Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee manka na wewe bhana!
Flat screen huwa hawajisemi....shunie!siwezi kumkufuru Mungu tofaut na alivyoniumba nimeridhika na uflat screen wangu
uko kwenye kifua kikubwa sijafikia aisee kwenye shape ya simbaFlat screen huwa hawajisemi....shunie!
Ukiwa flat screen usiwe na kifua kikubwa.
Hapo unavutia na kutia hamasa sana.
But flat screen juu kama simba lazima ujichukie mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]acha uongo basiimm mwenyewe c pendi mwanamke mwenye matako makubwa
hahaha kwani ya kike yana kazi gani eehYetu hayana kazi