Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli nilinuna na nilisusa kusimama sehemu yoyote kuna sehemu nilikuta watu wengi wamesimama hapo nikapita nikaskia naitwa dada njoo usimame hapa mvua kubwa hii nikawajibu tu ahsante nimekaribia kufika home 😀 sasa ndiyo nikute na mgeni aisee sijui😀
Mkuu kubeba box ndio huwa kufanya nini ?Maisha magumu,bajeti ipo tight,kila mtu ana stress,kila mtu anadhani mwenzake ndio kamsababishia ugumu wa maisha....
Wacha tu nikomae na box huku kwa malkia aisee.
Nilinyeshewa hadi ikulu maji matupu mkuu😀🙌 ,yule dada mlinzi nammind kinoma sijui alihofia mwizi sasa mimi ntaiba hayo matrekta kweli?Hahaaaa... eti nimekaribia kufika wakati hapo bado kilometa nane 😂😂😂😂😂 Ila kuna kiasi cha mvua kikishakunyeshea ni kama akili hua inavurugika kwahiyo hata mvua huisikii tena na unaona ata hamna haja ya kujificha maana maji yameshafika hadi ikulu. Halafu kawaida hua ukinyeshewa kiasi icho ile unaingia ndani tu na mvua inakata.
Na juice za ukwaju.......[emoji16][emoji16]watu wa dar hamchelewi kuja na mfuko wa pipi
Hapana sio maisha magumu sema ni dharau tu na ubinfsi uliopitiliza, utakuta amefanya mambo makubwa tuu japo analialia na nauri ya daldala, mambo ambayo amefanya pengine wa mkoani hawezi kufanya kulingana na kipato kuwa kidogo lkn wa mkoani upendo wa kiundugu uko palepale.Wakazi wengi wa Dar wana Maisha Magumu sana kwa hiyo muwasamehe tu.
Dada alihisi unaweza piga trekta begani ukatokomea nalo kusikojulikana😂😂😂😂😂😂Ila wala usimlaumu sana huyo dada mkuu. Inawezekana nayeye ndio kaambiwa ivyo na mhindi sasa afanyeje? Anatetea kibarua chake. Japo nna uhakika asilimia 110 kama mlinzi angekua mwanaume angekuacha upumzike.Nilinyeshewa hadi ikulu maji matupu mkuu😀🙌 ,yule dada mlinzi nammind kinoma sijui alihofia mwizi sasa mimi ntaiba hayo matrekta kweli?
Sasa ww huwa hatuna hata mawasiliano hatushirikiani kwalolote leo unasema unakuja kwanguYaani ndugu yako kukutembelea mpaka taarifa? Walewale
Yaani Kwa jinsi wasivyo na ubinadamu alitaka umpe hata buku. Bahati mbaya Ile unatoka tu ukadhurika Kwa namna yoyote atakuwa WA Kwanza kujifanya anasikitika na pole nyingi utafikiri MTU.Nishawahi kukutana na hii pia nashuka kwenye daladala bongee la mvua ile kuangalia sehemu ya kukimbilia nikaona sehemu ya biashara ya matrekta kufika hapo kibarazani nikakutana na dada mlinzi akanikaribisha kwa jicho fulani hivi nikamwambia ahsante najificha mvua kidogo eti hapa haturuhusu nikahisi pale niliposimama basi nikasogea pembeni kidogo eti dada eneo lote hili haliruhusiwi dah ikabidi niondoke kinyonge àfu kwa hasira nikatembea hadi home na mvua nimefika nimeloa mno.
Ahaaaaahaaaaaaaaa [emoji16][emoji16] [emoji1787] daaahNimekaa kwa mda wa mwaka mmoja na miezi2 nimegombana nao sana vijana juu ya kuongea sana na kutokuwa enough responsible Ila ni ujanja ujanja na ujinga[emoji1][emoji1]... Nikaona hapa nitapatwa na presha buree na Mimi nikaona nijichanganye tu! Nikawa na Mimi naongea ongea kama boya tu[emoji3][emoji2]
Mkuu umri huu nisijueHivi unajua maana ya ndugu wa damu?
Ni kweli ila ni tabia mbaya tu angeniacha mvua ikate nimshukuru hata hilo buku ningempa, ila alivonikaribisha kwa dharau mmh nikaona leo sijui alidhani ni mteja wa trekta mi ninunue trekta kwa pesa ipi😀Yaani Kwa jinsi wasivyo na ubinadamu alitaka umpe hata buku. Bahati mbaya Ile unatoka tu ukadhurika Kwa namna yoyote atakuwa WA Kwanza kujifanya anasikitika na pole nyingi utafikiri MTU.