Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Halafu mbona mkishindwa huwa mnatazama sana,miandiko ?
Kwani miandiko huwa haifanyi swali likaeleweka,kha,nyie vipi.
Umeshinda kipi V.U?
Mimi naangalia typing errors zako tu
 
M
Mzee hivi ukristo umeruhusu zinaa? Wakristo wangapi wanazini? Dhambi kufanywa na wengi haiwi halal
 
M

Mzee hivi ukristo umeruhusu zinaa? Wakristo wangapi wanazini? Dhambi kufanywa na wengi haiwi halal
Huu mjadala unaihusu imani ya kiislamu! Wakristo sisi hata dhambi hatuna anzisha uzi nikupe nondo
 
Kwani mwaka mpya unaitwa Paulo au Joseph?
Kalenda haina dini waache watu wajimwage.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..... Imani ya uislam imejengwa zaidi kwa maisha baada ya kifo......

.......... furaha ya kweli iko peponi .....

Nikiwawazia ma HURULAYN wake wenye MAKALIO MAKUBWA na Macho MALEGEVU naiwazia PEPONI wallah!

Allah niwezeshe nifike Peponi nikutane na ma HURULAYN inshallah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mwaka mpya unaitwa Paulo au Joseph?
Kalenda haina dini waache watu wajimwage.

Sent using Jamii Forums mobile app
😝😝😝 una hakika kalenda hazina dini au umekurupuka tu?
Kalenda ya kiislamu na mwaka mpya wao wa muharam unavijua wewe?
.
Hii kalenda unayoitumia leo hadi unajua leo ni tarehe 5 January 2020 unafahamu imetoka wapi?
 
Unapenda ligi zisizo na sababu, hamna dhambi mngekuwa mnapanga foleni kwa wanadamu wenzenu kuungama?
Fungua uzi unaowahusu wakatoliki tuje tujadili maana ndio utaratibu wa kanisa katoliki.
Hapa tunajadili waislamu na kusherehekea mwaka mpya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…