Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Bora waislamu wanaadhimisha kuna dhehebu linaitwa Waadventista/wasabato wao hakuna sherehe yoyote wanayoazimisha hata za kuzaliwa au kufufuka kwa Yesu yaani hata huwa siwaelewi
 
Tunashangilia japo tunafahamu tunakaribia kufa kwasababu tumeambiwa mshukurumi Mungu kwa kila kitu including kifo. Lakini siyo kifo cha kujitoa muhanga hapana
Ukiwekewa kitanzi mbele yako utafurahiya kufa au utahuzunika nakuomba dua zote?
 
Bora waislamu wanaadhimisha kuna dhehebu linaitwa Waadventista/wasabato wao hakuna sherehe yoyote wanayoazimisha hata za kuzaliwa au kufufuka kwa Yesu yaani hata huwa siwaelewi
Hao nao wana matatizo yao.
Ila kuna wakati wao huwa naupenda sana wakati wa makambi 😂
 
Sijui nini?
Haujui uislamu halafu unataka kuhukumu waislamu wote kupitia matendo ya MTU mmoja mmoja,hoja yako ingekuwa nzuri kama sheikh au kiongozi Wa waislamu angetangaza waislamu wakusanyike kusherehekea mwaka mpya,lakini kama ni MTU mmoja mmoja anafanya hivyo ni matakwa yake kufanya..kuna mambo mengi yanakatazwa katika uislamu kuyafanya lakini watu wanayafanya na bado inabaki si maamrisho ya uislamu.
 
Kwako wewe mwaka mpya ni secular kwa muislam sio secular, pili uwe na hoja za maana, kunatofauti kati ya uislam na uarabu, huwezi kupima imani ya uislam kwa kuangalia waarabu mana miongoni mwao wapo wasio waislam , wapo mabedui wasio fata dini na kadharika.

Twende na hoja za msingi
 
Nafahamu arab is a Semitic race.
Lakini unafahamu Saudia inaongozwa na sheria za namna gani?
.
Na pia unafahamu saudia ni taifa lla dini au secular kama unafahamu basi haya mambo hayakupaswa kabisa kutukia kwenye ardhi yao kwa sababu ni prohibited
 
Mfano kipi unadhani hatukielewi?


Wapi kuna hayo yanafanyika?
.
View attachment 1309045hapa ni Riyadh makao makuu ya Saudia wakiukaribisha mwaka mpya na hawa ndio wenye uislamu wenyewe sasa
Sio mwaka mpya tu, miezi iliopita walifanya tamasha la muziki kabisa katika mji huo huo, ni mana nikasema ww ni close-minded. Bado unashindwa kujua kua Saudia ni nchi yenye miji miwili mitakatifu ya uislam na haimaanishi kua ndio kiwakilishi cha uislam. Yan ni sawa na kua Israel alikozaliwa yesu kristo af leo Netanyahu anaruhusu ushoga kisha useme ni ukiristo, No. Kwahiyo kwanza tofautisha mtu/ watu na mfumo.
 

Sijahukumu uislamu nimeuliza swali kwanini ninyi waislamu wa Tz mnasherehekea mwaka mpya wa kalenda ya Gregory ilihali mna yenu?
Ni swali rahisi sana
.
Huyo ni diamond akizindua msikiti Kigoma je kama mnaweza kuukubali huo msikiti na mafundisho yenu yanapinga utakataa hamsherehekei mwaka mpya wa Gregorian? Come on buddy
 
Kumbe wanasherekea mwaka mpya kama ilivyo kwenye sherehe za Eid? Wanakwenda misikitini kufanya ibada ya maadhimisho ya siku hiyo ya mwaka mpya?

Au sijaelewa maana ya kusherehekea maadhimisho ya siku fulani kwamujibu wa dini fulani??
 
Sio mwaka mpya tu, miezi iliopita walifanya tamasha la muziki kabisa katika mji huo huo,
Je hilo taifa ni secular? Linaongozwa na sheria za kisecular?
.
Je Saudia sio nchi takatifu kwa waislamu?
Muhammad enzi za uhai wake alisema Adam na Eva walivyotenda dhambi walishushwa maka haulifahamu hilo?

ni mana nikasema ww ni close-minded. Bado unashindwa kujua kua Saudia ni nchi yenye miji miwili mitakatifu ya uislam na haimaanishi kua ndio kiwakilishi cha uislam.
Kiwakilishi cha uislamu ni nini kama sio hiyo miji?
Miskiti yote duniani imeelekea maka nionyeshe msikiti ambao umeelekea Yerusalem

Yan ni sawa na kua Israel alikozaliwa yesu kristo af leo Netanyahu anaruhusu ushoga kisha useme ni ukiristo, No. Kwahiyo kwanza tofautisha mtu/ watu na mfumo.
Israel sio taifa la Kikristo wala la Kiyahudi ni secular labda mpaka pale atakapoondoka Netanyahu.
.
Ila Saudia na UAE ni mataifa 100% ya kiislamu na yanayoongozwa kwa sheria na taratibi za kiislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…