Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

hata kanisani ni wengi pia ama sehemu iyo haihusiki
Hapana hiyo haihusiki, inahusika jela tu ndio tunaachwa tuwe wengi ila kwingine kote tukiwa wengi tunapigwa chini, rejea kilichotokea udom juzi kati
 
Jamani naomba nifahamishwe huwa nasubiri mwaka mpya uingie wanasema saa sita usiku unaingia mwaka mpya lakini kila nikiangali juu mbinguni sioni huo mwaka mpya unapotokea huwa nazungusha macho kila sehemu sioni huo mwaka huwa unatokea wapi ila nashangaa ikifika saa sita usiku nasikia makelele mafataki nimejaribu kumuuliza mkristo mmoja alikuwa anafurahi namuuliza ukuwapi huo mwaka nione akanitazama tu bila jibu mimi nilikuwa nafikiri unaingia kama mwaka wa waislamu kwa kuona mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Qurani ni maneno ya mungu mtume mohamed (s.a.w) hakuweka neno lake humo hata mmoja.jinsi ilivyoteremshwa na yeye alikuwa akieleza hivyo hivyo bila kuongeza neno.mfano mungu akimwambia. Ewe mtume waambie waliomini wamuabudu mungu mmoja. Nayeye akisimama kufikisha ujumbe huo hawezi kusema mungu kanituma nyie mlioamini muabuduni mungu mmoja. Ila atasema vilevile alivyoteremshiwa ewe mtume waambie walioamini wamuabudu mungu mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubadilika mwaka ni kukaribisha kuzeeka umri unaenda zaidi na zaidi waislam hawataki kusherekea kukongoroka na sikukuu ya Xmas huisherekea kwa sababu hata wakristo husherekea sikukuu zote za kisilam pasipo shaka yeyote.
 
Kwenye sherehe Nchini Tanzania tumefaulu kuliko Taifa lolote Duniani kwani huwa hakuna ubaguni sherehe zote bila kubagua Dini husherekewa vizuri na watanzania wote, mleta mada atakuwa kavuta Bangi kidogo.
 
Ni siku ya kubadili kalenda kidunia lakini mwaka mpya ni ile siku yako ya kuzaliwa ndiyo huwa mwaka wako mpya.
 
Wachina wana mwaka wao na ethiopia wanamwaka wao na warome wana mwaka wao ndio hii 2020 na waislam 1441

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza Wachina wengi ni wapagani kwa 100% ndilo Taifa lenye watu wengi wasioabudu chochote, wachina hawana mda na sherehe yeyote wao ni kazi kazi mengine wamewaachia waafrika na mataifa mengine Duniani
 
huo mwezi mnaouanaje sasa maana kuna muda mwezi unapotea kabisa kwa muda mrefu
 
huo mwezi mnaouanaje sasa maana kuna muda mwezi unapotea kabisa kwa muda mrefu

Mwezi ni lazima uandame kila mwezi na siku zinajulikana ni 30
Kwa hiyo unapopotea na siku zinajulikana


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kubadilika mwaka ni kukaribisha kuzeeka umri unaenda zaidi na zaidi waislam hawataki kusherekea kukongoroka na sikukuu ya Xmas huisherekea kwa sababu hata wakristo husherekea sikukuu zote za kisilam pasipo shaka yeyote.
Una uhakika waislamu husherehekea Noel? Kwanza kuitambua tu wanaitambua?
 
"There was revealed: 'Not equal are those believers who sit (at home) and those who strive and fight in the Cause of Allah.' (4.95) The Prophet said, 'Call Zaid for me and let him bring the board, the inkpot and the scapula bone (or the scapula bone and the ink pot).' Then he said, 'Write: 'Not equal are those Believers who sit..', and at that time 'Amr bin Um Maktum, the blind man was sitting behind the Prophet. He said, 'O Allah's Apostle! What is your order For me (as regards the above Verse) as I am a blind man?' So, instead of the above Verse, the following Verse was revealed: 'Not equal are those believers who sit (at home) except those who are disabled (by injury or are blind or lame etc.) and those who strive and fight in the cause of Allah.' (4.95)," (Sahih Al-Bukhari; Volume 6, Book 61, Number 512).
.
Pia book 369 soma
 
Acha kubahatisha


Sent using Jamii Forums mobile app
Nimebahatisha nini sasa?
.
 
Mzee Acha uongo uarabuni hakuna architectural design ya namna hiiView attachment 1309652

Sent using Jamii Forums mobile app
Sibahatishi mzee fungua hii link
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…