machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 565
- 1,158
- Thread starter
- #41
Mungu kampa utashi binadamu hivyo ni haki kuhoji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu kampa utashi binadamu hivyo ni haki kuhoji
Nimempa muongozoMungu kampa utashi binadamu hivyo ni haki kuhoji
Mungu anawapenda sana wenye jeuri kama yakoMimi masha allah nna pesa za kutosha karibu sana pwani.
Pesa zangu naweza kukuoa wewe mama ako na ukoo wenu wote na nkaulisha na kuuvisha mpaka kufa kwenu.
Kama bado ujaolewa karibu PM.
Akiona hii inabidi akatubuMungu anawapenda sana wenye jeuri kama yako
Soma hapa (
18 Akasema, Nitafanya hivi; nitazivunja ghala zangu, nijenge nyingine kubwa zaidi, na humo nitaweka nafaka yangu yote na vitu vyangu.
Luka 12:18
19 Kisha, nitajiambia, Ee nafsi yangu, una vitu vyema vingi ulivyojiwekea akiba kwa miaka mingi; pumzika basi, ule, unywe, ufurahi.
Luka 12:19
20 Lakini Mungu akamwambia, Mpumbavu wewe, usiku huu wa leo wanataka roho yako! Na vitu ulivyojiwekea tayari vitakuwa vya nani?
Luka 12:20)
Lakini biblia inasomwa, haiimbwiNa Roman Catholic wakiwa kanisani padri utoa maombi kwa namna ya kuimba..
shauri yakoSio mnyaazi mungu, bali mwenye enzi mungu kuu kama ujui kiswahili shauliyako
Yeye sio wa kwanza kuja na hoja walianza wengine kabla yake na wakafeli. Open challenge ipo imewekwa toka karne ya saba. Wajikusanye wote wao pamoja na viumbe weingine watengeneze japo sura moja tu yenye aya 3. Mpaka leo hakuna aliyejitokeza.Umeiandika kama utani, ila kukujuza ni kama hivi. Kuna desturi nyingi ambazo Waislamu hutumia kusoma Quran, lakini inaweza kuonekana kama wanaimba kwa sababu ya aina ya sauti na mtindo wa usomaji ambao unahusishwa mara nyingi na Quran. Kwa mfano, aina ya sauti ya Quran inayosomwa inajulikana kama "tajwid," ambayo ni utaratibu wa kutamka kila neno kwa usahihi wa kiitikadi na kivitendo. Utaratibu huu wa kutamka unahusisha kuongeza vipengele vya sauti, kusisitiza maneno maalum na kupunguza kasi ya sauti kwa wakati mwingine.
Wakati huo huo, kuna mtindo wa usomaji wa Quran unaojulikana kama "tilawah," ambao unahusisha kusoma Quran kwa sauti kubwa na yenye hisia. Hii ni kwa sababu Waislamu wengi wanaamini kuwa Quran ni zaidi ya kitabu tu, lakini ni neno la Mwenyezi Mungu lililotolewa kwa wanadamu kupitia Mtume Muhammad. Kusoma Quran kwa sauti kubwa na yenye hisia inaweza kuonekana kama njia ya kuwasiliana na maneno ya Mwenyezi Mungu na kusaidia kuchochea hisia za kiroho.
Kwa hiyo, wakati Waislamu wanaposoma Quran, wanaweza kuonyesha hisia kwa njia ambayo inaweza kufanana na kuimba, lakini hii ni kutokana na aina ya sauti na mtindo wa usomaji badala ya kuimba halisi.
Na ikiwekwa masihara pemeben.yupo dada mmoja anafanya comparison between religious text.yupo youtube nahis anajiita journey to reverts au nimesahau. Huyyu aliweka vipande/clip za kila msomaj.yeye alilia alipoanza kuishusha mtaalam mwenyewe hady toure.ingia youtube uone hady toure anafanyaje. Quranic recitation is more than reading it goes straight to the heart deep state .if you haven't experienced one then you have been denied for eternal. Ikiwa hali anayoipata msomaj na msikilizaj hujaipata bas umenyimwa kila kitu.tuombe mungu atujaalie kuipata ladha hioTukiweka masihara pembeni, swali lako lina mantiki.
