Kwanini wakazi wengi wa Dar es Salaaam mna roho mbaya?

Kwanini wakazi wengi wa Dar es Salaaam mna roho mbaya?

Wee kumbe ulikuwa hujawajulia!! hata maji ya kunywa usijidanganye kumnunulia labda vile vitu vya lazma akiwa nyumbani kwako, lkn mara tupite mahara tupate bia 1,2 jua umepigwa, siku ukienda Dar atakwambia yuko kwenye folen mpaka jua lizama au unakaribia kupapambazuka.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Wee kumbe ulikuwa hujawajulia!! hata maji ya kunywa usijidanganye kumnunulia labda vile vitu vya lazma akiwa nyumbani kwako, lkn mara tupite mahara tupate bia 1,2 jua umepigwa, siku ukienda Dar atakwambia yuko kwenye folen mpaka jua lizama au unakaribia kupapambazuka.
Mimi wakija chakula n kinywaji atapata,ila malazi aende hotel
 
Huku mkija mnakuja mikono mitupu bia zetu n nyama choma mnatafuta hatari,tukija dar mko busy wiki nzima[emoji16][emoji16]....mimi nkija dar sina muda na ndgu wala rafiki nafikia hotel nkimaliza mishe nasepa

Tukitoka dar huwa tunapitia kariakoo tunawaletea nguo, vitenge nk
 
Watu wa Dar hata awe na jumba kubwa ukifika tu lazma akuzingue, tuna ndugu mpaka BoT lakini ukifika anahisi utakula mshahara wake wote, tena unakuwa na ratiba ya kukaa kwake wiki tu lakin ataona shida.

Hii ni nature,nahisi mungu kawafanya kuwa hvyo ili wapunguze kero,najua wangekuwa wakarimu wangekuwa wanapokea wageni wengi sana.
Kuna dada mmoja huku Mbeya alinisimulia kuwa ana mjomba wake huko Dar. Alisema ukienda kwake siku hiyo umefika anakuuliza maswali mawili: 1. Umekuja kufanya nini? 2. Utakaa muda gani?
Yaani habari ya kwenda kusalimia haipo. Salamu kwa simu tu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na wewe kipenzi cha watu yanakukuta
Mimi nimeshawazoea ila kwangu hakuna kufikia,aende hotel kwa gharama zake...unakaa wiki dar kila siku anakuambia yuko busy,j2 anakuuliza umeshaondoka?[emoji16][emoji16]
 
Mimi nimeshawazoea ila kwangu hakuna kufikia,aende hotel kwa gharama zake...unakaa wiki dar kila siku anakuambia yuko busy,j2 anakuuliza umeshaondoka?[emoji16][emoji16]
Haahaahaa sio wote mkuu...mi ukija karibu home mbezi makonde, usisite kunistua mkuu
 
Nishawahi kukutana na hii pia nashuka kwenye daladala bongee la mvua ile kuangalia sehemu ya kukimbilia nikaona sehemu ya biashara ya matrekta kufika hapo kibarazani nikakutana na dada mlinzi akanikaribisha kwa jicho fulani hivi nikamwambia ahsante najificha mvua kidogo eti hapa haturuhusu nikahisi pale niliposimama basi nikasogea pembeni kidogo eti dada eneo lote hili haliruhusiwi dah ikabidi niondoke kinyonge àfu kwa hasira nikatembea hadi home na mvua nimefika nimeloa mno.

Hahaaaa.. aisee 😂😂😂 kwahiyo mzee mama ukaona ususe kabisa kwani mvua kitu gani bana? Ukakomaa nayo hata ukikuta sehemu ya kujificha hutaki tena 😂😂😂😂 Kama nakuona by the time unafika home uko chapachapa na umefura kwa hasira zimekukaba mpaka hapa!! Sasa assume unafika home tena ndio unakutana na mgeni katoka kijijini bila taarifa huo mnuno wake lazima kesho aage 😂
 
Kama auna connection maisha ya Dar ni magumu sana kwasababu ukihitaji kupata kitu chochote ni mpaka uwe na pesa.
Sasa mgeni kama mgeni ukute mwenyeji wako hanapesa hata ya kula jioni ya leo.

Alafu unakwenda kumpelekea mzigo wa kukulisha na kukuhudumia mpaka pale utakapokaa sawa!'ndo maana wengi wanaonekana wanaroho mbaya kumbe ni ugumu tu maisha.
 
Hahaaaa.. aisee 😂😂😂 kwahiyo mzee mama ukaona ususe kabisa kwani mvua kitu gani bana? Ukakomaa nayo hata ukikuta sehemu ya kujificha hutaki tena 😂😂😂😂 Kama nakuona by the time unafika home uko chapachapa na umefura kwa hasira zimekukaba mpaka hapa!! Sasa assume unafika home tena ndio unakutana na mgeni katoka kijijini bila taarifa huo mnuno wake lazima kesho aage 😂
Kiukweli nilinuna na nilisusa kusimama sehemu yoyote kuna sehemu nilikuta watu wengi wamesimama hapo nikapita nikaskia naitwa dada njoo usimame hapa mvua kubwa hii nikawajibu tu ahsante nimekaribia kufika home 😀 sasa ndiyo nikute na mgeni aisee sijui😀
 
Mimi huwa na kuja na debe mbili za mchele na maharage alafu nakaa siku tatu tu, mbali na hilo muda wote huwa nakuwa busy hvyo huwa sigusi dona lenu,lakini bado hali ni mbaya.
Tatizo lipo lakini ninamashaka nautafiti wako
 
Back
Top Bottom