Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Aaah aaah aaah eti hujapata sms yoyote ya mwaka mpya toka kwa waislamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji963][emoji963][emoji963]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu na imani yake kama kuna muislam hasherehekei mwaka mpya ni yeye na iman yake tusilazimashene soote tuwe sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio waarabu woote waislam wengine wakristo nakuna ma pastor waarabu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemamaliza mkuu! Mi naomba tu niweke nukta!![emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Google translator naitumia mbona
Nafahamu unaweka aya za koran and nothing else.
Ila hili ni jamvi la watu wengi na ni lugha mbili tu zitumikazo humu.
.
Yaani Kiswahili lugha ya Taifa na English kama lugha rasmi kiarabu hakitambuliki
Sio kweli, una jingine jipya?

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Maka na Riyadh ni miji miwili tofauti na sheria tofauti kama mfano Tanzania bara na visiwani wanavyokuwa na maraisi wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kubadiri mada hamjambo
Unachopaswa kujua hao wanaosherehekea mwaka mpya ilhali ni waislam wanakosea full stop, mambo ya kusema saudia sijui uarabuni ni upuuzi mtu na sielewi ubongo wako umeweka wapi. Unazani dhambi ikifanywa na watu wengi inakuwa sio dhambi tena? Embu chukulia zinaa ni wangapi wanafanya iwe wakristo au waislam je twaweza sema Mungu amefuta dhambi ya zinaa kisa wanaofanya ni wengi? Kama hujanielewa na hapa basi
 
Tofautisha kati ya typing error na hoja uliyoulizwa,acha kukimbilia huko ili ujifiche,jibu swali.
Toa ushahidi wa namna waislamu wanavyosherehekea kwa mujibu wa dini yao,full stop.
Acha kuja na mambo ya kitoto kwa kusimamia typing erro,we vipi,
 
Hakika mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Waislam nyie hamna mwaka mpya? Kama mna mwaka mpya unaanza tarehe ngapi?
Maana nishasikia mwaka mpya wa Kichina ila wa Waislam sijawahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Waislam nyie hamna mwaka mpya? Kama mna mwaka mpya unaanza tarehe ngapi?
Maana nishasikia mwaka mpya wa Kichina ila wa Waislam sijawahi

Sent using Jamii Forums mobile app

Leo ni tarehe 06 na ni mwaka 1441 Hijra
Na mwaka una miezi 12
Mwaka una siku 354 au 355 kutegemea na mwandamo wa mwezi
Kwa hiyo kila ukiona mwezi mchanga ujue ni mwezi mwingine
Mwaka wa kiislam huanza September


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Diamond mjenzi wa misikiti kadhaa anasherehekea wewe hujawahi ku donate hata makopo ya kutawadhia husherehekei kwanini?
Ww jamaa utakuwa ni mlokole lazima
Sasa mambo ya Diamond yananihisu nini?
Je unaushahidi kula sijawahi kutoa sadaka?
Usinilazimishe Mimi kuwa Diamond
 
Leo ni tarehe 06 na ni mwaka 1441 Hijra
Na mwaka una miezi 12
Mwaka una siku 354 au 355 kutegemea na mwandamo wa mwezi
Kwa hiyo kila ukiona mwezi mchanga ujue ni mwezi mwingine
Mwaka wa kiislam huanza September


Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwa hiyo miezi inakuwa na siku definite kama ilivyo kalenda za kawaida? Ama mwezi unabadilika urefu ?
 
Kwa hiyo miezi inakuwa na siku definite kama ilivyo kalenda za kawaida? Ama mwezi unabadilika urefu ?

Ndio mkuu tofauti zinapishana mwezi mmoja ukiwa na siku 29 unaofuata unakuwa na siku 30
Kwa hiyo mwaka unakuwa na siku 354 au 355
Kama unavyoona mwezi wa Ramadhan tunafunga siku 30 au 29 kutegemea na mwezi kuandama
Kwa hiyo calendar hii inafuata kuandama kwa mwezi



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…