Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Lakini waongoza kufanya biashara haram mfani za madawa ya kulevya ni waislamu bila kusahau wanaoongoza kwa kujilipua na kuwaua watu wengine ni waislamu..
Na wewe tuambie ni viongozi wa dini gani wanaongoza kwa kujitangaza mashoga
 
Hata Mimi nafahamu kuwa ni mwaka 2020
Ila sisherekei hi siku ya leo kwasababu Qur'an na hadithi swahihi hazijasema tusherekee

Sasa shida ikowapi
Kila mtu na Uhuru wake
Mimi sifuati mtu wala nchi Fulani,muongozo wangu ni Qur'an na hadithi za Mtumu Muhammad saw
 
Kuna ukristo na wakristo kwahiyo usichanganyikiwe. Hakuna sehemu popote pale kwenye Biblia inayoruhusu ushoga na kama ipo iweke. Ukinitajia kifungu kinachoruhusu ushoga kwenye Biblia. Kuna 100,000 hapa
Na wewe tuambie ni viongozi wa dini gani wanaongoza kwa kujitangaza mashoga
 
Hao waislam uliowaona wanasherehekea mwaka mpya wamesheherekea kidunia na sio kidini, ingekuwa kidini nao ungewaona wapo misikitini wanausubiria mwaka kama wanavyofanya wakristo. Kumbuka pia kuna wenye dini na wengine ni wasindikizaji. Hao wanaosheherekea ni wasindikizaji tu wasiojua kalenda za kiislam zinasemaje.
 
Na wewe tuambie ni viongozi wa dini gani wanaongoza kwa kujitangaza mashoga
Hao unawajua wewe ila mimi nitakupa mifano kabisa...Osama Bin Laden, ISIS, Boko Haram, Janja Weed wote hao ni wanaojitengenezea makao mazuri mbinguni sijui Mungu gani huyo kwa hapa Tanzania list ilishatolewaga ya wauza madawa ya kulevya..lete orodha ya viongozi wa dini hao waliojitangaza ni mashoga
 
Naona umeamua kujitoa ufahamu, haya hakuna padri shoga duniani
 
Weka kwa lugha zinazoeleweka
Kwani kiswahili hukielewi? Kiingereza hukielewi? Nimepost kwa kiarabu kwa vile hizo lugha zote mbili zilishapostiwa, tusipangiane.
Mbona mnpost sana maandishi ya kiarabu mnayo google? Mi naandika mwenyewe.
حَيَوَان وَاحِد.

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Kucomplain vitu kama hiv ni uzwazwa na inaonyesha ni jinsi gani hufati mambo yako
 
Kutumia Gregorian Calender msikitini ni ishara tosha ukristo una nguvu kuliko uislamu.
Gegorian Calender ni Kalenda ya Kipagani. Ndio ukristo unaguvu hilo silipingi tena nguvu isiyoonekana na inayooneka ila nguvu hiyo haina maana kama inashindwa kufanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi.
 
Nani alikuambia ni ya kipagani? Toa ushahidi
Gegorian Calender ni Kalenda ya Kipagani. Ndio ukristo unaguvu hilo silipingi tena nguvu isiyoonekana na inayooneka ila nguvu hiyo haina maana kama inashindwa kufanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi.
 
Mwaka mpya wa kiislamu ukoje? Usigoogle. Shusha madini hapa
Mnaipinga Gregorian Calender lakini ndiyo unayoitumia kwenye shughuli zako. Hata usiposherehekea mwaka mpya lakini bado Gregorian calender imetawala shughuli zako kwa 99.9% na leo unaamini ni mwaka 2020. Ungekuwa hauimini Gregorian calender leo ungepinga kuwa siyo mwaka 2020.
 
Hakuna dhambi..kutumia kalenda...ya gregory..sambamba ya hijjiriyya mzee...kwa hiyo..ulitaka mwalimu..muislamu..akifundisha.darasani aandike..tarehe ya kiislamu..ubaoni au wanafunzi..waandike..kwa kalenda ya hijjiriyya mashulenj..au vyuoni?hilo jambo ni dogo,kalenda ya hijjiriyya ipo na inatumika..kila siku.
 
Google translator naitumia mbona
Nafahamu unaweka aya za koran and nothing else.
Ila hili ni jamvi la watu wengi na ni lugha mbili tu zitumikazo humu.
.
Yaani Kiswahili lugha ya Taifa na English kama lugha rasmi kiarabu hakitambuliki
 
Krismasi huwa mnasherehekea kidunia?
Mbona vitu vingine ni vidogo sana mfate muislamu yeyote hata masjid muulize anaizungumziaje krismasi na anauzungumziaje mwaka mpya usikie majibu atakayo kupa
.
JF humu ujuaji mwingi ilihali mitaani huko mmesubiri hadi saa sita na wengine mmekesha na pilau mmekula na kula bata mnaenda
 
Hahahaaa eti diversity tunayoitengeneza inakuumiza wewe na unashindwa kuumia na hao watumishi wa mungu unaosema wanaolewa ingawa ni wanaume
Kwa kubadiri mada hamjambo
 
Diamond mjenzi wa misikiti kadhaa anasherehekea wewe hujawahi ku donate hata makopo ya kutawadhia husherehekei kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…