Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Si jambo jema hilo, nahitaji kufahamu kwanini wengi wako jela?
Acheni unafiki wa kipuuzi, huko jela hakuna wakristo? Umeshajiuliza kwanini hao wakristo wapo huko ilhali wenzao wapo mtaani? Umeshawahi kujiuliza kwanini mapadri na maaskofu wanajitangaza mashoga na si maimamu?
 
Umekwepa swali. Kwani tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa huwa unaandika kwenye nyaraka za serikali tu? Nimehudhuria kwenye mazishi na sherehe za kiislamu wanatumia calender ya Gregory. Kwenye misiba ya kiislam ndugu wa marehemu wanatumia calender ya Gregory kama kukumbuka terehe, mwezi na mwaka aliokufa ndugu yao. Hata shekh msikitini anapotangaza terehe, mwezi au mwaka wa kukutana huwa anatumia calender ya Gregory. Mfano, Utasikia kesho tarehe 6 tutakuwa na maulidi yaani hiyo anatumia Gregorian Calender. Mtapinga lakini 98% ya waislamu duniani kote wanatumia Gregorian Calender
Tatizo lenu mnataka kulazimisha ili kujifariji.
 
Abdoool acha porojo.
.
Hiyo sherehe ni yetu na huwa tunamshukuru Mungu na kuomba yaliyo mema kwa mwaka unaofuata.
View attachment 1309068
Hii ni page rasmi ya asas diaries hawa hata siku moja huwezi kuwaona wamepost merry xmas ila mwaka mpya why?


Nimeuliza swali RTI kwanini mnasherehekea mwaka mpya nikatoa na aya hapo juu je wewe husherehekei?
.
Gavana abdool mkubwa njoo
Kwenye uislam hatumfati asas wala nani, tunafata maandiko na mtume wetu alifanya nini, sasa wewe unajua asas anayoyafanyia gizani hadi tumfate? Sielewi kwanini unamchukulia asas kama reference, kuna mapadri mashoga na wanajitangaza waziwazi mbona wewe huwafati?
 
Hivi sherehe ni nini na kusherekea ni nini ?

Uki-complicate life hata utatafuta hata sababu ya kuacha kusherekea timu yako ikishinda....
 
Huu ni uongo na unajua

Nakujua wewe pia kwa chuki zako lakini huwa napita tu
Ila niambie hiyo 99.9% umeipataje kama ni uongo
Chuki na roho mbaya inaleta pressure na kisukari juu
Uwe na siku njema
Tuwe na furaha dunia yenyewe maisha ya miaka hata 100 hayafiki why hatred


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Umekwepa swali. Kwani tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa huwa unaandika kwenye nyaraka za serikali tu? Nimehudhuria kwenye mazishi na sherehe za kiislamu wanatumia calender ya Gregory. Kwenye misiba ya kiislam ndugu wa marehemu wanatumia calender ya Gregory kama kukumbuka terehe, mwezi na mwaka aliokufa ndugu yao. Hata shekh msikitini anapotangaza terehe, mwezi au mwaka wa kukutana huwa anatumia calender ya Gregory. Mfano, Utasikia kesho tarehe 6 tutakuwa na maulidi yaani hiyo anatumia Gregorian Calender. Mtapinga lakini 98% ya waislamu duniani kote wanatumia Gregorian Calender
Elewa kuwa ukitumia hiyo kalenda sio dhambi,haingii akilini ukiwa sehemu Fulani utumie kalenda ya hijiriyya na ukiwa sehemu nyingine utumie kalenda ya gregory ...japo misikitini kuna kalenda zote mbili zinatumika ili kuendana na mazingira ya jamii nzima kwa ujumla wake,sherehe zote na matukio mkubwa ya kiislamu yanatumia kalenda ya hijiriyya hata vitabu vya kiislamu pia huandikwa miaka ya matoleo yake kwa hijiriyya kalenda.
 
Je hilo taifa ni secular? Linaongozwa na sheria za kisecular?
.
Je Saudia sio nchi takatifu kwa waislamu?
Muhammad enzi za uhai wake alisema Adam na Eva walivyotenda dhambi walishushwa maka haulifahamu hilo?


Kiwakilishi cha uislamu ni nini kama sio hiyo miji?
Miskiti yote duniani imeelekea maka nionyeshe msikiti ambao umeelekea Yerusalem


Israel sio taifa la Kikristo wala la Kiyahudi ni secular labda mpaka pale atakapoondoka Netanyahu.
.
Ila Saudia na UAE ni mataifa 100% ya kiislamu na yanayoongozwa kwa sheria na taratibi za kiislamu
Kwa waislam hakuna nchi takatifu labda useme mji takatifu
 
View attachment 1308933
Asilimia 99.9 ya waislamu wote wa Tanzania wamesherehekea mapokezi ya mwaka mpya wa 2020 na wamefanya countdown vizuri tu.
.
Je wanafahamu historia ya kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya CE?
Je wanafahamu kalenda yao inasema leo ni tarehe ngapi, mwezi gani na mwaka gani?
.
Waislamu ukiwafikifiria sana huwezi kujua wanataka nini zaidi ya ku_conquer dunia
2:121. Na hawatakuwa radhi juu yako
Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate
mila yao, Sema: Hakika mwongozo wa
Mwenyezi Mungu ndio mwongozo hasa.
Na kama ukifuata matamanio yao baada
ya yale yaliyokufikia katika elimu,
hutapata mlinzi wala msaidizi ye yote
kwa Mwenyezi Mungu.
 
