Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa umeshindaMbona unaongea upuuzi.?
Halafu mengi ni MAOMBAOMBAJapokuwa sio wote lakini asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana roho mbaya sana. Hawapendi wageni, wao kwa wao hawapendani. Wamejaa matusi, visirani maneno mengi na ukorofi wa hali ya juu.
Watu wengi wakitoka mikoani na kwenda Dar hukutana na hii kitu. Hawakaribishwi vizuri, wananuniwa na ndugu zao wa huko Dar.
Nini hasa sababu ya haya mambo? Maisha magumu? Au mazingira sio rafiki?
Hata mie Dar nilishaacha kufikia kwa ndugu. Ni hotelini tu basi.Mimi nina miaka zaidi ya 15 sifikii kwa ndgu,rafiki....nafikia hotel nkimaliza mishe zangu nawaitia bia,ndio navyo ishi nao,wakija ar nawaambia sihitaji mgeni kwangu waende hotel
Mara ya kwanza naingia dar,konda kanikatalia kuingia kwenye daladala na begi,akaniambia akilikuta begi langu ndani ya daladala atalitoa nje.Joto,,foleni.. na maisha magumu.....ilishawahi kufanyika research kuwa kwanini madreva na makonda wa darslam wanamatusi...ikapatikana kuwa ni kutokana na joto Kali + msongamano wa watu+foleni.....ndo Mana watu wa daslam mda wote wamechafukwa roho...
Hapo sawa na wakija kikazi au kibiashara wapokeeMkuu mimi nikirud mkoani kusalimia lazma nipitie kariakoo kichukua pamba za ndugu zangu na vitenge vya pale nyamwezi[emoji23][emoji23]
Ndio inakua vizuri,mtu anaweza kufikiria unakaa kwake upunguze shida.kumbe mtu umeenda na mitkas yakoHata mie Dar nilishaacha kufikia kwa ndugu. Ni hotelini tu basi.
Ndiyo zawadi zangu hizi nikienda mkoani😀😀Na juice za ukwaju.......
Pole mpembawise ndio walivyoMara
Mara ya kwanza naingia dar,konda kanikatalia kuingia kwenye daladala na begi,akaniambia akilikuta begi langu ndani ya daladala atalitoa nje.
Wakati huo mwenyej wangu kagoma kuja kunipokea ubungo,wakati yeye ndo alkuwa ana niforce sana mara nyingi kuwa niende niwatembelee.
Niltaman kurudi hapo hapo,maana niliona kama dar nzima haihitaji ujio wangu
Hapo sawa na wakija kikazi au kibiashara wapokee
Pole Sana kaka....dar wengi maisha magumu ndo Mana wanna roho mbaya....mi nlienda usukumani kibiashara tu....lakini wale jamaa watu na nusu...Yani uko nzega ndani ndani kununua matikiti lakini jamaa lazima wakulazimishe Kula kabla au baada ya biashara....wasukuma ni watu na nusu ingawa tunawataniagaMara
Mara ya kwanza naingia dar,konda kanikatalia kuingia kwenye daladala na begi,akaniambia akilikuta begi langu ndani ya daladala atalitoa nje.
Wakati huo mwenyej wangu kagoma kuja kunipokea ubungo,wakati yeye ndo alkuwa ana niforce sana mara nyingi kuwa niende niwatembelee.
Niltaman kurudi hapo hapo,maana niliona kama dar nzima haihitaji ujio wangu
Wasukuma wana roho nzuri sana, nlikaa shinyanga miaka flan ya 2009, huo ukarimu wao siyo wa nchi hii.Pole Sana kaka....dar wengi maisha magumu ndo Mana wanna roho mbaya....mi nlienda usukumani kibiashara tu....lakini wale jamaa watu na nusu...Yani uko nzega ndani ndani kununua matikiti lakini jamaa lazima wakulazimishe Kula kabla au baada ya biashara....wasukuma ni watu na nusu ingawa tunawataniaga
Pokea unaowafahamu zaidi usiowafahamu hakikisha unawaelewa maana siku hizi mambo siyo mambo,wema unaweza kukuponza.Me napokea watu wengi sana ambao wanakosa msaada hapa Dsm, sio marafiki ndugu na hata nisio wajua. Wewe kama unakuja dsm usisite kuja kwangu mkuu na hutojutaa.
😂😂😂😂Mara