Kwanini wakaka mnapenda sana "makalio yetu" wanawake......na nyie simnayo?

Kwasababu na nyie mnapenda walett zetu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mmmh, hilo swali nalo kama la uchochezi
 
Umaarufu wa Zigo remix umekuja baada ya sisi wanawake wenyewe kuonyesha umuhimu wa hayo madude hasa kunako singeli , unadhani ile style ya mkao wa chura ungeonekana kama wale wadada kina snura wasingeyatumia kuyanadi, hili ni kosa letu wanawake na tumekula hasara kwa kweli maana kuna vi flat kama mie wanayanunua kwa kasi kwenye maduka ya dawa za kichina ,waacheni wanaume wayapende maana watu hupenda vinavyoonekana na kuwavutia
 
Sie tna makalio lakini tunapenda matako,na matako sis hatuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…