised kwenye zaka, kupitia dini unapata connection za biashara etc, hivyo inakuwa rahisi kwa mfanyabiashara wa Kiisilamu kuwa mchamungu.
 
Sio hakuna bilionea mkristo ni hakuna matajiri wakubwa wa kimataifa ambao ni watu weusi, tofauti na waarabu na Hindu ambao wengi ni waislamu na wahindu , ukiwatoa hao mabilionea weusi wanaofuata wengi wao ni wakristo .
Hata hao matajiri wa kimataifa weusi pia wengi ni waisilamu toka Africa. Top 3 mostly ni Dangote, Adenuga na Abdul samadu.
 
Sio kweli tembelea makanisa ya kiroma na kkt huko Moshi ndio utajua hadi dollars millions 1 mpaka 2 mtu mmoja anaweza changia.
Kumchangia nani?

Upande wa Pili mostly kazi ya sadaka wanawachangia viongozi wa dini ama taasisi husika.

Waisilamu viongozi wa dini dhima yao ni kusimamia tu hizo Mali ila sadaka zinachangwa kwa ajili ya jamii na charity mbalimbali.

Kawaida sana kwa muisilamu kufa na kuacha nyumba ya Bilioni ama zaidi wakfu.

Tatizo kubwa la Tanzania ni Bakwata ambao wao na CCM ni chanda na pete, wanafuja mno Mali za waisilamu.
 
Vilevile hakuna Muislamu katika Top 20 za matajiri duniani !
Top 20 za forbes ambazo zina vigezo hazi include Royal families, Wanasiasa na watu wengi ambao utajiri wao haupo public. Ila watu kama kina Musk ni wachumba sana kwa Royal families za Middle East, mfano Saudi Royal family sio tena Bilionea washavuka na kuwa Trilionea.
 
Waislamu akisha fanya ufisadi serikali na kuwa na utajiri hua wanajiona watukufu watakatifu wachamungu
Waisilamu wengi utajiri wao unatokana na Biashara hata hawana time na hio Serikali
 
Hao Royal Family wanafanya biashara gani Global wawe na utajiri huo unaosema ? hizo ndio Haox story za kina Rothchild kuwa ndio wamiliki wa mabenki yote Duniani.. Musk,Gate,Buffen,Zuckerberg wamewekeza kwenye teknolojia ya Mawasiliano ambayo inatumika karibu Duniani kote..
 
Utajiri wa majini utapotea usipoenda kuyatembelea msikitini.
 
Shida yetu wakristo michango mingi makanisani
 
Shida yetu wakristo michango mingi makanisa
 
Utajiri wa majini utapotea usipoenda kuyatembelea msikitini.
Matajiri wengi wa kiislamu sio watoaji wa misaada ya kijamii zaidi ya kugawa pesa misikitini, fikiria Marehemu Mengi alikuwa akitoa misaada mingi bila kujali it4kadi ama dini ya mtu..hata Matajiri wa Kizungu sehemu kubwa ya pesa zao huzigawa kwa masikini bila kujali itikadi mfano ni Bill Gate.. ana Charity Foundation inayojali sn masikini kwenye nyanja nyingi, wanaamini"tumepewa bure toeni bure".. Matajiri wa kiarabu pesa yao akitoa sana sana ni kujenga misikitit na kufadhili ugaidi..ndio maana leo utakuta mtu anatumia ARV zinazotoka na hao Matajiri wa Kizungu na sio hao waislamu bahili.
 
Waisilamu wengi utajiri wao unatokana na Biashara hata hawana time na hio Serikali
Akili zako ni ndogo utajiri wa waislamu wote Tanzania unatoka serikalini tena kwa njia za kifisadi .
Waislamu ni wala rushwa na mafisadi hatari sana...kwa sababu huwa awana chembe yoyote ya uzalendo mioyoni mwao....nirahisi kumwona malaika kuliko kumwona muislamu wa mtanzania aliye mzalendo.
 
Kuna mtu anaongoza kwa kutoa Misaada TZ hii kumshinda BAKHRESA? Au ww unataka aende kwenye TV?
 
Hivi unahisi kati ya waislam na wakristo wepi wanatoa zaka sana?
 
Mkiristo wa kweli ni yule ambaye anafanya haya Matayo 6:6

Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini.

Ufungapo

Mt 6:16-24 Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki ...

Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso; ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini.....
Yeyote anaesali au kufunga na kujionyesha kwa watu huyu ni mnafiki sala yake/ Funga yake - Aikubaliki na Mungu wa kweli. Kujionyesha wewe ni Mtu wa Mungu ili waliokuzunguka waone hilo- Mungu apendi, Ataki na apokei sala wala funga yako
Matayo 23:25-28
Kwa kuongezea ni kuwa
Mungu wa Kwenye Quran sio Yule Mungu wa Bibilia Takatifu.
 
Sijakataa upo sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…