Kwanini wakaka mnapenda sana "makalio yetu" wanawake......na nyie simnayo?

Kwanini wakaka mnapenda sana "makalio yetu" wanawake......na nyie simnayo?

Hata mimi sipendi mwanaume flat screen khaaa....

Mwanaume mwenye katako flani hivi kama wale baseball players[emoji39] [emoji39] [emoji39] anapendeza....
Akiwa na tako. Ulifanyeje wewe.
 
Sasa unakuta mwanaume kavaa suruali ibambana...... Yale mambo yanaonekana vizuuuri utaacha kugeukaa????
Mmm huyo sie katika sisi ha ha kuna muonekano lakini sio kuban hapo mahala manaangaliaga kujipimia tu
 
Back
Top Bottom