Kwanini wakazi wengi wa Dar es Salaaam mna roho mbaya?

Kwanini wakazi wengi wa Dar es Salaaam mna roho mbaya?

Nilitaka na mm nianzishe Uzi huu Ni kweli unachosema unapanda daladla kila mtu amenuna ukimuuliza mtu kituo anaongea Mara Mona tu au ajifanye ajakusikia acha kwa wenye vyumba hz duh wanakiburi mbaya jus mtt was mwenye nyumba ananipigia kuda Kodi kwa shwary nikamuambia tafuta Mali yako udai hvyo mbna Bab ajo ajaridhi chochote wee unanipigia kelele kwa Mali ambayo Ni Bab ako
 
Ukiona umenuniwa ujuwe umekuja Kama zigo tu, umeshindwa kuja hata na Mahindi ya kuchemsha kutoka kwenu Bush lazima utanuniwa tu! Watu wa mikoani mjiongoze Dar kila kitu ni pesa siku hizi!!
Yaani wengine hata ukimwambia nitapita kuwasalimia tu hataki,atajifanya bize mpaka muda wa kuondoka Dar unafika
 
Unavyokuja Dar hakikisha unakuja na unga, mchele, mafuta na jogoo. Haiwezekan uje ule chakula cha bure na bado unataka nikutembeze maeneo mbalimbali ya Dar kama beach nk kwa nauli yangu. Hakuna kitu kama hicho
Huku mkija mnakuja mikono mitupu bia zetu n nyama choma mnatafuta hatari,tukija dar mko busy wiki nzima[emoji16][emoji16]....mimi nkija dar sina muda na ndgu wala rafiki nafikia hotel nkimaliza mishe nasepa
 
Unaondoka Mkoani una samaki na mchele kuwapelekea ndugu zako. Ukifika unanuniwa! Ngoja sasa wao wafike kwako wanajifanya wanyenyekevu na kufakamia kila kilicho mbele yao.
Mimi nina miaka zaidi ya 15 sifikii kwa ndgu,rafiki....nafikia hotel nkimaliza mishe zangu nawaitia bia,ndio navyo ishi nao,wakija ar nawaambia sihitaji mgeni kwangu waende hotel
 
Sie wa ukae hii thread haituhusu. Inawahusu nyie wa Mikoani na jinsi mnavyofanyiana roho mbaya. Of course shida ya malazi na hali ya kiuchumi pengine ndiyo inayosababisha. Mtu kapanga chumba kimoja alafu mnakuja watatu lazima atanuna
 
Sasa ukienda ulaya si ndo utatukana .maana kule ni mara 1000 ya dar..yaan hawatak ujinga wa ndugu kabisaaa...maisha ni budget..ukiona unanuniwa ujue kwenda kwako pale ni kero.

Bak kwenu mkoan ndugu
Ulaya ni ulaya aacha wabaki na tamaduni zao ni sisi tuna tamaduni zetu, je wewe unaweza kula denda na mpenzi/mchumba wako mbele ya wazazi wako? lkn kwa ulaya ni kitu ya kawaida, je unaweza kuhudhuria sherehe ya mwana familia wenu aliyejitangaza kuwa ni shoga sasa amekutumia kadi ya kuolewa kwake, lkn kwa ulaya hiyo ni kitu ya kawaida.
 
Huku mkija mnakuja mikono mitupu bia zetu n nyama choma mnatafuta hatari,tukija dar mko busy wiki nzima[emoji16][emoji16]....mimi nkija dar sina muda na ndgu wala rafiki nafikia hotel nkimaliza mishe nasepa
Wee kumbe ulikuwa hujawajulia!! hata maji ya kunywa usijidanganye kumnunulia labda vile vitu vya lazma akiwa nyumbani kwako, lkn mara tupite mahara tupate bia 1,2 jua umepigwa, siku ukienda Dar atakwambia yuko kwenye folen mpaka jua lizama au unakaribia kupapambazuka.
 
Kuna siku nilishangaa mvua ilikuwa inaonyesha ikakatika , Ile natoka Tu bonge la mvua mbele yangu kuna mgahawa nikaenda kujikinga mvua akaja mwenye mgahawa akaniuliza unahitaji chai na nini? Nikajibu samahani nimejificha mvua alichonijibu nilijitosa kwenye mvua. Kweli watu WA Dar Wana roho za ajabu.
Nishawahi kukutana na hii pia nashuka kwenye daladala bongee la mvua ile kuangalia sehemu ya kukimbilia nikaona sehemu ya biashara ya matrekta kufika hapo kibarazani nikakutana na dada mlinzi akanikaribisha kwa jicho fulani hivi nikamwambia ahsante najificha mvua kidogo eti hapa haturuhusu nikahisi pale niliposimama basi nikasogea pembeni kidogo eti dada eneo lote hili haliruhusiwi dah ikabidi niondoke kinyonge àfu kwa hasira nikatembea hadi home na mvua nimefika nimeloa mno.
 
Yaani wengine hata ukimwambia nitapita kuwasalimia tu hataki,atajifanya bize mpaka muda wa kuondoka Dar unafika
Sasa Kama shida ni salaamu,si mnasalimiana hata kwa simu,si lazima muonane Kama hakuna umuhimu wa kuonana! Kwanza siku hizi kuna Corona!!
 
Hivi mtu anaamka SAA Tisa usiku anakuja kulala saa Sita usiku hivi unategemea atakuwa na roho nzuri?

Jamaa wanaishi kama pimbi mwenye harakati nyingi ambazo hazina faida.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huku mkija mnakuja mikono mitupu bia zetu n nyama choma mnatafuta hatari,tukija dar mko busy wiki nzima[emoji16][emoji16]....mimi nkija dar sina muda na ndgu wala rafiki nafikia hotel nkimaliza mishe nasepa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na wewe kipenzi cha watu yanakukuta
 
Back
Top Bottom