Kwanini Wajita hawaui nyoka aina ya kifutu? Bado wanaamini katika nyoka hao?

Kifutu sina uhakika, ninayefahamu Mimi ni Chatu, nakumbuka nikiwa mdogo miaka 7/8, kuna Chatu alikuwa anakula mbuzi na mbwa kijijini ilikuwa ni miaka ya 80+ , wazee wakaita watu msaoko ukaanza, akapatikana lilikuwa bonge la Chatu, kwavile hawezi kuwa ikabidi wanaume wenye misuli walikamate ili wengine kichwani , katikati na mkiani kwenda kulitupa mlimani. Baada ya hapo nimeshuhudia mwingine tena hapohapo kijijini kwetu alikuwa mkubwa sana, kazi yake kukamata na kula mbuzi na mbwa. Siku moja saa sita nilikuwa na rafiki zangu tunaenda kuhamisha ng'ombe (kuwafunga sehemu nyingine) tukalikuta linaota jua, nikawauliza rafiki zangu, hivi tukiliua kweli familia zetu watu wataanza kufa? Nilihoambiwa nimpigie mstari. Ukimuona Chatu huko kwetu amekufa, break ya kwanza ni kwa mganga, hao wenye majina ya Lusato au Nyasatu au unasikia kijana anaitwa Nyoka, basi jua ndugu zao wsliwahi kuona Chatu waliokufa hivyo hueaits watoto wao majina hayo.
 
Mwibhareyo bhona mbarosigo, okwambira bhulamba nugenda mpaka Chisorya, Susi, Bhusambu, Mwigundu, Bhulenda, ukaja Nyampangala, Nyambubhi, Makwa, Mwitenda, Masahunga eyo one abhanu abhetila egayo.
Yeeeego! anye nobhaya Ubhurosi!

Abhanu bhe ndeyo ku bhurosi bhatana ji swalo!
 
Kwanini umuue sasa, ni bora umpeleke huko porini labda kama anahatarisha usalama wako na wanao.

Ninyi ndo ambao mnaua viumbe hovyo hovyo tu, ukiona sisimizi unakanyaga unaua, ukiona mjusi chap kwa haraka unampiga kiatu, umeona paka/mbwa jiwe au fimbo iko wapi upige uue. Yaani hata bila sababu yoyote basi tu ni ukatili.
Chief mimi na nyoka ni vitu viwil tofauti yaani nikimuona nitamsaka popote pale alipo mpaka kijulikane. Sasa nyoka kaja nyumbani kwangu nimuangalie tu?
 
Wanyabasi sio kabila bali ni koo ilioko ndani ya wakurya kuna wanyabasi,wamira,wangurime,wakira n.k hizo ni koo zinazounda kabila ka wakurya kama kuna mkurya atakuweka vizuri upate mwanga.
Watu wa musoma wengi wanaabudu wanyama. Kuna kabila lingine kinaitwa WANYABASI wao wanamwabugu PUNDAMLIA kama Mungu wao
 
Kifutu sina uhakika, ninayefahamu Mimi ni Chatu, nakumbuka nikiwa mdogo miaka 7/8, kuna Chatu alikuwa anakula mbuzi na mbwa kijijini ilikuwa ni miaka ya 80+ , wazee wakaita watu msaoko ukaanza, akapatikana lilikuwa bonge la Chatu, kwavile hawezi kuwa ikabidi wanaume wenye misuli walikamate ili wengine kichwani , katikati na mkiani kwenda kulitupa mlimani. Baada ya hapo nimeshuhudia mwingine tena hapohapo kijijini kwetu alikuwa mkubwa sana, kazi yake kukamata na kula mbuzi na mbwa. Siku moja saa sita nilikuwa na rafiki zangu tunaenda kuhamisha ng'ombe (kuwafunga sehemu nyingine) tukalikuta linaota jua, nikawauliza rafiki zangu, hivi tukiliua kweli familia zetu watu wataanza kufa? Nilihoambiwa nimpigie mstari. Ukimuona Chatu huko kwetu amekufa, break ya kwanza ni kwa mganga, hao wenye majina ya Lusato au Nyasatu au unasikia kijana anaitwa Nyoka, basi jua ndugu zao wsliwahi kuona Chatu waliokufa hivyo hueaits watoto wao majina hayo.
Mbona maelezo yako yanafanana na yaliyokuwa yanatokea Busambara kijijini kwetu!!!
 
Back
Top Bottom