nawaza nikuache uamini unachoamin ila nasita. Ni hivi, katika historia ya uislam hakuna kitu kinaitwa Saudi arabia, hii nchi imeundwa mwaka 1931/32 kma sijakosea na ni baada ya vugu vugu lililouingiza ukoo wa AbdulAziz bin Saudi madarakani. So technically, unaposema saudi Arabia ni sawa na kusema eneo la uarabuni lililo chini ya ukoi wa Bin saudi. Km unafatilia historia , utajua kua eneo hili asili yake linajulikana kma Hijaz, kabla ya ukoo wa saudi kuchukua madaraka eneo hili lilikua chini ya dola ya kiislamu ya Ottoman( i guess you heard it)
So saudia sio nchi takatifu ya uislam ila ndani yaje kuna miji mitakatifu na historia ya uislam. Ningeendelea zaidi kuhusu huo ufalme ila habari zitakua nyingi