Halafu utakuta wanasema kuimba Kharamu😄😄Umeiandika kama utani, ila kukujuza ni kama hivi. Kuna desturi nyingi ambazo Waislamu hutumia kusoma Quran, lakini inaweza kuonekana kama wanaimba kwa sababu ya aina ya sauti na mtindo wa usomaji ambao unahusishwa mara nyingi na Quran. Kwa mfano, aina ya sauti ya Quran inayosomwa inajulikana kama "tajwid," ambayo ni utaratibu wa kutamka kila neno kwa usahihi wa kiitikadi na kivitendo. Utaratibu huu wa kutamka unahusisha kuongeza vipengele vya sauti, kusisitiza maneno maalum na kupunguza kasi ya sauti kwa wakati mwingine.
Wakati huo huo, kuna mtindo wa usomaji wa Quran unaojulikana kama "tilawah," ambao unahusisha kusoma Quran kwa sauti kubwa na yenye hisia. Hii ni kwa sababu Waislamu wengi wanaamini kuwa Quran ni zaidi ya kitabu tu, lakini ni neno la Mwenyezi Mungu lililotolewa kwa wanadamu kupitia Mtume Muhammad. Kusoma Quran kwa sauti kubwa na yenye hisia inaweza kuonekana kama njia ya kuwasiliana na maneno ya Mwenyezi Mungu na kusaidia kuchochea hisia za kiroho.
Kwa hiyo, wakati Waislamu wanaposoma Quran, wanaweza kuonyesha hisia kwa njia ambayo inaweza kufanana na kuimba, lakini hii ni kutokana na aina ya sauti na mtindo wa usomaji badala ya kuimba halisi.
Jamii za enzi hizo zilikuwa ni zenye kupenda mashairi.anatengeneza mashahiri
Challenge ya nini naYeye sio wa kwanza kuja na hoja walianza wengine kabla yake na wakafeli. Open challenge ipo imewekwa toka karne ya saba. Wajikusanye wote wao pamoja na viumbe weingine watengeneze japo sura moja tu yenye aya 3. Mpaka leo hakuna aliyejitokeza.
Deep wapi? Hizo ni songi kama songi zingine, hivyo hisia kwa mtu yaweza kumtokea kutokana na wimbo huo unamwingia vipi . Niletee waimbaji wote tune zao naweza kuziandika kwenye nota za muziki na akaimba mtu yoyote hivyo hivyo hata kama maneno hayajui.nazungumzia tune ambayo ndio kuomba kwenyewe. Hivyo huko ni kuomba/ kughaniNa ikiwekwa masihara pemeben.yupo dada mmoja anafanya comparison between religious text.yupo youtube nahis anajiita journey to reverts au nimesahau. Huyyu aliweka vipande/clip za kila msomaj.yeye alilia alipoanza kuishusha mtaalam mwenyewe hady toure.ingia youtube uone hady toure anafanyaje. Quranic recitation is more than reading it goes straight to the heart deep state .if you haven't experienced one then you have been denied for eternal. Ikiwa hali anayoipata msomaj na msikilizaj hujaipata bas umenyimwa kila kitu.tuombe mungu atujaalie kuipata ladha hio
Hahah wanasemaga mziki ni kharamHalafu utakuta wanasema kuimba Kharamu😄😄
Hakuna ibada yoyote inayowezekana au kunoga bila kuimba.
Tune mbalimbali zitumikazo kigani Quran wakati wa swala kuanzia adhana na sura mbalimbali zisomwazo kuanzia Al fatiha na nyingene , ni tune za nyimbo ambazo ni asili ya far east. Hata wayahudi wanatumia tune hizo, na Wakatoliki wakiwa wanasali kwa kutumia kilatini ( Gregorian chant) tune ndio hizo hizo.
Sasa akitokea zuzu yoyote na kusema kuwa kuomba ibadani ni dhambi wakati kuanzia mwito wa kwenda kuswali ( adhana) hadi swala yenyewe ni KUIMBA achilia mbali kaswida ,na dufu zake nitamwona ama ana mapungufu Fulani kwenye mfumo wake wa kuchakata mambo zaidi ya kukaririshwa
Uongo kama upi mkuuUslama na ukristo, zimekua kama, vilabu vya mpira. Kazi yao imekua kubishana tu bila kujifunza neno la mungu. Na hizi dini, zote zimejaa uongo, mafanikio zaidi uislamu, kwenye, mavazi ya heshima na ukristo kujenga shule. Mpaka kufika 2090. Zitakua, zimefutika kabisa.