Siyo kulazimisha. Huo ndiyo ukweli. Muislamu yoyote yule duniani anaamini leo ni mwaka 2020. Kamuulize muislam yoyote aliyefunga ndoa ya Kiislamu. Muulize tarehe, mwezi na mwaka. Kama kuna doc zozote aangalia. Akikujibu kwa Muslim calender au imeandikwa kwa muslim calender kuna 100,000. Ni ngumu sana kuiepuka Gregorian Calender ukiwa bado hai duniani.
Tatizo lenu mnataka kulazimisha ili kujifariji.
 
Kwanini mnatumia Calender ya Kafiri Gregory msikitini na kwenye sherehe zenu? Ushawahi kuona kanisa lolote linalotumia kalenda ya hijiriyya? Unajua Quran inasemaje kuhusu makafiri? Kwanini nchi za kiislamu hazitumi kalenda ya hijiriyya na badala yake wanatumia Gregorian Calender?
japo misikitini kuna kalenda zote mbili zinatumika ili kuendana na mazingira ya jamii nzima kwa ujumla wake,sherehe zote na matukio mkubwa ya kiislamu yanatumia kalenda ya hijiriyya
 
Siyo kulazimisha. Huo ndiyo ukweli. Muislamu yoyote yule duniani anaamini leo ni mwaka 2020. Kamuulize muislam yoyote aliyefunga ndoa ya Kiislamu. Muulize tarehe, mwezi na mwaka. Kama kuna doc zozote aangalia. Akikujibu kwa Muslim calender au imeandikwa kwa muslim calender kuna 100,000. Ni ngumu sana kuiepuka Gregorian Calender ukiwa bado hai duniani.
UNACHOTAKA KULAZIMISHA NI PALE UNAPOSEMA WAISLAM WOTE HALAFU SAMPLE UNACHUKULIA TZ KWA TZ DOCS ZA KISERIKALI HUWEZI EPUKA.
USHAHUDHURI KHUTUBA ZA IJUMAA AU WEWE NI MKRISTO?
 
Kwenye uislam hatumfati asas wala nani, tunafata maandiko na mtume wetu alifanya nini, sasa wewe unajua asas anayoyafanyia gizani hadi tumfate? Sielewi kwanini unamchukulia asas kama reference, kuna mapadri mashoga na wanajitangaza waziwazi mbona wewe huwafati?
.
2:121. Na hawatakuwa radhi juu yako
Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate
mila yao, Sema: Hakika mwongozo wa
Mwenyezi Mungu ndio mwongozo hasa.
Na kama ukifuata matamanio yao baada
ya yale yaliyokufikia katika elimu,
hutapata mlinzi wala msaidizi ye yote
kwa Mwenyezi Mungu.
.
 
Ni waislamu wote yaani 98% wanatumia Gregorian Calender hata nchi zinazotumia sharia. Nchi zote kama Saudia Arabia (Makka na Madina), Iraq, Syria, na nchi za kiislam zote wanatumia Gregorian Calender na leo duniani kote wanajua ni mwaka 2020. Hii siyo Tanzania ni duniani kote. Huwezi kuepuka Gregorian Calender. Kwenye Diary yako ya matukio ya kila siku unatumia Gregorian Calender.
UNACHOTAKA KULAZIMISHA NI PALE UNAPOSEMA WAISLAM WOTE HALAFU SAMPLE UNACHUKULIA TZ KWA TZ DOCS ZA KISERIKALI HUWEZI EPUKA.
USHAHUDHURI KHUTUBA ZA IJUMAA AU WEWE NI MKRISTO?
 
Ni waislamu wote yaani 98% wanatumia Gregorian Calender hata nchi zinazotumia sharia. Nchi zote kama Saudia Arabia (Makka na Madina), Iraq, Syria, na nchi za kiislam zote wanatumia Gregorian Calender na leo duniani kote wanajua ni mwaka 2020. Hii siyo Tanzania ni duniani kote. Huwezi kuepuka Gregorian Calender. Kwenye Diary yako ya matukio ya kila siku unatumia Gregorian Calender.
Basi
Vizuri.
 
Tafsiri yake ni

The life of this world is nothing but the pleasure of vanity
وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا مَتَاعُ الْغُرُورِ



ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Back
Top Bottom