Kwanini Wajita hawaui nyoka aina ya kifutu? Bado wanaamini katika nyoka hao?

Kwanini Wajita hawaui nyoka aina ya kifutu? Bado wanaamini katika nyoka hao?

Watu wa kanda ya ziwa hawa
Chale mwilini nyoka za kwao na alibno awaishi kwa amani.
 
Haki za Wanyama!
Tunaweza kuua nyoka au mnyama anapotaka kuleta madhara! Katika hali ya kawaida tunawafukuza katika maeneo yetu na kuwaacha tu waende zao.
 
Kwani binadamu maeneo yetu ya asili ni yapi?
Maeneo yetu ni sehemu tulizojenga nyumba zetu za kuishi ...kumbuka unapoenda kuchimba dhahabu unaenda sehemu zenye vichaka na mapori sehemu ambazo nyoka amekimbilia baada ya binadamu kuanzisha makazi sehemu ya walizokuwepo mwanzo

Sasa wameondoka wametuachia maeneo still bado tunawafuata maeneo waliyokimbilia. Ndiyo maana mzungu akaweka masharti marufuku kumuua nyoka au mnyama yoyote ndani ya mgodi
 
Back
Top Bottom